Pretty
JF-Expert Member
- Mar 19, 2009
- 2,577
- 565
Huu nani aliimba? wewe?
.......Huu umeimbwa na Matonya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu nani aliimba? wewe?
Matonya ndo nani tena...yule jamaa anayetuonyesha swimming pool yake katika kila nyimbo?.......Huu umeimbwa na Matonya.
.......Huu umeimbwa na Matonya.
Dalili zote zinaonesha kuwa wanamuziki wetu walikuwa na matatizo sana katika mapenzi!!! gademu!!
Judy ya Njata...
Juudy eeeh eeh
Nikupe nini uridhike
Judy eeh cha kukupa siina
Judy eeh...
Unihurumiiee maamaaaaaaa
Ufukara nilionao mamamaaaa
Ufukara umekuwa kashfa eeeh
Ya mapenzi yaangu eeh kwaako kwako eeh...
Pole mama eeh mamaa eeh
Mwanakijiji naomba offpoint kiduchu balatanda na babadesi Sikonge naombe mistari song moja .nilikumbwa na mikasa nikawa napenda kuliimba ila sijui heading wala mtunzi
"nimekusamehe lakini sitokusau visa ulivyonitendea mama ee eeh ulinikana wakati nilpokuwa na shida ukasahau yote nilokutenda wakati unaelewa hakuna komandoo wa shida "