Tukumbushane wasanii ambao ni watoto wa kitajiri ambao hawafanyi Mziki kwa sababu ya njaa

Jux na huyo bonge la nyau toka lini wakawa wakishua
 
Hao wote hawana ushua wowote wazazi wao hawana chochote,huyo jux hakuna chochote kila siku unaskia mara anajenga ghorofa mara mtoto wa kishua kumbe kawaida tu,mama ni mstaafu anakaa kimara maisha yakawaida tu
 
Wa kawaida angeweza kumpeleka mtoto kusoma CHINA,hawa wa kawaida tunaowajua sisi hata fees ya udom inagomba
 
Wa kawaida angeweza kumpeleka mtoto kusoma CHINA,hawa wa kawaida tunaowajua sisi hata fees ya udom inagomba
Uwezo wa kawaida huo,shida watu wanapenda sana kujikweza kuliko uwezo wao...kwenda china sio issue siku hizi mama anaweza kumsomesha mtoto kwa mkopo au kiinua mgongo chake
 
You can't be serious msaga sumu ninaemjua mimi alikuwa nauza mitumba tandika?
Au Msaga sumu huyu huyu mwenye pengo aliekosa hata hela za kuweka man made teeth?
Au msaga sumu huyu huyu anepiga show za uswahilini za kulipwa buku 2 ya kunywea gongo?

Huyo huyo mkuu, alizaliwa wa kishua maisha tu
 
Taaarabu hiyo ya mtandao pendwa au twaarabu ya mambo ya Pwan
Hahhhahahahahhahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…