Tukumbushane maisha ya UDSM enzi hizo, wazee wa Bibo na Main Campus

Sikumbuki km tulifika mlimani city I think tulifika gate la chuo cha ARU. Wakati wa kurudi tulijaza form za covenant from m/kiti S/mtaa, kata, mkurugenzi wilaya nk. Ndo ukawa mwanzo wa kupata vitambulisho kutokana na ada uliyolipa na kuvaa ID all the time.
 
[emoji3516]
WA "DUCE" NA "MKWAWA" MSITUHARIBIE UZI!!!

HUU NI UZI WETU SISI MALEJENDARI WA "AKADEMIKI_BRIJI".
Kuna kipindi watoto wa DUCE walikuwa wanapangiwa room Bibo pale sijuhi iliishia wapi hii mambo,now days wanapelekwa kijichi hostelπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sisi tumepita hapo boom 2,500 TZS/day. Kipindi hicho, mgomo na kufukuzwa chuo jbo la kawaida tofauti na Sasa Makada ndo viongozi wa DAruso
Batch yetu 2004 tuliitwa yeboyepo ilikuwa intake ya watu 2500. Boom tulikuwa tunapewa cash pale Auxillary polisi first semester kabla ya kufungua account, wanafunzi walichanganyikiwa sana na lile boom la kwanza.
 
Boom 4000 hizo nazo ni enzi? Kumbe we bado mtoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…