3D.
JF-Expert Member
- Sep 7, 2010
- 1,018
- 284
Hii thread imekatika? Nasikiliza Dunia msongamano - Ndala Kasheba (Supreme) dakika hii. Full trumpet. Full gitaa. Full ujumbe. Aaa, wakati umekwenda wapi? Kwa nyimbo zenye majina ya wanawake nazopenda ni nyingi, kwa kuanzia Jack - Nico Zengekala.
Dunia msongamano:
Dunia msongamano kasema baba,
Nimeyaona leo nakubali mie,
Wengine hupendelea kufurahia wanaposikia fulani kafa,
Kufa kwa binadamu hupangwa na Mungu,
Namuomba Mwenyezi anipe maisha.
Dunia msongamano:
Dunia msongamano kasema baba,
Nimeyaona leo nakubali mie,
Wengine hupendelea kufurahia wanaposikia fulani kafa,
Kufa kwa binadamu hupangwa na Mungu,
Namuomba Mwenyezi anipe maisha.