Kajirutaluka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 1,224
- 995
Series za kikorea zmekuharibu mkuu! [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] mpaka username..! DadadadakiiiiAigoo, [emoji106][emoji106]
Haha wale watoto wa kikorea wanamadeko ya aina yake.Series za kikorea zmekuharibu mkuu! [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] mpaka username..! Dadadadakiiii
Mkuu hizi ngoma mi sikuziwahi.. But nnazipenda sanaaaa! Yaani nikiwa safarini or nipo beach nmechill mida ya jioni kama jua lafanya kuzama hivi mida ya saa kumi na moja.. Najisikia nipo mbaali sana kama nyimbo hizi zinakuwa zinanisindikiza kwa mbaali..! I would kill anybody to have that feeling! [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Five Star - All Fall Down
Source: FiveStarVEVO
The Winners - We are number one
Source: MickeyFunkyTonight
LOVE STATION - THE WINNERS.wmv
Source: Daniel Wilson
Hiyo miaka kumbe ulikwepo..Nilikuwa najua wewe ni wa 95 mwenzanguKirefu cha DH eti walikuwa wanasema dingi hana uwezo [emoji38] [emoji38]
Mkuu hakuna website ambapo naweza kupata audio za hizi mambo.. Please mkuu fanya kutupia link hapa.. Ntakushukuru sana..!Wapendeza by Sammy Kasule
Source: Dekula2
Ninakumbuka hiyoPia nafikir ktk early 1990 kulikuwa na hizi chupi za kiume zinaitwa VIP sasa kwa sisi tuliokulia ktk miji midogo starehe zetu sana kuoga mtoni na soka, shida hizi chupi zilikuwa kama za mpira kwahiyo unaweza ukawa unafanya shughuli zako za kuogelea ama kucheza soka kumbe 'Lastic' imekatika kutahamaki chupi ipo kifuani dah those old days
Mmmh mi nakumbuka kama ni jina la mzee mmoja wapo aliyekuwa anamsumbua sana chumong wakati anahangaika kuunganisha vile vi chieftains mbali mbali ili vije kuwa KOGURYEO..! [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Haha wale watoto wa kikorea wanamadeko ya aina yake.
Username sio kikorea ni maasai.
Kulikua na viatu "asante Mayunga"Au ndio maana nilizikuta raba za DH dukani!my mummy yeye LOSO ndio ilikua kiatu chake
Haw-gwah nan aliitwa.Mmmh mi nakumbuka kama ni jina la mzee mmoja wapo aliyekuwa anamsumbua sana chumong wakati anahangaika kuunganisha vile vi chieftains mbali mbali ili vije kuwa KOGURYEO..! [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Mkuu upo vizuri! [emoji122] [emoji122] [emoji122]Haw-gwah nan aliitwa.