Tukumbushane maisha ya UDSM enzi hizo, wazee wa Bibo na Main Campus

Tukumbushane maisha ya UDSM enzi hizo, wazee wa Bibo na Main Campus

H
Mkuu mimi nilikaa hall 4 na 6 kwa miaka mitatu, yaani hall 4 ni hadhi ya masaki na obey, hall 6 ni hadhi ya upanga au mbezi beach, hall 5, 2 ni hadhi ya tandika, yombo na buza na hall one at least kama manzese na migo migo hivi
Hall 1 tower pale ni city center
 
Yaani unapenda wenye matumbo makubwa laini na yanayotetemeka si ndio?
Ndio

2815227_kimambo__jr_20200905_215846_0.jpg
 
Kuna jamaa nilikuwa nakaa naye room alikuwa mbishi sana wa kupigika exile yaani hata aone mnashikana shikana na demu yy ajiongezi anajifanya anakula vitu vya Dr Lwambuka (R.I.P) ,ukimwambia akupishe hataki ikabidi siku moja nitafune demu mbele yake lakini mchizi akakaza tu duuh kuna watu wana roho ngumu😂😂😂
 
Mkuu mimi nilikaa hall 4 na 6 kwa miaka mitatu, yaani hall 4 ni hadhi ya masaki na obey, hall 6 ni hadhi ya upanga au mbezi beach, hall 5, 2 ni hadhi ya tandika, yombo na buza na hall one at least kama manzese na migo migo hivi
Tutake radhi tulioanzia hall5...ila hall 5 kuchaf jaman...ile lift inanukia panya panya..inakwamaga na watu ndan
 
Tutake radhi tulioanzia hall5...ila hall 5 kuchaf jaman...ile lift inanukia panya panya..inakwamaga na watu ndan
Pale palikuwa ni changanyikeni mara moja moja weekend nilikuwa ninakwenda kwa mshikaji wangu siku nikipata hamu ya kupiga cha arusha.
 
Back
Top Bottom