Ok mkuuMkuu super nyamwela invested wisely baada ya kupata mafao yake kwenye muziki alipo kua dancer.
Jamaa kafanya kazi na magwiji wa muziki kutoka Kongo kuanzia Pepe Kalle, Defao, Kanda bongo man, awilo longomba etc.
Na kwa kufanya kazi na wakongwe hao ndiko alikopatia utajiri wake.
Hila miraji ana nyimbo chache , nafikiri kama nne au tanoMiraji kikwete [emoji2]
Afande Sele apana.haukumsikia kwenye mkuki moyoni? Alimfuata mama yake Mtwara maza akamkataa akaingia kitaa kutafuta elaGwajima
Lady JayDee
Chidi Benz
Shilole
Sugu
Bitchuka
Juma Nature
Ali Kiba
Vanessa Mdee
Tunda Man
Mr Blue
Le Mutuz
Afande Sele
Omari Dimpo
Aisha Mashauzi
Mpoki
AY
Ruge
Lipumba
Mbwana Samatta
Ruby
........yaani list ni ndefu siwezi kumaliza leo, ngoja nilale tu.
Mtoto wake nani?Baba yake Nimrod Mkono,mtu mwenye uwezo mkubwa kiuchumi na kisiasa
Sio dataz tu ata Mike Mwakatundu aka MIKE TDataz na squizer baba yao alikua tajiri balaa
Sio sana maana mdogo wake yule mdada anayeimba copy ANETH KUSHABA na mzee wao anauza furniture pale keko duka lao linaitwa KUSHABAMan x
Aliyeimba kama mipango, yote anapanga mwenyezi nimechezea bahati
Ft dully sykes
Kumbe alishawahi kuimba?Hila miraji ana nyimbo chache , nafikiri kama nne au tano
ndiyo mkuu, si umeona kwenye list hapoKumbe alishawahi kuimba?
Duh, mwanangu umenikumbusha kitambo sana ulivyotaja ManX, enzi za Makongo secondary tulikuwa tunamuita Alex minondo, dah kitambo sana huyu Chalii, sijui yupo wapi? Kwa sasaMan x
Aliyeimba kama mipango, yote anapanga mwenyezi nimechezea bahati
Ft dully sykes
Biashara za kinondoni. Hatakuwa anafanya ujasiria Mali wa kilimo cha unga wa mahindiHivi mkuu ni ishu gani iliyomtajirisha Super nyamwela? Ni muziki tu?
Nikiwahi kumuona katika interview moja nahisi ni eatv anahojiwa, akasema muziki ni basi anasimamia mali za kwao, kwao kuna mjengo mmoja maridadi na hata ile video yake na dully pale ni kwao.Duh, mwanangu umenikumbusha kitambo sana ulivyotaja ManX, enzi za Makongo secondary tulikuwa tunamuita Alex minondo, dah kitambo sana huyu Chalii, sijui yupo wapi? Kwa sasa
Sina uhakika.Sio sana maana mdogo wake yule mdada anayeimba copy ANETH KUSHABA na mzee wao anauza furniture pale keko duka lao linaitwa KUSHABA
true mkuu yaki kitambo hicho na akina amba, shaksi, beni,betaman akitamba na single ya unyoya, tulikuwa tunakula nae ugali na maharage kihesa kanisani pale kwakna ambaYaki ninaye mfahamu kuhustle saana iringa..maisha kawaida tu kapiga mtogwa labda kama sio huyu nnaemsema
NahreelMtoto wake nani?
Nahreel ni mtoto wa mukono kama umewahi kumsikiaSasa jamaa ana ukisure gani kwa mfano?
Anakwambia "Sishoneshi"...Mwenye Kinondoni yake, Mzee Kigogo, Warioba, Mnyama, T.I.D