Tukumbushane wasanii ambao ni watoto wa kitajiri ambao hawafanyi Mziki kwa sababu ya njaa

Sawa ila hujafafanua vizuri ili wengine tupate kujua. Kwa kila msanii ulomtaja kwenye hiyo orodha fupi tupe na family back ground economically ili tuone kweli kwao kuna madini. Kututajia majina tu unakuwa hujafanya kitu maana na mimi naweza taja taja tuuu na wakwangu. Toa evidence
 
Hivi mkuu ni ishu gani iliyomtajirisha Super nyamwela? Ni muziki tu?
 
Hivi mkuu ni ishu gani iliyomtajirisha Super nyamwela? Ni muziki tu?
Mkuu super nyamwela invested wisely baada ya kupata mafao yake kwenye muziki alipo kua dancer.
Jamaa kafanya kazi na magwiji wa muziki kutoka Kongo kuanzia Pepe Kalle, Defao, Kanda bongo man, awilo longomba etc.
Na kwa kufanya kazi na wakongwe hao ndiko alikopatia utajiri wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…