Tukumbushane Wachagga waliowahi kusakata kabumbu kwa kiwango cha ligi kuu bara

Tukumbushane Wachagga waliowahi kusakata kabumbu kwa kiwango cha ligi kuu bara

Sidhani kama kuna wachagga wengi kwenye kucheza soka.Mara nyingi kazi ambazo mchagga pesa mpaka ipite kwa mtu ndo imfikie mmmh...... mfano bendi ya muziki mtu akae golini akusanye afu yeye mwimbaji apokee baadaye kwa wachagga ngumu hii..... Ndo maana hakuna bendi uchaggani,
 
Wachaga kweny uchezaji wa Mpira Ni ngumu kuwapata, kuna story niliwah kusikia Etiiii zaman Wachaga walikuwa wanacheza sana Mpira. Siku moja wakawa wanacheza na Timu kubwa Kwel sasa masawe akawa amewapiga chenga walinzi wa Timu pinzani jamaa akabaki na kipa peke yake, kuchek jukwaaan akaona nyomi y'all watu, jamaa ikabid akimbilie getini kuuliza mapato, aiseeee mushi mpaka sasa iv umeingiza sh ngap??? Mpaka Leo Hakuna mchaga anayetaka kucheza Mpira Kila mtu anataka agae getin akusanye hela!!!!
 
Viwanja vyenyewe watapata wapi wakati washarithishana hadi makaburi...mchaga hawezi fanyia ujinga wa mpira kiwanja cha urithi
 
Sidhani kama kuna wachagga wengi kwenye kucheza soka.Mara nyingi kazi ambazo mchagga pesa mpaka ipite kwa mtu ndo imfikie mmmh...... mfano bendi ya muziki mtu akae golini akusanye afu yeye mwimbaji apokee baadaye kwa wachagga ngumu hii..... Ndo maana hakuna bendi uchaggani,
Hata ile timu ya Ushirika iliyovuma sana wachezaji wengi hawakuwa vijana wa kichaga
 
Chagga(wachaga) ni moja ya makabila makubwa Tanzania. Limefanikiwa kujikita kwenye nyanja mbalimbali ikiwemo biashara(zaidi), kazi, sanaa na burudani, michezo etc. Kwenye mpira wa miguu wachaga waliokuwepo au waliopo wenye majina makubwa sio wengi kutokana na upande wa kaskazini mpira haujawahi kuwa moja ya vitu interested sana kwao tangu enzi.
 
Back
Top Bottom