baba mbena
Member
- Sep 10, 2024
- 6
- 5
Umefikilia mbali sana,ni kama masihara,nikifikiria makete,Kagera! Acha kabisa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha 😂 sema we nawe utashangaa unabisha na ilihali umezaliwa baada ya dawa kuingiaApewe ungo apae kashagraduate level ya uchawi wa maneno… 😹😹
Sasa na kagera nao wasemeje ambako ndo ulikoingilia??Hahahaha 😂 sema we nawe utashangaa unabisha na ilihali umezaliwa baada ya dawa kuingia
sema tunakojitokeza kupima kwa wingi ndo wanasema tunaongoza ila wao wanaopimia nyumbani na kutuma ndugu zao wakawachukulie dawa aaaah 😂😂Sasa na kagera nao wasemeje ambako ndo ulikoingilia??
Huo ugonjwa upo Tanzania nzima..!!
- Hizi ARV zimeanza kutolewa kwenye mwaka 2003 au 2004 hapa wenye kumbukumbu sahihi mtanirekebisha. kabla ya hapo hapakuwa na dawa za kufubaza.
- Ugonjwa huu uliogopesha sana kiasi ambacho jamii haikuwa tayari kuuzungumzia. kimya kikuu kilitanda bila shaka kila mmoja akiomba kwa mola wake amuepushe na kikombe.
- Elimu kwa jamii zilitolewa zikichagizwa na picha za kilichokuwa kinaendelea mkoa wa kagera. kwa mujibu wa taswira zìle huko kagera ugonjwa ulimaliza watu wengi na wengine hata nyumba zilifungwa hakuna aliyebaki. nyumba zingine nyingi zilibaki zikiendeshwa na watoto mayatima baada ya wazazi wote kufariki.
- Kimya kingi kilitanda huku ugonjwa ukiendelea kutafuna watu kimyakimya.
- Kwenye hatua za mwanzoni wagonjwa wengi walikuwa wakionekana kupata mkanda wa jeshi yani miaka hiyo kama wewe una mkanda wa jeshi tu basi ilikuwa ni uthibitisho tosha tayari una tatizo hilo.
- Ukiona jirani yako flani haonekani hapo mtaani hiyo ilikuwa ni ishara tosha kuwa kama jirani uyo hajasafiri basi tayari uenda mambo yameshaharibika.
- Ugonjwa ulikuwa haufichiki. Ukiwa nao utajulikana tu apo kitaani kwenu. maana mwanzoni utajifungia ndani kwako lakini bdae lazma utoe ukahemee au kupata matibabu nk. ukitoka tu habari zako zinaanza kusambaa kama moto wa nyika.
- Ili kuepuka macho na vidole vya walimwengu familia nyingi ziliwapeleka mahospitali wapendwa wao mapema alfajiri sana au hata usiku.
- Familia nyingi zilikuwa zinaepuka kuwapima wagonjwa wao maana unampimaje mtu wakati unajua ugonjwa wenyewe hauna dawa. hivyo basi familia nyingi ziliishia kuuguza tu wagonjwa wao kimyakimya hadi wagonjwa anapokutana na mwisho wake.
- Wagonjwa wengi waliisha sana miili yao. hata kama ulikuwa kibonge kama pipa mwili wote utaisha kabisa unabaki kichwa ngozi na mifupa mitupu tu. ilikuwa sio ajabu kukuta mtu mwenye mwili mkubwa kama wale mabaunsa kaisha mwili wote kiasi hata usiweze kumtambua.
- Ilikuwa kawaida tu mtu mzima kabisa mwenye mwili uliojengeka vema akamalizwa na kubaki makongoro tu kiasi ambacho akilala kitandani hlf wewe ukapita apo usimuone au kujua kama pale kitandani kuna mtu amelala. najua kuna wanaozani natania lakini iyo ndio hali ilivyokuwa wakati huo.
- Watoto wengi waliozaliwa na maambukizi hawakuweza kuishi wengi walifariki baada ya muda mfupi na wachache kwa kudra za mwenyezi waliweza kuishi na wengine wako hai hata leo hii.
Hapa tunakumbushana tu hatutishani ukimwi upo tujilinde.
***Tafadhali msiuunge uzi huu tuna vijana damu changa wengi humu wanapaswa kupata ufahamu wa kule tulikotoka.
Ni huzuni kwa kweli.Ile kitu imekaa sehemu mbaya sana.
Kgs 101 kubaki kgs 30, sio mchezo.
Tuendelee kuchukua tahadhari.0
Unasema miaka 70 hakukuwa na muingiliano?Aya marazi niyakutengenezwa pia kunasiri nyingi najalibu kufikilia kama ugonjwa alipatikana kagera kwa mtu mmoja ulienea vip? Maan ilikua rahisi kuzibiti kupitia uyo mgonjwa? nawaza mbali zaid miaka ya 70 miundo mbinu haikua rafiki kusababisha muingiliano wawatu wengi, je ilikua vip ugonjwa kufika dar au mtwara? na vip kuhusu watu wa vijijini?
Hii comment naomba ukashee kimasihara kule kuna vijitu vina viburi vya uzima..!!Unasema miaka 70 hakukuwa na muingiliano?
Cross border businesses zilikuwa hot, mashati ya JULIANA was the hottest fashion na yalikuwa yanatoka Uganda ndiyo maana back then ugonjwa ulikuwa ukiitwa JULIANA kwa kuwa wafanyabiashara waliokuwa wakileta hayo mashati ndiyo walioanza kuugua ugonjwa huo. Ugonjwa ulitokea Uganda ukaingia mkoa wa Kagera kabla ya kusambaa nchi nzima, jina jingine la ugonjwa huo uliitwa SLIM hasa watu wa Kagera ndiyo walikuwa wakiuita hivyo kutokana na wagonjwa walivyokuwa wanakona. Ilikuwa hatari na nusu, mtu anabaki just skin and bones huku nywele zinakuwa kama za Kisomali ila nyembamba(yaani na nywele zinakonda na kusimama kama manyoya ya paka huku zikipepeapepea hata kama kaupepo ni kadogo tu ka kiuzushi)
Nguo nyingi zilizokuwa zinapendwa ambazo zilipatikana kwa wingi ilikuwa zinatoka Uganda, Rwanda na Burundi labda wajanja wa bandarini zamani wakipaita DOCKS(literally they meant DOCK) waliokuwa wakifungua containers za transit ndiyo pia walikuwa wanapata 'vidudu' vikali(vidudu=nguo) vinginevyo mshua aende mambele akirudi awaletee.
Wafanyabiashara wa kuvuka mipaka hasa border ya Mutukula ndiyo walioingiza ugongwa Tanzania.
This time hata hizo condom zitakuwa adimuUsione sooo sema nae kuhush kusubiri, kuwa muaminifu au kutumia kondom....hili kwangu mie was the best advert ever hapa bongo.
Sema ndio hivyo tena mbususu kula kwa condom ninkupiga nyeto tuu
Kuna sehemu nilishangaa muhaya anaitwa wakina kaleta kaugonjwa eti sababu ulianzia kwao wao ndio waliuvusha kutoka Uganda 😹😹😹Unasema miaka 70 hakukuwa na muingiliano?
Cross border businesses zilikuwa hot, mashati ya JULIANA was the hottest fashion na yalikuwa yanatoka Uganda ndiyo maana back then ugonjwa ulikuwa ukiitwa JULIANA kwa kuwa wafanyabiashara waliokuwa wakileta hayo mashati ndiyo walioanza kuugua ugonjwa huo. Ugonjwa ulitokea Uganda ukaingia mkoa wa Kagera kabla ya kusambaa nchi nzima, jina jingine la ugonjwa huo uliitwa SLIM hasa watu wa Kagera ndiyo walikuwa wakiuita hivyo kutokana na wagonjwa walivyokuwa wanakona. Ilikuwa hatari na nusu, mtu anabaki just skin and bones huku nywele zinakuwa kama za Kisomali ila nyembamba(yaani na nywele zinakonda na kusimama kama manyoya ya paka huku zikipepeapepea hata kama kaupepo ni kadogo tu ka kiuzushi)
Nguo nyingi zilizokuwa zinapendwa ambazo zilipatikana kwa wingi ilikuwa zinatoka Uganda, Rwanda na Burundi labda wajanja wa bandarini zamani wakipaita DOCKS(literally they meant DOCK) waliokuwa wakifungua containers za transit ndiyo pia walikuwa wanapata 'vidudu' vikali(vidudu=nguo) vinginevyo mshua aende mambele akirudi awaletee.
Wafanyabiashara wa kuvuka mipaka hasa border ya Mutukula ndiyo walioingiza ugongwa Tanzania.
Umeelezea Historia vizuri sana. Naamini Vijana wa "kula tunda kimasihara "(>2000s) watakuwa wamepata pichaUnasema miaka 70 hakukuwa na muingiliano?
Cross border businesses zilikuwa hot, mashati ya JULIANA was the hottest fashion na yalikuwa yanatoka Uganda ndiyo maana back then ugonjwa ulikuwa ukiitwa JULIANA kwa kuwa wafanyabiashara waliokuwa wakileta hayo mashati ndiyo walioanza kuugua ugonjwa huo. Ugonjwa ulitokea Uganda ukaingia mkoa wa Kagera kabla ya kusambaa nchi nzima, jina jingine la ugonjwa huo uliitwa SLIM hasa watu wa Kagera ndiyo walikuwa wakiuita hivyo kutokana na wagonjwa walivyokuwa wanakona. Ilikuwa hatari na nusu, mtu anabaki just skin and bones huku nywele zinakuwa kama za Kisomali ila nyembamba(yaani na nywele zinakonda na kusimama kama manyoya ya paka huku zikipepeapepea hata kama kaupepo ni kadogo tu ka kiuzushi)
Nguo nyingi zilizokuwa zinapendwa ambazo zilipatikana kwa wingi ilikuwa zinatoka Uganda, Rwanda na Burundi labda wajanja wa bandarini zamani wakipaita DOCKS(literally they meant DOCK) waliokuwa wakifungua containers za transit ndiyo pia walikuwa wanapata 'vidudu' vikali(vidudu=nguo) vinginevyo mshua aende mambele akirudi awaletee.
Wafanyabiashara wa kuvuka mipaka hasa border ya Mutukula ndiyo walioingiza ugongwa Tanzania.
Pole Sana mkuuUnyanyapaa ulikuwa wa kutisha enzi hizo. Kaka yangu RIP alikosa hata mtu wa kumuogesha akawa anaogeshwa na mama yake mzazi, maana mama RIP alisema mwanangu nilimwogesha alipokuwa mdogo basi na sasa bado ni mwanangu tu. Sasa fikiria mwanaume wa miaka 40 unaogeshwa na mama yako unajisikiaje?
Kabisa mkuuusemi wa mzee ruksa (rip) huo
Hata Kama Amenona,,Usipime Kwa Kuona,,Hiyo Ni Noma Utaja Ufe Kwa Ngoma,,Napenda Ishi Sipendi Mazishi,Usione sooo sema nae kuhush kusubiri, kuwa muaminifu au kutumia kondom....hili kwangu mie was the best advert ever hapa bongo.
Sema ndio hivyo tena mbususu kula kwa condom ninkupiga nyeto tuu
mkuu M O N S T E R kongole sana kwa izo picha umeweka uhalisia kabisa wa hali ilivyokuwa. najua wengine watabisha au kusema picha ni za kubumba au komedi lakini izo picha ndio zinaonesha hali halisi ilivyokuwa
Asante mkuu. Huu uzi umenitoa machozi.Pole Sana mkuu
Narudia tena kutomba na condom ni kupiga nyeto kuliko changamka.Hata Kama Amenona,,Usipime Kwa Kuona,,Hiyo Ni Noma Utaja Ufe Kwa Ngoma,,Napenda Ishi Sipendi Mazishi,