Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
Nimeanzisha Uzi huu mmejaa kujifanya mnamjua Sandra sijui....
Alikuwa anasoma Kenya Mara ya kwanza umeandika. ...
Mara Uganda sijui.....
HaMtaki kusema ilikuwa show ya nini,wap na kwanini. ...
Mmeanza kumdharirisha alikuwa kalewa. ...katolosha mwanafunzi....
Namambo mengine ili Malik aendelee kuumia
Wewe jamaa Muongo sana. Baba Stylz hakupata ajali kipindi cha fiesta. Ninachojua alipata ajali pale mbuyuni Oysterbay akiwa anatokea Bilicanas. Na sababu ya ajali yalikuwa mabishano yake na mpenzi wake.
Kwanza umedanganya haikuwa Fiesta kipindi hicho bali ilikuwa inaitwa Straight Music Klimax full shangwe. Wadhamini waki wa sigara ya SM.
Noorah hakuwa kwenye orodha ya wasanii hata Mr Nice hakuwepo. Aliyekuwa kwenye orodha kwa upande wa bongo fleva ni Albert Mangwea βCow Boyβ, Joh Makini βMwamba wa Kaskaziniβ, Mr.Blue βKabaizerβ Prof Jizey na maswahiba wawili AY na Mwana FA.
ulishajibiwa na huyu hapa unataka ujibiwe nini tena