BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,913
Joniur na mzee popeye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jina lake halisi ni Jumanne Kabwela ila ili aonekane yeye ni mtoto wa town ndo akaamua kujiita Jimmy Kabwe.Hivi jimmy Kabwe yupo kweli?
Nilikuwepo live mwananyamala kisiwani sio manjunju mi niikua darasa la tano mwananyamala b primary. Dah R. I. P sity bint kasriTausiii ndege wanguu!!ndege wangu wa fahari!
Nakumbuka siti binti Kasri alivyokuja dar kwao pale kwa manjunji M/mala watu tulivunja ukuta kwenda kumshangaa...!!
Asante mleta Uzi!
Alikua na kasauti flani hiviView attachment 402149hivi mnamkumbuka jina huyu jamaa..? ...vichekesho vyake vilikua itv miaka hio sijui vilikua vinaitwaje
1998Kwani isidingo kwa kumbukumbu ilianza lini mkuu
MhengaNakumbuka ITV walipozindua tu wakaanza na World Cup 1994 USA. nilikuwa nakesha sitting room peke yangu hadi alfajiri, wakati huo nikiwa kidato cha nne.
Saiv ni muhenga yule bintiHili kombe la dunia tangazo bora lilikuwa la Revola likitangazwa na binti mmoja maridadi sana alikuwa akisema " sio siri, ni revola. Huniweka fresh, mchana kutwa" alafu anatoa tabasanu moja laini mithili ya sufi. Jingine lilikuwa wanasema " kazi kazi, tufanye kazi kwa nguvu zoteee" lilikuwa la bia ya tusker nadhani. Sinto sahau mechi ya Argentina vs. [emoji1184] Nigeria plus Nigeria [emoji1184] vs. Bulgaria [emoji1058] Rashidi Yekini alilia na nyavu ngoma 3-0
Heshimu bibi zakoKwani marashi yake ni tulivu na huniweka fresh, mchana kutwa. Alafu anatoa tabasamu moja lainiii na nyororo mithili ya sufi hadi leo nalikumbukaaaa
" Days of our lives " CTNWana jamvi leo nimeona japo turevew miaka hii ya nyuma vipindi vya television enzi zile 1994 kuibukia miaka ya 2000. Binafsi nakumbuka mbali sana hasa vipindi vya television ITV mfano Egoli place of Gold, 21 jump Street, Time trax, movie ya V, Rino Renz, vichekesho Kama Fresh Prince of bell air, family matters, Living Single ya Queen Latifa, Tausi ya mjuba, Vitimbi(masakuu, Ojwang' Othrong'ong'o) Vioja Mahakamani, Mambo hayo ya kina Waridi, Sumbi, bocha na Aisha. Pia kulikuwa na Tamthiliya kama The young and the restless, Sun seat beach, na Acapulco bay.
Aidha nakumbuka tulikuwa tunaangalia UEFA kupitia CFI(Canal France International). Matangazo nakumbuka kama Revola, komoa, lotion ya Jambo, hebu vingine mnisaidie CTN na DTV. Je kipindi kile watangazaji unawakumbuka? Wa ITV, CTN, na DTV. Mimi kwa itv namkumbuka Suzan Mongi nilimpenda sana sana. Karibuni tuflash back jamani.
Mac wilium, Ben Macarth, subusiso zuma, boothBafana bafana 96 hio nadhani, Mac Fish, Dr Khumalo, Ladebe
Tangazo la Mafua ya "Jambo"Wana jamvi leo nimeona japo turevew miaka hii ya nyuma vipindi vya television enzi zile 1994 kuibukia miaka ya 2000. Binafsi nakumbuka mbali sana hasa vipindi vya television ITV mfano Egoli place of Gold, 21 jump Street, Time trax, movie ya V, Rino Renz, vichekesho Kama Fresh Prince of bell air, family matters, Living Single ya Queen Latifa, Tausi ya mjuba, Vitimbi(masakuu, Ojwang' Othrong'ong'o) Vioja Mahakamani, Mambo hayo ya kina Waridi, Sumbi, bocha na Aisha. Pia kulikuwa na Tamthiliya kama The young and the restless, Sun seat beach, na Acapulco bay.
Aidha nakumbuka tulikuwa tunaangalia UEFA kupitia CFI(Canal France International). Matangazo nakumbuka kama Revola, komoa, lotion ya Jambo, hebu vingine mnisaidie CTN na DTV. Je kipindi kile watangazaji unawakumbuka? Wa ITV, CTN, na DTV. Mimi kwa itv namkumbuka Suzan Mongi nilimpenda sana sana. Karibuni tuflash back jamani.
Aisee zama hizo zilikua tamu sana.kwa cartoon nilikua napenda silverhawks,captain planet,double dragon,supermario,sonic,batman,flintstone na bila kusahau shivooooooo.kwa movies na series ni RoboCop, Mzee WA totoz point man jamaa alikua anapenda kuvaa pluneki,seketo dia ya mooo.kabla muvi haijaanza lazima kile kibwagizo niimbe nao..secreto diaaaaa moooo secretoooo secretoooo diaaa mooo.isidingo niliifatilia kipindi imeanza kulikua na jamaa matata anarasta derick nyati,Tausi kina mujuba aisee nilikopi adi kutongoza lafudhi ya kikenya,mambo hayo kina bishanga bashaija na nyingine ilikua inaitwa dhoruba ilikua inatisha mpaka wakaiondoa.Mzee flani anafufuka alafu anasema nakuja kama dhorubaaaaaa yani shule iko maporini kuwahi Namba nikawa naogopa nikiikumbuka hiyo muvi.kipindi hicho kwenye mpira kulikua na vichwa kama babayaro,babangida,Sunday olise,ucheokochuku,okocha,kanu,ndiefi,ronaldo de Lima anachambua Uwanja mzima,batistuta,otega,edgar Davis,zizu na wengine wengi.masumbwi Tyson k.o. za kutosha.na kwa matangazo ni lile la nipen NGUO nifue komoa na sabuni ya komoaaa ayeyeee komoaaa.jingine ni Mshindi sabuni yenye nguvu yenye kutakatisha kuliko zote mshindiiiii.pia kuna la gazeti letu mtanzania gazeti la habari kemukem habari za kitaifa habari za watoto na makala maalum kwa jamii yote.kuna chai bora kilele cha ubora chai bora ni majani ya tatepa iwe na maziwa isiwe na maziwa vyovyote vile utachangamka.la mwisho ni tufanye kazi kwa nguvu zote kazi kazi tujenge taifa letu baada ya kazi ni kuburudika ni wakati WA tusker.mpaka Leo ndio bia yangu