Tukumbushane maisha ya UDSM enzi hizo, wazee wa Bibo na Main Campus

Tutake radhi tulioanzia hall5...ila hall 5 kuchaf jaman...ile lift inanukia panya panya..inakwamaga na watu ndan
Iliwahi kunizimikia 5th floor niko namtoto namvusha kuelekea flr ya 11. Safari yetu ikaishia hapoo!
 
2004/2005 tulianzishi kunji kupinga HESLB tukiongozwa na Bahati Tweve. Safari yetu ya kuelekea Ikulu kumwona Rais Mkapa kumweleza jambo letu iliishia UCLAS hatukufanikiwa kuvuka Survey...Tulipigwa na wazee wa ngunguri hatareeeee.
Siku hiyo naikumbuka Sana.
 
Uchaguzi mmoja Daruso 2007/2008 bwana weeee, lile vibe la mgombea Odong Odwar. Akaundiwa zengwe hadi akaondolewa chuoni na kukodiwa ndege na serikali aseee
 
Kwamba enzi za mlimani city nayo ni zamani..
Wengine tulikuwa pale enzi Diamond Sound enzi za Igongwe na Silent In Mwenge kabla haijawa kanisa..!! Mambo ya Tazara club. Wakati huo Mlimani city ni pori na Mabibo hostel hata haiwazwi kujengwa
 
Siyo FOE mzee mwenzangu?
 
Ahahahahaaa Hatari. Pale CoET wakati wetu palikuwa panaitwa FoE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…