Tukumbushane tulikotoka

Tukumbushane tulikotoka

Series za kikorea zmekuharibu mkuu! [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] mpaka username..! Dadadadakiiii
Haha wale watoto wa kikorea wanamadeko ya aina yake.

Username sio kikorea ni maasai.
 
Pia nafikir ktk early 1990 kulikuwa na hizi chupi za kiume zinaitwa VIP sasa kwa sisi tuliokulia ktk miji midogo starehe zetu sana kuoga mtoni na soka, shida hizi chupi zilikuwa kama za mpira kwahiyo unaweza ukawa unafanya shughuli zako za kuogelea ama kucheza soka kumbe 'Lastic' imekatika kutahamaki chupi ipo kifuani dah those old days
 
Five Star - All Fall Down

Source: FiveStarVEVO

Mkuu hizi ngoma mi sikuziwahi.. But nnazipenda sanaaaa! Yaani nikiwa safarini or nipo beach nmechill mida ya jioni kama jua lafanya kuzama hivi mida ya saa kumi na moja.. Najisikia nipo mbaali sana kama nyimbo hizi zinakuwa zinanisindikiza kwa mbaali..! I would kill anybody to have that feeling! [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
The Winners - We are number one

Source: MickeyFunkyTonight

LOVE STATION - THE WINNERS.wmv

Source: Daniel Wilson
 
Pia nafikir ktk early 1990 kulikuwa na hizi chupi za kiume zinaitwa VIP sasa kwa sisi tuliokulia ktk miji midogo starehe zetu sana kuoga mtoni na soka, shida hizi chupi zilikuwa kama za mpira kwahiyo unaweza ukawa unafanya shughuli zako za kuogelea ama kucheza soka kumbe 'Lastic' imekatika kutahamaki chupi ipo kifuani dah those old days
Ninakumbuka hiyo
 
Haha wale watoto wa kikorea wanamadeko ya aina yake.

Username sio kikorea ni maasai.
Mmmh mi nakumbuka kama ni jina la mzee mmoja wapo aliyekuwa anamsumbua sana chumong wakati anahangaika kuunganisha vile vi chieftains mbali mbali ili vije kuwa KOGURYEO..! [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Tulikuwa tunapenda kuvaa moccasins sasa sikuhizi watoto wa kike wanazaa trainers, unamkuta anazo pair tofauti nyingine za mtoko jamani mtoko na trainers
 
sweet and pain ya chachacha a.k.a saa sita utanikoma vipi..!! sisi watu wa kanda ya ziwa especially mwanza tulipata kutoka kenya
 
Mmmh mi nakumbuka kama ni jina la mzee mmoja wapo aliyekuwa anamsumbua sana chumong wakati anahangaika kuunganisha vile vi chieftains mbali mbali ili vije kuwa KOGURYEO..! [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Haw-gwah nan aliitwa.
 
Back
Top Bottom