Stanley.
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 659
- 298
Mimi nilisoma wakati boom ni 3000, eneo la Mlimani city kulikuwa na mapori tu, off campus hostel ilikuwa blocks za CRDB Kijitonyama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nilisoma wakati boom ni 3000, eneo la Mlimani city kulikuwa na mapori tu, off campus hostel ilikuwa blocks za CRDB Kijitonyama.
Sasa kama hukusoma udsm, umesoma vyuo vya uchochoroni nini kimekuleta hapa, unaona jinsi ulivyo na uelewa mdogo.Nani kakuambia kila asiyesoma UD ana ufaulu mdogo kaka? Unakosea sana, sasa kam mpaka div 3 wapo wanaosoma UD, sasa mimi nikihitaji kwa nini nishindwe? Hoja dhaifu hiyo bro, pia hujui nasomea kozi gani na hujui kama hapo UD ipo au haipo.
Wee bishoo utakuwa wa kule UDBS yaani mpk uhame cafteria sisi RB tulikuwa tunanunua sahani mbili unazipga zote kwa pamoja cafteria ya pale coet huwa mabishoo hawatimbi😂😂Mie sitosahau vyoo vya hall5..nyaa nje nje nawee unaenda jazia lakoo...
Sie wengne tulikua tunakula cafeteria 1 RB mshikak m1 halaf tunaenda tena cafeteria 2 wali njegere mshikak m1...
Nilikua na madem wawil bcom na wote wanakaa hall3
Hamna bro, sasa kama nakosea si unanielekeza kaka? Mimi nilisema vile kwa sababu nimeona watu wengi walioendekeza makundi wakiishia pabaya, na nilipoona ile statement yako kuwa 'm'likuwa 'm'natoka nje na kupiga kelele, nikajua hukuwa serious na ulikuwa mtu wa makundi, ni hivyo tu kaka, ila kama ulifaulu fresh basi hongera sana. Kuna wengi walikuwa hivyo ila hawakufaulu mwishoni. Hongera tena.Sasa kama hukusoma udsm, umesoma vyuo vya uchochoroni nini kimekuleta hapa, unaona jinsi ulivyo na uelewa mdogo.
Story watu wanazopiga sijui hall 5, yombo huelewi umekomaa tu humo.
Hujui nilipata ufaulu upi, umekomaa tu eti nilikuwa sizingatii masomo. Huwa ninamdomo sana lakini nimeona ngoja ninyamaze maana naona kabisa hujielewi au bado unaushule shule shule mwingi.
Hapo pa vyuo vya uchochoroni kaka naomba nikupinge kidogo, si vyuo vyote ukiacha UD ni vya uchochoroni. UD ni chuo cha zamani(kikongwe), ila haimaanishi vingine vyote vipya baada yake ni vy uchochoroni.Sasa kama hukusoma udsm, umesoma vyuo vya uchochoroni nini kimekuleta hapa, unaona jinsi ulivyo na uelewa mdogo.
Story watu wanazopiga sijui hall 5, yombo huelewi umekomaa tu humo.
Hujui nilipata ufaulu upi, umekomaa tu eti nilikuwa sizingatii masomo. Huwa ninamdomo sana lakini nimeona ngoja ninyamaze maana naona kabisa hujielewi au bado unaushule shule shule mwingi.
Hahaha...mim ni mcoet mbishi..mwanafunz wa nyahoro[emoji28]...ila nilikua na hang sana udbs sabab ya madem...gpa yangu ndogo sabab ya mademWee bishoo utakuwa wa kule UDBS yaani mpk uhame cafteria sisi RB tulikuwa tunanunua sahani mbili unazipga zote kwa pamoja cafteria ya pale coet huwa mabishoo hawatimbi[emoji23][emoji23]
Basi ulikuwa unatafuna sana pisi kali za UDBS ,mm nasikitika mpk namaliza sikuwahi tafuna pisi ya UDBS 😂😂😂Hahaha...mim ni mcoet mbishi..mwanafunz wa nyahoro[emoji28]...ila nilikua na hang sana udbs sabab ya madem...gpa yangu ndogo sabab ya madem
Ndio maana nikasema ungelijua mazingira ya pale usingefika kunikaripia hivyo, kelele zile hazitolewi na kikundi cha watu 50 ni zaidi ya watu 500 kutoka kila pembe ya block zote kasoro wakina dada.Hamna bro, sasa kama nakosea si unanielekeza kaka? Mimi nilisema vile kwa sababu nimeona watu wengi walioendekeza makundi wakiishia pabaya, na nilipoona ile statement yako kuwa 'm'likuwa 'm'natoka nje na kupiga kelele, nikajua hukuwa serious na ulikuwa mtu wa makundi, ni hivyo tu kaka, ila kama ulifaulu fresh basi hongera sana. Kuna wengi walikuwa hivyo ila hawakufaulu mwishoni. Hongera tena.
Hahaha..ayaaaa....kuna kipind nilikua na madem wa3 wote udbs...mmoja alikua anakaa kule hall7[emoji3]Basi ulikuwa unatafuna sana pisi kali za UDBS ,mm nasikitika mpk namaliza sikuwahi tafuna pisi ya UDBS [emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna kitu ninacho heshimu kama chuo cha mtu. Ila mtu anapokuja kunitukana namimi nitamtukana siwezi nyamaza,Hapo pa vyuo vya uchochoroni kaka naomba nikupinge kidogo, si vyuo vyote ukiacha UD ni vya uchochoroni. UD ni chuo cha zamani(kikongwe), ila haimaanishi vingine vyote vipya baada yake ni vy uchochoroni.
Ulipata GPA ya ngapi kaka? Kuwa mkweli!Hahaha...mim ni mcoet mbishi..mwanafunz wa nyahoro[emoji28]...ila nilikua na hang sana udbs sabab ya madem...gpa yangu ndogo sabab ya madem
Shukrani kaka, samahani sana!Ndio maana nikasema ungelijua mazingira ya pale usingefika kunikaripia hivyo, kelele zile hazitolewi na kikundi cha watu 50 ni zaidi ya watu 500 kutoka kila pembe ya block zote kasoro wakina dada.
Udsm swala la migomo ya rasharasha sio jambo la kustaajabu, ukisikia udsm wameandamana usije ukahisi hao ni wajinga au kwenye elimu hawako vizuri unakosea sana.
Vyuo vingine maandamano wanachukulia kitu cha ajabu utasikia wanafumzi wote wamefukuzwa
HahahaUlipata GPA ya ngapi kaka? Kuwa mkweli!
ubataka umpe kazi mbona unauliza GPA ??😀😀😀Ulipata GPA ya ngapi kaka? Kuwa mkweli!
Kaka mm sio wa enzi zenu, mm mdogo wako bhana nmesoma juzijuzi, ishu ilikuwa kwamba walininyima mkopo sina tuition fee wala boom na nmesoma government olevel na advance, olevel Azania advance minaki ila bado tuu wakanifanyia unyama, kwaio maisha yakawa magumu knoma asikwambie mtu brooUkoko tena 😂😂😂😂😂wakati watu tulikuwa tunawapa wapishi rushwa 30k unakula semista nzima
Polee sana na hongera kwa kukosa boom ila pale ukiwa na connection unakula bure cafteria kwa 30k semista nzima tena wali nazi .Kaka mm sio wa enzi zenu, mm mdogo wako bhana nmesoma juzijuzi, ishu ilikuwa kwamba walininyima mkopo sina tuition fee wala boom na nmesoma government olevel na advance, olevel Azania advance minaki ila bado tuu wakanifanyia unyama, kwaio maisha yakawa magumu knoma asikwambie mtu broo
Wengine tulipita hapo kipindi cha Prof. M. Luhanga.Haabari wadau..!
Maisha ya UDSM enzi hizo yalikuwa powa sana sijajua kwa sasa.
Tuanzie wapi ,ngoja tuanze na Boom enzi hizo lilikuwa 4000/= kwa siku ila tulivyoingia chuo ikabidi tufanye mgomo Boom liongezwe watoto wa mama hawataelewa.
Maandamano yalianzia Revo Square sijuhi kama watoto wa leo wanaijua Revo Square watu wakatolewa lecture room wajoin movement watoto wa mama wakakimbia ila watoto wa mbwa tukaingia mtaani tulivyofika Mlimani City mabomu yalipigwa kama yote vile tukapoteana.
Kipindi hicho kuna wale wajamaa ndio wakuu wa vyuo wanajiita Tripple M yaani Mkandala,Mgaya na Maboko.
Mgomo ulipoisha chuo kizima tulirudishwa nyumbani kwa mda usiojulikana,baada ya kurudishwa tena sisi waanzilishi wa mgomo tukafukuzwa ila mm nikafanya harakati sikufukuzwa.
Mwaka wa kwanza nilipata room mabibo hostel pale maisha yalikuwa powa sana wale wa mwaka wa pili na kuendelea tukawa tunawabeba yaani kitanda chembamba mnalala wawili kana mpo lupango vile ,usiombe umbebe mtu mrefu.
Mwaka wa pili inabidi huwai chuo kabla akijafunguliwa ukatafute mtu wa kukubeba (kushare naye kitanda).
Ukiwa mwaka wa kwanza ni ngumu sana kupata demu wengi wanadharau mwaka wa kwanza,ila mwaka wa pili ndio mwaka wa kupata demu inabidi uliwahi konteana jipya (first year),asikwambie mtu hapa watoto wa mwaka wa kwanza wanamegeka kiurahini sana .
Boom likiingia safari za mlimani City ,Survey ,Ambiace n.k ila boom likikata tunaanza kupiga pasi ndefu kama hatuna akili nzuri hata lectures hazipandi kipindi hiki mademu wasio na msimamo wanaanza kujiuza ili wapate pesa za kujikimu,yaani kama una demu anaweza kukusaliti boom likikata.
Kipindi cha boom likikata wahuni tunaanza kugonga RB (Rice Beens) wali maharage ambao bei yake ilikuwa 600/=Boom likikata watu wanaanza kusifia wali mahatagr wa Cafe 1 na Coet ndio mtamu.Wazee wa bibo wanapiga tu shato pori mwendo wa kutembea kwa mguu toka main campus aibu washikaji wakikuona wanajua umefua.
Kuishi mabibo ni mateso hakukuwa na Kijazi Flyover foleni mtindo mmoja usishangae kutoka bibo mpk campus ukamaliza masaa zaidi ya matatu ubungo mataa.kukosa lecture au kuchelewa test kawaida kisa foleni ya ubungo mataa.
Nilikuwa nakula msosi wa jero saa 6 na saa 12 tulikuwa tunaiita "mpakani" yaan haisomeki huu msosi wa asubuhi au mchana au jioni kwahio kwa siku ni 1000 tuu lnatumika....huo msosi ulikuwa illegal yaan wapishi wakipika kuna wengine wanaiba wanakuja kutuuzia nyuma ya cafeteria jerojero siku nyingne wanaringa wanasema buku, ila all in all sikuwahi kuwa na stress maana mm sio mtu wa bata wala wa kijurusha, kilichokuwa kinanifurahisha wenye boom walikuwa wana stress kuliko mm ambaye sinaPolee sana na hongera kwa kukosa boom ila pale ukiwa na connection unakula bure cafteria kwa 30k semista nzima tena wali nazi .