Tukumbushane visa vya kwenye Biblia ambavyo ni funzo pia kwetu

Binafsi nalifikiria jibu la Kaini kwa Mungu ,,pindi Mungu alipo muuliza Kaini yuko wapi ndugu yako ,,Kaini akajibu kwani Mimi ndie mlinzi wa ndugu yangu?
 
Namba 4 sio sawa, Daudi hakuwa na shida na mke wa boss wake, mwanamke ndiye alitaka kumbaka.
 
Watu wa Sodoma na Gomora pamoja na kufirana wao kwa wao hawakutosheka mpaka wakataka kuwafira malaika.

Hatimaye wakaangamizwa kwa moto mkubwa.
Hapa ndio binadamu alifika kiwango cha mwisho cha tamaa!
Hata shetani nadhani alicheka kwa hili!
 
Watu wa Sodoma na Gomora pamoja na kufirana wao kwa wao hawakutosheka mpaka wakataka kuwafira malaika.

Hatimaye wakaangamizwa kwa moto mkubwa.
Hawa ndo walitia fora [emoji1787]
 
Hapa umechanganya mafaili wakati anakataa papuchi ya boss wake Alikua Ni fala tu... Hakuwa na mamlaka yyte kwa wakati huo
 
Hapa umechanganya mafaili wakati anakataa papuchi ya boss wake Alikua Ni fala tu... Hakuwa na mamlaka yyte kwa wakati huo

kasome vizur bible yako.

Mwanzo 39:4
[4]Yusufu akaona neema machoni pake, akamtumikia. Naye akamweka awe msimamizi juu ya nyumba yake, na yote yaliyomo akayaweka mkononi mwake.

Kwanza kufanya kazi tu kazi kwa Mkuu wa Askari, unafikir ni sawa na kufanya kazi kwa Muhindi 😆😅 alipata kibali mapema tu. Na akawekwa kuwa Msimamizi.

Mwanzo 39:5-7
[5]Ikawa tokea wakati alipomweka awe msimamizi juu ya nyumba yake, na vyote vilivyomo, BWANA akabariki nyumba ya yule Mmisri kwa ajili ya Yusufu. Mbaraka wa BWANA ukawa juu ya vyote alivyokuwa navyo katika nyumba, na katika shamba.
[6]Akayaacha yote aliyokuwa nayo mkononi mwa Yusufu; wala hakujua habari za kitu cho chote chake, ila hicho chakula alichokula tu.
Naye Yusufu alikuwa mtu mzuri, na mwenye uso mzuri.
[7]Ikawa baada ya mambo hayo, mke wa bwana wake akamtamani Yusufu, akamwambia, Lala nami.
 
Binafsi nalifikiria jibu la Kaini kwa Mungu ,,pindi Mungu alipo muuliza Kaini yuko wapi ndugu yako ,,Kaini akajibu kwani Mimi ndie mlinzi wa ndugu yangu?
Afu watu wa zamani walikuwa na majibu ya kushona....mfano ya Yesu
 
Kaz Kwa muhindi zina nini
 
Shetani baada ya kuasi mbinguni akaachishwa kazi halafu akalipwa Dunia kama mafao, msione tunateseka hivi hapa duniani mjue shetani anakula mafao.
🤣🤣🤣 Kwenye andiko gani tukathibitishe🤭
 
Amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…