Tukumbushane visa vya kwenye Biblia ambavyo ni funzo pia kwetu

KISA: MSAMARIA ALIYEMSAIDIA MAJERUHI.

FUNZO: TUWATENDENDEE WENGINE VILE SISI TUNGEPENDA KUTENDEWA BILA KUJALI SURA, RANGI AU HADHI YA MTU.
Tusichague kusaidiana kwa matabaka
 
KISA: Mtume (SAW) Kukubali Ombi na Kumuoa Bi. Khadija.

FUNZO: Ndoa ni Jambo Zuri Sana. Umri ni namba tu. MaSugarMummy ni Muhimu sana katika Jamii yetu. Vijana tuweke Aibu pembeni linapukuja suala la Sunna.
😂waache kuona aibu
 
KISA: Kahaba aliyesamehewa Dhambi.

FUNZO: Msamaha wa Dhambi upo kwa wote walio tayari kutubu Toba ya kweli. Haijalishi ni mara ngapi unaanguka bila kukusudia.
Na hakuna dhambi kubwa wala ndogo
 
VISA: MITUME, MASAHABA NA MANABII WOTE NA MAISHA YAO.

FUNZO: IBADA NI MUHIMU SANA HAIJALISHI WEWE NI NANI. NI LAZIMA KUMFANYIA MUNGU IBADA.
Ibada ni muhimu kwa kila MTU....Mungu aendelee kutukumbusha
 
Pale kaini alipomuua khabil (abeli) akaondoka akaenda kuzaliana
Hii inanifundisha kuwa mwanaume anaweza kuzaa bila kuwa na mwanamke.
Hapana bhana,alizaa na wanawake jaman
 
Kila kitu tufanye kwa kias The Icebreaker
 
Kila kitu kwa kiasi hata chakula ukila ukavimbiwa ni dhambi! Mbususu yenyewe hata ikiwa HIV ukiila kawaida unanusurika ukizidisha kiasi mpaka ukomoe mara utie mkongo ni dhambi lazima uukwae hivyo kila kitu kwa kiasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila jambo na wakati wake
 
Ha ha haa,lilikuwa jiwe Mkuu,kajiwe...afu kumbuka alipigwa kwa head
 
[emoji2962][emoji848] hii iundiwe maada maalum ila isichangiwe na wafia dini[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye HIV nimekuelewa mkuu
 
Mapito aliyopitia Ayubu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…