Tukumbushane kazi alizofanikisha Rais Mstaafu Jakaya Kikwete

In short mseme tu JPM alikua Rais toka enzi za JK maana wizara yoyote aliyowekwa ndo alifanya vizuri.

Hebu muulizeni Mbowe,lena,lisu na kina mdee wenu wawambie ktk viclip vyao Kabla ya kuteuliwa kugombea urais jinsi walivyosifia
 
Miradi mingi ya Mwendazake ni controversial halafu uwongo mwingi. Kwa mfano Na 19. Umeme kila Kijiji. Kwanza huo ni mradi wa REA ambao uko funded na WB na uliasisiwa na JK mwaka 2008 William Ngelleja akiwa Waziri wa nishati. Pili siyo kweli kwamba umefika kila kijijj
 
Nonsense😎mradi ulikuwa umeshabuma,bila JPM kuingilia kati mpaka leo ungekuwa haujamalizika.Umesahau mambo gani aliyakuta pale baada ya kutembelea ule mradi upipokuwa umesimama?
Wewe ni mhanga wa propaganda zake. Ni kawaida ya Magu kubadilisha kila anachokikuta wenzie wamefanya. Angalia alivyobadili biashara ya korosho. Termina III haikukwama, sikubaliani na wewe kabisa kwa kuwa ilikuwa 80%+, unansemaje ilikwama.
 
Wewe ni mhanga wa propaganda zake. Ni kawaida ya Magu kubadilisha kila anachokikuta wenzie wamefanya. Angalia alivyobadili biashara ya korosho. Termina III haikukwama, sikubaliani na wewe kabisa kwa kuwa ilikuwa 80%+, unansemaje ilikwama.
pengine jamani yy alikuwa mke wa mkandarasi usimbishie kma ulikwama.👀
 
Umeandika ushubwada. Nina mashaka na elimu yako ya juu unayojinasibu! Umepata Elimu ila umekoswa akili! But all in all by that time u said to acquire higher education, only Cream of the nation admitted to UDSM walikuwa sio vilaza dizain yako!
 

Thank you, umedadavua kwa kina weaknesses za huyo Msoga, huyu emperor ni empty pumpkins[emoji316]
 
Hatusemi kwamba JK hakufanya Kitu.Ila katika MIRADI iliyotekelezwa enzi Zake,Ilifanyika kwa gharama kubwa Sana kwa sababu ya rushwa.Project ya kufanyika kwa billion 60 itafanywa kwa billion 180.Hiyo difference inaingia mifukoni kwa watu binafsi.Kwenye tender ndo usiseme.Laptop inayouzwa say she LAKI 7 dukani,Serikalini mtu wa tender ali-suply the same laptop kwa shs mil 5 kwa PC moja,n.k. MIRADI Mingi Ilifanyika bila ubora hasa Barabara.Barabara inakabidhiwa leo,baada ya miaka mitatu Ni mashimo tupu.Kwa ujumla JK Alishindwa kuwasimamia watendaji wake.
 
Kuna vitu umeviandika lakini haviko katika context

1. Mkapa alipeleka maelfu ya wanafunzi China, Ukraine, Urusi etc Lakini siyo bure, Waliondoka kwa makubaliano ya Mkopo, na hilo kundi lililokwenda huko sasa hivi linalia, Ni kundi linaloongoza kwa kudawaiwa Mamilioni mengi na bodi ya Mikopo. Kuna watu walionufaika na hizo scholarship Wanadaiwa hadi milioni 80. Government works on papers na inatunza kumbukumbu kwelikweli!. Wanajuta wale vijana leo!

2. Kikwete hakuwa na haja tena ya kuendeleza mpango wa kupeleka maelfu ya Wanafunzi China kwa sababu alifanikisha uwepo wa vyuo vikuu vingine nchini kama vile UDOM na Nelson Mandela, Na pia kuongezeka kwa vyuo binafsi nchini kama vile vya Kanisa, na pia baada ya JK kubadili vyuo vya advanced dipoma na kuvifanya viwe vyuo vikuu, Hapo unahitaji kupekeka vijana maelfu kwa kwa maelfu nje kwa udhamini wa serikali ili iweje? —Hata hivyo scholarship za kawaida kutoka kwa nchi rafiki ziliendelea kama kawaida.

3. Unazungumzia kipindi cha Mkapa wanafunzi kupata mkopo 100%, Labda nikukumbushe tu wakati Mkapa anaondoka madarakani kulikuwa na vyuo vikuu nchini vya kutoa degree havifiki 10, na vyuo vikuu vya serikali vilikuwa viwili, Yaani UDSM na SUA, Muhimbili nadhani kilikuwa bado chuo chini ya UDSM. Sasa Mkapa angeshindwaje kutoa mkopo wa 100% kwa idadi ndogo ya wanachuo waliodahiliwa katika vyuo hivyo, Ukizingatia kuwa miaka michache nyuma wakati wa Mwinyi hao wanafunzi walikuwa wakisoma Bure!

3. Kuhusu deni la Taifa, Mkapa alisamehewa deni, kwa hiyo reasonably wakati anaondoka deni lilikuwa dogo around Trillion 10 (Dola bilion 9.3) kwa exchange rate ya mwaka 2005 ambayo ilikuwa ni around sh 1169+ kwa USD), Sasa hadi mwezi July mwaka 2015 deni la Taifa lilikuwa around Dola bilion 17. 6.(exchange rate ilikuwa around 1600+ mwezi huo, kabla ya sh kuserereka kwa kasi kushuka na kwenda hadi 2000+ per dollar wakati wa uchaguzi mkuu) kwa hiyo JK ndani ya Miaka 10 aliongeza deni la Taifa kwa Takriban dola Bilion 8.3 (Natumia Dola ambayo ni stable currency kulinganisha na Shilingi)

Magufuli kakuta deni ni around Dola bilion 17.6, kaondoka likiwa around dola bilion 26 takriban shilingi Trilion 61 (mwezi march), Sasa ndani ya miaka mitano Magufuli kaongeza deni kwa Takriban dola Bilion (26-17.6 =8.4), Yaani kaongeza deni kwa kiwango cha pesa kinacholingana na alichoongeza Jakaya kwa miaka 10!, Je Magufuli naye angetawala kwa miaka 10 ingekuwaje?

Halafu wewe hauko honest, Upande mmoja unasema JK kaongeza Trillion 26 TSH lakini kwa Magu hutamki MaTSH unataka tutumie dola, Ila nakubaliana na wewe kuwa hayo maTSH hayatatupa picha halisi ya deni kwa sababu yako subjected to Depreciation ya hela n. k, Yaani sh 1 ya mwaka 2005 haina thamani sawa na sh 1 ya mwaka 2015, kwa hiyo ukisema JK kaongeza Trillion 26, Upo sahihi kwa mahesabu yetu ya pesa za madafu lakini Internafionally kule tunapolipa kwa dola reality ni tofauti. Ila nadhani umeona tukirudi kwenye dola, Msgufuli kakopa sana kwente miaka yake mitano madarakani!

4. Kuhusu miundo mbinu, Uongo mbaya JK alipiga kazi kubwa sana, Na ni miundo mbinu hiyo iliyompa Ujiko hata waziri wake wa ujenzi Magufuli mpaka akakubalika sana kwa watu, nakumbuka kauli za Magufuli akiwa waziri wa ujenzi kuwa "Nchi nzima inatifuka vumbi", na nyingine in context "Sasa hivi nchi inatandikwa mkeka", Ukiangalia vivuko, madaraja makubwa na madogo, Mwendokasi Dar, Barabara za kuunganisha mikoa, na hata zile alizoacha upembuzi yakinifu ukiwa umeshaisha na akiwa ameshazitafutia hela za ujenzi, barabara ambazo zilikuja kukamilishwa katika utawala wa Magufuli, Utaona kazi kubwa ambayo Jakaya aliifanya.
 
75% ya list hiyo ilifanywa na JPM kwa kulazimisha akiwa waziri wa ujenzi😜!
Jakaya alifanikiwa kukaa angani kwa masaa mengi zaidi kuliko hata rubani wa ndege mashuhuri!
Hahahahaha naunga mkono hoja! Gonga Meza Executives
 
Huyu jamaa ni kilaza wakutupwa kwaza magufuli wake mpaka anafariki sidhani kama hilo bwawa limaliza tilioni hata m

Umeandika ushubwada. Nina mashaka na elimu yako ya juu unayojinasibu! Umepata Elimu ila umekoswa akili! But all in all by that time u said to acquire higher education, only Cream of the nation admitted to UDSM walikuwa sio vilaza dizain yako!
Point yako ni nini? Ushubwada upi nimeandika ambao wewe hukubaliani nao? Form six nilikuwa na II ya point 10. Ningeweza jiunga chuo chochote..nikaamua kusoma Wildlife Management Mweka. UD wanaweza kuwa na kozi kama hiyo? Nimekutana na watu wengi walikimbilia UD mwisho wa siku waliishia kusoma kozi za kijinga tu..Mara Public management, English, Arts (kuigiza). Mtu anakubali asome kozi yoyote mradi tu eti yupo "UD". Sasa ndo inazalisha wasomi uchwara kama wewe. Ndo maana umeamua kufanya personal attacks badala ya kujibu hoja kwa hoja. Nataka uniambie miradi mitano mikubwa ambayo ameifanya Magufuli na imeisha ndani ya miaka 6...la sivyo shut up!! Just shut up. Idiot!
 
Hapo kwenye kuunganisha unachemka enzi za unanijua mie ni Nani jamani kweli.
Mtu ukiwa na hela unavamia eneo la mtu inachukua kimabavu.
Kuna eneo moja kigamboni liliporwa kimabavu jamani yaani wewe nakuambia acha. Nilitamani kuhama nchi.
Unakumbuka Brazil walikuja kucheza na Taifa stars kwa gharama yetu ya 3 billions na huku Kuna shule watt wanakalia tofali za tope,madarasa ya udongo muda wowote yaweza kuwangukia na kuua watt wetu jamani.
Hospital ndo usiseme mama zetu na dada zetu wanakufa kwa kukosa huduma Mana hospital ama dispensary ziko mbali Sana.
 
Mzee pole Sana kwa huyo jamaa kukushambulia. Binafsi namie nilihama shule kipaji ili nikasome pcm Mana Kuna alama ilipelea badala ya A nikawa na B na SoMo ilo. So eti nibaki kipaji kulinda jina nisome pcb nije kuwa mtu wa afya na huku haipo moyoni mwangu pia SoMo la biolojia na mamkwe kwangu mpaka kesho. Nikahama nilipiga msuli matokeo yanakuja Nina kakijiti huku Wana kibao wanazo 2 ,3 mpaka basi. Afu ishu ya kuwa cream ni innovations zako. Mtu amesoma amefanya Nini. Tumpe heshima aliyevumbua elimu wewe na mie tumesoma historia za wengine walifanya Nini basi unakariri njia walizofanya wakapitia na wewe unazifuata. Baadaye unajipiga kifua kuwa umesoma.
Pole bana naona jamaa akakushambulia mpaka basi.sijui Ana stress
 
Hio sio legassy
 
Badala ya kusema Magufuli kafanya Nini.. wenyewe wananishambulia elimu yangu, bila kusema ni point gani nimekosea. Watu wanatetea legacy ambayo haipo
 
Alituletea Pombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…