Tukumbushane: Ulishawahi kuanzisha vagi au kuanzishiwa vagi Mtaani?

Pole mzee
 
Mimi nataka uwe wale madogo waliochukua buku halafu mimi yule mwingine
Ha ha ha kwa kujipa pasi za mwisho mwenyewe sikuwez aisee unataka akuonee huruma enhee?
 
Ha ha ha kwa kujipa pasi za mwisho mwenyewe sikuwez aisee unataka akuonee huruma enhee?
Hahaha
Mimi mzee wa counter inatoka kwa Boateng hadi kwa muller

vyenga vyenu nyie Barcelona
 
Hahaha
Mimi mzee wa counter inatoka kwa Boateng hadi kwa muller

vyenga vyenu nyie Barcelona
Ha ha ha ha hapa unacheza Total Footbal mzee pasi moja moja unagusa ukishtuka kunyavuuuuuuuuuuuuuu
 
Dah... Enzi hizo nikiwa mpiga ngeta mitaa ya mwananyamala ...kuna siku tulimuotea mjeda tukampukutisha kila kitu ...kesho yake wakatuwekea mtego masela wengine wakasepa wakaniacha pekee.... Walinidunda siku 4 mfululizo ....[emoji13] [emoji13]

Sent from my chips yai using JamiiForums Mobile App
 
Haukufa
 
Dah... Walijua washanipoteza...nilikuwa nawasikia vizuri tu.. Wakanitupa Kawe kwenye mikoko[emoji41] [emoji12] [emoji13]

Sent from my chips yai using JamiiForums Mobile App
 
Dah... Walijua washanipoteza... Wakanitupa Kawe kwenye mikoko[emoji41] [emoji12] [emoji13]

Sent from my chips yai using JamiiForums Mobile App
Hao jamaa sio watu wazuri wamefundisha kutoa uhai kama ibilisi
 
hahahahahahah nimecheka kwa nguvu hadi wasungu wananishangaaa
 
Mechi ilikufa, pesa sikupewa na kuachwa nikaachwa.
Ndio maaana nilitambaa nae tu pale MK.

Mwanamke hajui hata nyendo za mmewe...huyo boya tu.
Madame B hakuna siku umenichekesha kama leo, yaan inabidi umsaidie tu shigongo maana historia yako iko makini.
 
eti sharti la kupewa mke, jaman jaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…