Tukumbushane maisha ya UDSM enzi hizo, wazee wa Bibo na Main Campus

Nani kakuambia kila asiyesoma UD ana ufaulu mdogo kaka? Unakosea sana, sasa kam mpaka div 3 wapo wanaosoma UD, sasa mimi nikihitaji kwa nini nishindwe? Hoja dhaifu hiyo bro, pia hujui nasomea kozi gani na hujui kama hapo UD ipo au haipo.
Sasa kama hukusoma udsm, umesoma vyuo vya uchochoroni nini kimekuleta hapa, unaona jinsi ulivyo na uelewa mdogo.

Story watu wanazopiga sijui hall 5, yombo huelewi umekomaa tu humo.

Hujui nilipata ufaulu upi, umekomaa tu eti nilikuwa sizingatii masomo. Huwa ninamdomo sana lakini nimeona ngoja ninyamaze maana naona kabisa hujielewi au bado unaushule shule shule mwingi.
 
Mie sitosahau vyoo vya hall5..nyaa nje nje nawee unaenda jazia lakoo...

Sie wengne tulikua tunakula cafeteria 1 RB mshikak m1 halaf tunaenda tena cafeteria 2 wali njegere mshikak m1...

Nilikua na madem wawil bcom na wote wanakaa hall3
Wee bishoo utakuwa wa kule UDBS yaani mpk uhame cafteria sisi RB tulikuwa tunanunua sahani mbili unazipga zote kwa pamoja cafteria ya pale coet huwa mabishoo hawatimbiπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna mtu kanikumbusha zile kelele ,
Uwiiiiiiiiii njaaaaaaaaaaaaaaaa
Njaaaaaaaaaaaaaaaa
Njaaaaaaaaaaaaaaaa
Hapo bumu lishakata ukusikia hizo kelele watu tushaanza kunywa maji ya kudownloadπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hamna bro, sasa kama nakosea si unanielekeza kaka? Mimi nilisema vile kwa sababu nimeona watu wengi walioendekeza makundi wakiishia pabaya, na nilipoona ile statement yako kuwa 'm'likuwa 'm'natoka nje na kupiga kelele, nikajua hukuwa serious na ulikuwa mtu wa makundi, ni hivyo tu kaka, ila kama ulifaulu fresh basi hongera sana. Kuna wengi walikuwa hivyo ila hawakufaulu mwishoni. Hongera tena.
 
Hapo pa vyuo vya uchochoroni kaka naomba nikupinge kidogo, si vyuo vyote ukiacha UD ni vya uchochoroni. UD ni chuo cha zamani(kikongwe), ila haimaanishi vingine vyote vipya baada yake ni vy uchochoroni.
 
Wee bishoo utakuwa wa kule UDBS yaani mpk uhame cafteria sisi RB tulikuwa tunanunua sahani mbili unazipga zote kwa pamoja cafteria ya pale coet huwa mabishoo hawatimbi[emoji23][emoji23]
Hahaha...mim ni mcoet mbishi..mwanafunz wa nyahoro[emoji28]...ila nilikua na hang sana udbs sabab ya madem...gpa yangu ndogo sabab ya madem
 
Ndio maana nikasema ungelijua mazingira ya pale usingefika kunikaripia hivyo, kelele zile hazitolewi na kikundi cha watu 50 ni zaidi ya watu 500 kutoka kila pembe ya block zote kasoro wakina dada.

Udsm swala la migomo ya rasharasha sio jambo la kustaajabu, ukisikia udsm wameandamana usije ukahisi hao ni wajinga au kwenye elimu hawako vizuri unakosea sana.

Vyuo vingine maandamano wanachukulia kitu cha ajabu utasikia wanafumzi wote wamefukuzwa
 
Basi ulikuwa unatafuna sana pisi kali za UDBS ,mm nasikitika mpk namaliza sikuwahi tafuna pisi ya UDBS [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha..ayaaaa....kuna kipind nilikua na madem wa3 wote udbs...mmoja alikua anakaa kule hall7[emoji3]

Ila yale maisha dah...nikapataga lidem la conas nadhan alikua anasoma koz za botany kule au chemistry..ana mzigo balaa.

3rd yr na 4th yr nilikaa mtaan...huko ndo ilikua pika pakua...maana nilikaaga ubungo mawasiliano pale badae survey.

Ila uzur nilikua sifeli saana na nikamaliza vzur tu....september nilikua sikosi
 
Hapo pa vyuo vya uchochoroni kaka naomba nikupinge kidogo, si vyuo vyote ukiacha UD ni vya uchochoroni. UD ni chuo cha zamani(kikongwe), ila haimaanishi vingine vyote vipya baada yake ni vy uchochoroni.
Hakuna kitu ninacho heshimu kama chuo cha mtu. Ila mtu anapokuja kunitukana namimi nitamtukana siwezi nyamaza,

Najua out na udsm vipo vyuo vingi sana bora sua, muhas, majirani zetu ardhi, dit etc sio kwamba sijui. na vinachukua wanafunzi wenye ufaulu mkubwa
 
Shukrani kaka, samahani sana!
 
Ukoko tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚wakati watu tulikuwa tunawapa wapishi rushwa 30k unakula semista nzima
Kaka mm sio wa enzi zenu, mm mdogo wako bhana nmesoma juzijuzi, ishu ilikuwa kwamba walininyima mkopo sina tuition fee wala boom na nmesoma government olevel na advance, olevel Azania advance minaki ila bado tuu wakanifanyia unyama, kwaio maisha yakawa magumu knoma asikwambie mtu broo
 
Polee sana na hongera kwa kukosa boom ila pale ukiwa na connection unakula bure cafteria kwa 30k semista nzima tena wali nazi .
 
Wengine tulipita hapo kipindi cha Prof. M. Luhanga.
 
Polee sana na hongera kwa kukosa boom ila pale ukiwa na connection unakula bure cafteria kwa 30k semista nzima tena wali nazi .
Nilikuwa nakula msosi wa jero saa 6 na saa 12 tulikuwa tunaiita "mpakani" yaan haisomeki huu msosi wa asubuhi au mchana au jioni kwahio kwa siku ni 1000 tuu lnatumika....huo msosi ulikuwa illegal yaan wapishi wakipika kuna wengine wanaiba wanakuja kutuuzia nyuma ya cafeteria jerojero siku nyingne wanaringa wanasema buku, ila all in all sikuwahi kuwa na stress maana mm sio mtu wa bata wala wa kijurusha, kilichokuwa kinanifurahisha wenye boom walikuwa wana stress kuliko mm ambaye sina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…