Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
- Thread starter
- #101
upo sahihi kabisa. zile filamu zilizorekodiwa huko bukoba kwakweli zilikuwa za kutamausha sana km ulivosema apo. walisema kuna kijiji kinakaribiana na uganda huko ndo hali ilikuwa mbaya zaidi unakuta nyumba kabaki mbibi tu amezika wanawe wote. nyumba zingine hakuna aliyebaki ni magofu tu. nyumba zingine unakuta wazazi wote wameshafariki wameacha watoto wanajilea wenyewe.Bk. huko watu walikufa Kijiji kizima. Yaani Kila siku wanazikwa watu watatu, wanne kwenye Kijiji kimoja kama vile kuku na kideri.