Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Mimi naanza na Christopher Alex Massawe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kabisa, baba yake mchaga ila mama yake ni mgogo. Aliugulia sana pale Chang'ombe kwa mama yake kabla hajatangulia mbele za haki.Mimi naanza na Christopher Alex Massawe
r.i.pSawa kabisa, baba yake mchaga ila mama yake ni mgogo. Aliugulia sana pale Chang'ombe kwa mama yake kabla hajatangulia mbele za haki.
kumbe ni mchagga?Chila Tenga
Yap!kumbe ni mchagga?
kumbe ukoo wangu nao ulisha shiriki kwenye mchezo huu wa mpira wa miguuMimi naanza na Christopher Alex Massawe
KilemaYap!
Mchaga wa marangu kama sio kilema.
Ingawa sina uhakika lakini ninavyojua Bobani ni Mnyamweziharuna moshi boban na patric betweli
Hata ile timu ya Ushirika iliyovuma sana wachezaji wengi hawakuwa vijana wa kichagaSidhani kama kuna wachagga wengi kwenye kucheza soka.Mara nyingi kazi ambazo mchagga pesa mpaka ipite kwa mtu ndo imfikie mmmh...... mfano bendi ya muziki mtu akae golini akusanye afu yeye mwimbaji apokee baadaye kwa wachagga ngumu hii..... Ndo maana hakuna bendi uchaggani,
Wachaga na mpira wapi na wapi. Ndio maana kwishoni huyo massawe akaishia kuiba gari la jeshi/mwanajeshi sijui kesi yake iliishaje....rangi yake kamili na anachoweza kufanya ikaonekanaMimi naanza na Christopher Alex Massawe