Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

ntamwambia dogo mmoja yuko itv anichekie kwenye library yao kama watakua na haya matangazo nilikua nayapenda sana
Hebu mwambie huyo dogo alisake tangazo la revola ulitupie humu mkuu, tutakuzawadia zawadii
 
Eti leo hizo channel zote tunalipishwa...wakati kipindi hicho hata TBC(TVT) haikuwepo.
 
Aisee nimekumbuka mbali sana japo nimesonga kiumri lakin economic freedom npo nyuma sana. Since those days, nothing has changed.
 
Hahaha nimekumbuka movie yangu ya superman.yaani nilikuwa sili chakula mpaka niambiwe nitakuwa kama superman
 
Aisee nimekumbuka mbali sana japo nimesonga kiumri lakin economic freedom npo nyuma sana. Since those days, nothing has changed.
Kama mtu unakumbuka hivi vipindi sote ni wahenga kuanzia 30yrs kupanda juu
 
Ucsahau days of our lives na Tangazo la aspen nílikuwa mdogo Sanaa CTN mko wap cku hiz....
 
Nakumbuka CTN ikifika mida fulani hv usiku walikuwa wanaonesha muv za kizungu.. dah haha nimeamka sana usiku kuchek muv na nilikuwa napenda sana vipengele vya mahaba aise ilikuwa poa sana..
 
Nakumbuka CTN ikifika mida fulani hv usiku walikuwa wanaonesha muv za kizungu.. dah haha nimeamka sana usiku kuchek muv na nilikuwa napenda sana vipengele vya mahaba aise ilikuwa poa sana..
Mkuu unaonesha mchana ulikuwa unalala sanaa
 
Kwanja Time, Days of Our Lives, X-files, Maigizo ya kina Kibakuri - ITV (nazani hata filamu za sunche na kapeto zilikua zinarushwa)
 
Hapa nipite kimya kimya tu mana tv yenyewe ya kuvizia kwa watu enzi hizo utakachokuta ndicho utakachoangalia
 
Back
Top Bottom