Kajirutaluka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 1,224
- 995
Halafu kulikuwa na kwenye mkebe yakiitwa yolanda. Ukipaka hayo we mtu wa matawi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Series za kikorea zmekuharibu mkuu! [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] mpaka username..! DadadadakiiiiAigoo, [emoji106][emoji106]
Haha wale watoto wa kikorea wanamadeko ya aina yake.Series za kikorea zmekuharibu mkuu! [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] mpaka username..! Dadadadakiiii
Five Star - All Fall Down
Source: FiveStarVEVO
The Winners - We are number one
Source: MickeyFunkyTonight
LOVE STATION - THE WINNERS.wmv
Source: Daniel Wilson
Hiyo miaka kumbe ulikwepo..Nilikuwa najua wewe ni wa 95 mwenzanguKirefu cha DH eti walikuwa wanasema dingi hana uwezo [emoji38] [emoji38]
Wapendeza by Sammy Kasule
Source: Dekula2
Ninakumbuka hiyoPia nafikir ktk early 1990 kulikuwa na hizi chupi za kiume zinaitwa VIP sasa kwa sisi tuliokulia ktk miji midogo starehe zetu sana kuoga mtoni na soka, shida hizi chupi zilikuwa kama za mpira kwahiyo unaweza ukawa unafanya shughuli zako za kuogelea ama kucheza soka kumbe 'Lastic' imekatika kutahamaki chupi ipo kifuani dah those old days
Mmmh mi nakumbuka kama ni jina la mzee mmoja wapo aliyekuwa anamsumbua sana chumong wakati anahangaika kuunganisha vile vi chieftains mbali mbali ili vije kuwa KOGURYEO..! [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Haha wale watoto wa kikorea wanamadeko ya aina yake.
Username sio kikorea ni maasai.
Kulikua na viatu "asante Mayunga"Au ndio maana nilizikuta raba za DH dukani!my mummy yeye LOSO ndio ilikua kiatu chake
Haw-gwah nan aliitwa.Mmmh mi nakumbuka kama ni jina la mzee mmoja wapo aliyekuwa anamsumbua sana chumong wakati anahangaika kuunganisha vile vi chieftains mbali mbali ili vije kuwa KOGURYEO..! [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Mkuu upo vizuri! [emoji122] [emoji122] [emoji122]Haw-gwah nan aliitwa.