Tukumbushane maisha yalivyokuwa kabla ARV hazijaanza kutolewa

Hahahaha 😂 sema we nawe utashangaa unabisha na ilihali umezaliwa baada ya dawa kuingia
Sasa na kagera nao wasemeje ambako ndo ulikoingilia??
Huo ugonjwa upo Tanzania nzima..!!
 
Upumbavu na ujinga wa watanzania, huo ukimwi mnaoupa airtime haujawai kuwa na madhara mnayoaminisha watu.

Shida kubwa iliyowatesa wengi ni hofu na magonjwa ya kawaida ambayo vilaza na wapuuzi waliaminisha jamii ndio hilo gonjwa la mchongo ndilo linamaliza watu.

Hata hivyo bado watanzania wasomi na wasio wasomi ni vilaza, haiwezekani taifa linazalisha maelfu ya matabibu kila mwaka lkn hakuna solution lolote miaka na miaka.

Ukimwi ni mchongo kama COVID ilivyokuwa mchongo, kilichoua watu ni malaria, TB na magonjwa mengine huo ukimwi hauna madhara na hauhusiki na vifo vyovyote, hili wenye akili timamu tu ndio watanielewa, sio watumwa wa akili.
Ukimwi ni pigo la akili+saikolojia
 
Aisee UKIMWI NI UGONJWA HATARI SANA NA UNATISHA.
Vijana, wazee, wasichana na wamama acheni NGONO.
 
 
Unasema miaka 70 hakukuwa na muingiliano?
Cross border businesses zilikuwa hot, mashati ya JULIANA was the hottest fashion na yalikuwa yanatoka Uganda ndiyo maana back then ugonjwa ulikuwa ukiitwa JULIANA kwa kuwa wafanyabiashara waliokuwa wakileta hayo mashati ndiyo walioanza kuugua ugonjwa huo. Ugonjwa ulitokea Uganda ukaingia mkoa wa Kagera kabla ya kusambaa nchi nzima, jina jingine la ugonjwa huo uliitwa SLIM hasa watu wa Kagera ndiyo walikuwa wakiuita hivyo kutokana na wagonjwa walivyokuwa wanakona. Ilikuwa hatari na nusu, mtu anabaki just skin and bones huku nywele zinakuwa kama za Kisomali ila nyembamba(yaani na nywele zinakonda na kusimama kama manyoya ya paka huku zikipepeapepea hata kama kaupepo ni kadogo tu ka kiuzushi)
Nguo nyingi zilizokuwa zinapendwa ambazo zilipatikana kwa wingi ilikuwa zinatoka Uganda, Rwanda na Burundi labda wajanja wa bandarini zamani wakipaita DOCKS(literally they meant DOCK) waliokuwa wakifungua containers za transit ndiyo pia walikuwa wanapata 'vidudu' vikali(vidudu=nguo) vinginevyo mshua aende mambele akirudi awaletee.
Wafanyabiashara wa kuvuka mipaka hasa border ya Mutukula ndiyo walioingiza ugongwa Tanzania.
 
Hii comment naomba ukashee kimasihara kule kuna vijitu vina viburi vya uzima..!!
 
Kuna sehemu nilishangaa muhaya anaitwa wakina kaleta kaugonjwa eti sababu ulianzia kwao wao ndio waliuvusha kutoka Uganda 😹😹😹
 
Umeelezea Historia vizuri sana. Naamini Vijana wa "kula tunda kimasihara "(>2000s) watakuwa wamepata picha
 
Pole Sana mkuu
 
Usione sooo sema nae kuhush kusubiri, kuwa muaminifu au kutumia kondom....hili kwangu mie was the best advert ever hapa bongo.

Sema ndio hivyo tena mbususu kula kwa condom ninkupiga nyeto tuu
Hata Kama Amenona,,Usipime Kwa Kuona,,Hiyo Ni Noma Utaja Ufe Kwa Ngoma,,Napenda Ishi Sipendi Mazishi,
 
Hata Kama Amenona,,Usipime Kwa Kuona,,Hiyo Ni Noma Utaja Ufe Kwa Ngoma,,Napenda Ishi Sipendi Mazishi,
Narudia tena kutomba na condom ni kupiga nyeto kuliko changamka.
Kula mbushsu kavu kavu kifa kupo tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…