Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Ngoja tukumbushane uhenga wetu hapa.

Kuna lile movie la resistance silaha zao kama za star wars ITV.

X FILES CHANEL TEN
GODZILAA

INSPEKTA MAKARANGA CJUI CHANEL GANI ILE

TAMTHILIA YA KIBUYU MZEE MAJUTO CTN

CHEKA NA DTV MZEE SMALL NA BI CHAU

MAMBO HAYO WAIGIZAJI WAKUU WAKIWA RICH, BISHANGA, WARIDI, ZAWADI KABLA YA WALE WENGINE HIYO ILIKUWA ITV

EGOLI, BOLD & BEAUTIFUL, Acapulco, Camila ISIDINGO ( hii sikuopenda tangu niko mtoto na siipendi mpaka Leo)
 
NI lecturer udsm jamaa ana PHD saizi alafu mkuu kama unatangazo lile la revola liweke basi hap lilikua linanikosha sana
Daaaah mkuu jamaa kapiga hatua PhD? Yupo mbali kielimu, yaani hata Mimi tangazo la Revola naliwaza sijui nitalipata wapi yaani nimejaribu kulisaka YouTube bila mafanikio may be ITV wenyewe wanaweza kuwa nalo
 
Mhenga mwenzanguu hahah afu kulikuwa na cartoon network dtv au CTN kama cjakosea na pia kulikuwa na taarifa ya habari na michezo alikuwa anatangaza Efraim Kibonde wa jahazi clouds, ila nikitambo Sana
 
Hahaha umenikumbusha sana akina mzee small, bi chai, tupatupa
Na kenya walikuwepo masakuu, mama kayayi, masanduku, mzee ujwango, makanyaga...
 
Kwenye DTV tangazo bomba lililokuwa linanivutia ni lile Tangazo la sabuni ya Komoa,jamaa ananawa miguu.

ITV kuna mchezo makini sana wa wakenya ulikuwa unajulikana kwa jina maarufu la HASSAN NA HUSNA. Mtoa uzi wakati huo nina hakika hujazaliwa ww na hata kama ulizaliwa bas ulikuwa bado unavaa nepi. Kama unabisha niambie mwanachia alikuwa anaekti mchezo gan?
 
Tausiii ndege wanguu!!ndege wangu wa fahari!

Nakumbuka siti binti Kasri alivyokuja dar kwao pale kwa manjunji M/mala watu tulivunja ukuta kwenda kumshangaa...!!

Asante mleta Uzi!
Ile tamthilia imewaharibu sana Bongo Movie hadi kesho! Kwavile kwenye geti la mmoja wa wale Characters (sijui kwa akina Mjuba vile, ckumbuki) kulikuwa na mlinzi chizi chizi basi hadi kesho walinzi wa magetini kwenye Bongo Movies ni machizi chizi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…