Hatari mkuu 😀eti sharti la kupewa mke, jaman jaman
Umenikumbusha kulikua na binti ni mwembamba huyo ,yaan kati ya wote darasani ndio niliona mnyonge wangu nikijisikia tu namchokoza aiseeSio Kaoga nilikua na kamwil kadogo wakawa wananitia makwenzi miksa vichapo everytime
Ha ha ha ha ha kisa na wewe una wababe wako basi unatafuta wa kumuonea ila wenye maumbo madogo tunanyayasika sanaUmenikumbusha kulikua na binti ni mwembamba huyo ,yaan kati ya wote darasani ndio niliona mnyonge wangu nikijisikia tu namchokoza aisee
Yaan unajua hata ugomvi haunogi maanla ugomvi hata haunogiiHa ha ha ha ha kisa na wewe una wababe wako basi unatafuta wa kumuonea ila wenye maumbo madogo tunanyayasika sana
Ha ha ha ha una tabia mbaya sana kumnyanyasa mwenzio dahYaan unajua hata ugomvi haunogi maanla ugomvi hata haunogii
Yaan ilikua ikitokea tunapigana,mi namfata huyo huyo ahhaahha
Yaan nikikumbuka mpaka roho inauma jomoniiiHa ha ha ha una tabia mbaya sana kumnyanyasa mwenzio dah
Ha ha ha ha kwahyo na wewe kumbe una story yako ya kudundwa enhee? Kamfate tena sa hv uone utakavyochezeaYaan nikikumbuka mpaka roho inauma jomoniii
sababu nikimfata mwingine ntadundwa
Hahahha....wala sikuanzishii vagi mwaya.
nimeona mwenyewe mkuuHatari mkuu 😀
je na wewe alikutigo?Shule kuna jamaa alikuwa inasadikika anawatigo watu usiku wakilala. Sasa fununu zilizagaa kwa kila mtu ila wa kuthibitisha hakwepo.
Siku moja jamaa akajichanganya akamtigo dogo wa form one dogo akasikia wakati jamaa anamalizia. Dogo alipiga kelele raia wakajaa wakaanza kumpiga jamaa. Daah jamaa alichezea balaa nusu afe. Toka siku hiyo kumgusa mtu kwenye umati siwezi
Pole....ulikuwa ni muoga sana jamani.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we ni kiboko ya uchafu; mi cjawahi kugombana jmn afu nikikasirika cwez kuongea nalia tyu mpka Leo!!ila nilikuwa na best yngu hyo ngumi mkononi c anajua mi muoga MTU akinichokoza tu ananunua ugomvi wee hakubali kushindwa wakawa wanamuita ngumi jiwe [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
ha ahaha ngoja nikae na jibu langu lakuassumeNingempoteza uraiani
Sasa hivi nna mdomo huo nnaongea wewee,nna mkwara balaaHa ha ha ha kwahyo na wewe kumbe una story yako ya kudundwa enhee? Kamfate tena sa hv uone utakavyochezea
HahahhaHalafu virampasi vyako vya sehemu za vilaji... wewe muumini mwenzetu tena dhehebu moja
Ha ha ha ha ndio mbinu yako mpya ya kujificha from kichapo maana kuna watu wanaongea mpka unajishtukia kumuanzsihia vagiSasa hivi nna mdomo huo nnaongea wewee,nna mkwara balaa