Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Aisee zama hizo zilikua tamu sana.kwa cartoon nilikua napenda silverhawks,captain planet,double dragon,supermario,sonic,batman,flintstone na bila kusahau shivooooooo.kwa movies na series ni RoboCop, Mzee WA totoz point man jamaa alikua anapenda kuvaa pluneki,seketo dia ya mooo.kabla muvi haijaanza lazima kile kibwagizo niimbe nao..secreto diaaaaa moooo secretoooo secretoooo diaaa mooo.isidingo niliifatilia kipindi imeanza kulikua na jamaa matata anarasta derick nyati,Tausi kina mujuba aisee nilikopi adi kutongoza lafudhi ya kikenya,mambo hayo kina bishanga bashaija na nyingine ilikua inaitwa dhoruba ilikua inatisha mpaka wakaiondoa.Mzee flani anafufuka alafu anasema nakuja kama dhorubaaaaaa yani shule iko maporini kuwahi Namba nikawa naogopa nikiikumbuka hiyo muvi.kipindi hicho kwenye mpira kulikua na vichwa kama babayaro,babangida,Sunday olise,ucheokochuku,okocha,kanu,ndiefi,ronaldo de Lima anachambua Uwanja mzima,batistuta,otega,edgar Davis,zizu na wengine wengi.masumbwi Tyson k.o. za kutosha.na kwa matangazo ni lile la nipen NGUO nifue komoa na sabuni ya komoaaa ayeyeee komoaaa.jingine ni Mshindi sabuni yenye nguvu yenye kutakatisha kuliko zote mshindiiiii.pia kuna la gazeti letu mtanzania gazeti la habari kemukem habari za kitaifa habari za watoto na makala maalum kwa jamii yote.kuna chai bora kilele cha ubora chai bora ni majani ya tatepa iwe na maziwa isiwe na maziwa vyovyote vile utachangamka.la mwisho ni tufanye kazi kwa nguvu zote kazi kazi tujenge taifa letu baada ya kazi ni kuburudika ni wakati WA tusker.mpaka Leo ndio bia yangu
 
Tausiii ndege wanguu!!ndege wangu wa fahari!

Nakumbuka siti binti Kasri alivyokuja dar kwao pale kwa manjunji M/mala watu tulivunja ukuta kwenda kumshangaa...!!

Asante mleta Uzi!
Nilikuwepo live mwananyamala kisiwani sio manjunju mi niikua darasa la tano mwananyamala b primary. Dah R. I. P sity bint kasri
 
Saiv ni muhenga yule binti
 
" Days of our lives " CTN
 
Tangazo la Mafua ya "Jambo"
 
Cowbell our milk nakumbuka walikuwa main sponsors wa France world cup 1998 kupitia itv
 

Kipindi cha neighbors ITV kilikua jioni jioni kilikua kinanizingua hata nilikua sijui kinaendelea nini pale..kule channel Ten tangazo la sabuni kodrai kuna mzee anaosha ugoko wake umekaukaa kama kuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…