bandu bandu
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 2,747
- 871
The beast/bold and the beautfulDays of our lives ni series ya tangu 1965 mpaka leo aise.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The beast/bold and the beautfulDays of our lives ni series ya tangu 1965 mpaka leo aise.
Bila kusahau sunset beachIngia youtube andika the passions full episode 1
Itakuja episode ya kwanza na ukiifungua automatically itakuja na ya pili kama next to watch, ukiifungua ya 2 ya tatu itakuwa next to watch, hivyohvyo, YouTube ipo full pia unaweza angalia kama season, unaandika passions season 1,then ukimaliza unaandika passions season 2 na kuendelea
You are the fire burning inside of me, you are my passions for life
Jamani alifariki lini?Mchekeshaji steve, alikuwa na kisauti chembamba but ni marehemu now
Kiti moto: Pascal Mayala.Wana jamvi leo nimeona japo turevew miaka hii ya nyuma vipindi vya television enzi zile 1994 kuibukia miaka ya 2000. Binafsi nakumbuka mbali sana hasa vipindi vya television ITV mfano Egoli place of Gold, 21 jump Street, Time trax, movie ya V, Rino Renz, vichekesho Kama Fresh Prince of bell air, family matters, Living Single ya Queen Latifa, Tausi ya mjuba, Vitimbi(masakuu, Ojwang' Othrong'ong'o) Vioja Mahakamani, Mambo hayo ya kina Waridi, Sumbi, bocha na Aisha. Pia kulikuwa na Tamthiliya kama The young and the restless, Sun seat beach, na Acapulco bay.
Aidha nakumbuka tulikuwa tunaangalia UEFA kupitia CFI(Canal France International). Matangazo nakumbuka kama Revola, komoa, lotion ya Jambo, hebu vingine mnisaidie CTN na DTV. Je kipindi kile watangazaji unawakumbuka? Wa ITV, CTN, na DTV. Mimi kwa itv namkumbuka Suzan Mongi nilimpenda sana sana. Karibuni tuflash back jamani.
Huwa namuona mitaa ya survey nilifurai sana kuona jamaa kajiendeleza hakulizika na mshahara wa wahindi ITVYupo COSS College Udsm afu sio mnene kivile cku hizi
Sheridan crane!Theresa,Luis,Sheridan!!
Sanaaaa mkuu umenukumbusha mbali sanaa kwanza unit, N2P, Wanock nock, New Radicals daaah kitambo snaaVipindi vya music nilikuwa navutiwa navyo. Enzi za Cool James, Kwanza Unit, Diplomats. Nje walikuwepo The New Radicals, Everton Blender, Los Del Rio na C+C Music Factory, "one hit wonders" kama Mr. Vain, Boom shack a lack, Tom's diner, Scatman na nyingine nyingi tu . Kipindi kile nilikuwa na ndoto ya kuja kuwa msanii pia.
Tanzania ilionyesha kuwa inakwenda na mda pia. Atleast ngoma za Sikinde na za aina hiyo tuliwaachia wazee, wajomba na shangazi zetu. Rap, RnB na reggae dancehall ziliwavutiwa vijana na watoto sana.