Tukumbushane: Wimbo bora wenye jina la kike...

ha ha ha ha,
mie nilikuambia wewe mkali.......
hao jamaa ndio walikua vichwa vya muziki wa dansi,ukiondoa wakina bichuka,tx,Gurumo,na wengine .
Salvador sijui alikwenda wapi yule bwana ha ha ha!

Abdul Salvador ana bendi yake ya HISIA Sounds huwa inapiga mahotelini Dar,yuko na mke wake Aisha Salvador ambaye pia ni muimbaji
 
Hotel gani Mkulu,
Naweza kupata kiwanja kingine zaidi ya kwa jaydee na Mzee kiki,namuhusudu sana yule Bwn.Salvador nitakumbuka ujana wangu
 
Mkulu wimbo ndio huo huo embu lete vituz kidogo.huko nilikukua kazi hazikufanyika akili yote ilikua kurudi hapa.

MILIMA YA KWETU-Super rainbaw

katika baadhi ya maneno Sheggy ndio anasema "umekua kama helkopta ndege isio chagua mahari kwa kutua........."

So many memories..........!

Huu Wimbo nami pia nilikuwa naupenda sana aisee,sikumbuki maneno yake yote

Nikitazama milima ya kwetu........

Alianza kuweka sukari kwenye mboga.........ikafuatia kuweka chumvi kwenye chai

Juzi juzi kavunja kioo cha dirisha apate kuchungulia wapitao njiani

........Kuna gari limekuja hadi mlangoni.....kujitetea anasema mjomba wake kaja

.........Shikamoo iliisha ikabaki vipi babu mambo zako

Walisema dalili ya mvua ni mawingu,niliyempenda kanitoroka mama,kanitoroka bado nampenda mama yoyo,kanitoroka nateseka sasa

Nilinyang'anywa Tonge mdomoni mama.......niliyempenda kanitoroka mama yoyo,kanitoroka nateseka sasa

Mkulu Sanda Matuta nami siyakumbuki maneno yote ya wimbo huu,ila it was one of the best songs kipindi hicho
 
Aiseee.....you are the best of them all.........!

Vipi babu mambo zako weweee........!
ha ha ha haha.........

hii nyimbo ilikua kiboko,you have just made my day
 
Wakali wa nyimbo.

Kuna mtu ana nyimbo za Tuncut Almasi wakati wale mapacha wakiimba? Kama ule wimbo wa Mama, usinisogelee kwani mume wako ......, Nakulilia Afrika nk nk.

Mambo yalikuwa "Kinye kinye kisonzo, tisa kumi mangala..."
 
Huu Wimbo nami pia nilikuwa naupenda sana aisee,sikumbuki maneno yake yote

Nikitazama milima ya kwetu........

Alianza kuweka sukari kwenye mboga.........ikafuatia kuweka chumvi kwenye chai

Juzi juzi kavunja kioo cha dirisha apate kuchungulia wapitao njiani

........Kuna gari limekuja hadi mlangoni.....kujitetea anasema mjomba wake kaja

.........Shikamoo iliisha ikabaki vipi babu mambo zako

Walisema dalili ya mvua ni mawingu,niliyempenda kanitoroka mama,kanitoroka bado nampenda mama yoyo,kanitoroka nateseka sasa

Nilinyang'anywa Tonge mdomoni mama.......niliyempenda kanitoroka mama yoyo,kanitoroka nateseka sasa

Walisema dalili ya mvua ni mawingu,niliyempenda kanitoroka mama,kanitoroka bado nampenda mama yoyo,kanitoroka nateseka sasa

Mkulu Sanda Matuta nami siyakumbuki maneno yote ya wimbo huu,ila it was one of the best songs kipindi hicho

yaani hapa unatosha nitauweka sawa mwenye taratibu.
shukurani sana aisee.UDUMU na JF IDUMU,...........
 
Wakali wa nyimbo.

Kuna mtu ana nyimbo za Tuncut Almasi wakati wale mapacha wakiimba? Kama ule wimbo wa Mama, usinisogelee kwani mume wako ......, Nakulilia Afrika nk nk.

Mambo yalikuwa "Kinye kinye kisonzo, tisa kumi mangala..."

Nina mawasiliano/mahusiano mazuri sana na Pacha aliyebaki Kasaloo Kyanga(Kyanga Songa ni marehemu sasa...Ukitaka nyimbo zao naweza kutafutia mkuu...Nipe muda
 
Nimetokwa na machozi hapa jf
leo kumbushwa mengi,i thought MWKJJ was only bluffing aliposema hivyo asubuhi lakini imetokea kwangu,aisee Mungu awabaliki sana watu wote wa JF na hasa BALANTANDA mungu akupe maisha marefu sana,ukayaguse maisha ya watu wengine kamaulivyo fanya kwangu mim.i
 
Nina mawasiliano/mahusiano mazuri sana na Pacha aliyebaki Kasaloo Kyanga(Kyanga Songa ni marehemu sasa...Ukitaka nyimbo zao naweza kutafutia mkuu...Nipe muda

Mkuu, ntashukuru sana maana hawa vijana nilikuwa nafurahia beats zao na sauti zao. Hata walipohamia ile band gani sijui iliyodumu kwa muda mfupi sana ila ilikuwa na wanamuziki wengi sana. Na huko waliimba wimbo wa NONO kama sikosei. Kama sikosei ilikuwa ni ya ndugu wa Mwanambilimbi.

By the way ulishauona huu wimbo?

Huyu mama nakumbuka nikiwa Korogwe, tukienda kwake anachukua Vynil za kaka yake na kutupigia nyimbo hizi. Tukiwa Dar alishangaa kuwa hatumfahamu kaka yake. Jamaa alikuja kutengeneza jiko la umeme na ilichukua muda kuja kufahamu kuwa kumbe Marehemu Patrick Balisidya alikuwa Fundi Mchundo wa Umeme (Dar Tech).

http://www.eastafricantube.com/media/9418/Patrick_Balisidya_-_Harusi/

Haya basi turudi kwenye miziki yetu>

Je mwamkumbuka Tausi - Patrick Balisidya and Afro 70?

http://www.eastafricantube.com/media/1896/Tausi-_Patric_Balisidya_/
 
Hebu sikiliza kwanza kibao hiki cha Samahani ya uongo...Nimekitoa Bongo Celebrity

http://bongocelebrity.com/2009/03/27/samahani-ya-uongo-tancut-almasi-orchestra/

Balantanda,

Unafahamu Tuncut nilianza kuipenda kwa sababu ya Solo gitaa lao. Hii ilianza siku nikiwa naumwa kijijini Sikonge, nikawa nimelala na mara nikasikia kipande cha huu wimbo hapa chini:
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=rg-nmk9CcUg&feature=related[/ame][ame="http://www.youtube.com/watch?v=Hr0gs1cffRQ"][/ame]

Basi nilikurupuka na kuanza kuusikiliza kwa makini na mara redioni wakaukata. Nilichofahamu ni sauti ya Sam Mangwana. Baada ya miaka kama 20 nilikuja kupata Cd yake na cover lake ni hiyo picha unaona juu.

Ukisikiliza huo wimbo hapo mwanzo, ni sauti sawa kabisa na solo la Tuncut Almasi. Na hii ilinifanya hasira za kukosa huo wimbo ziishie kwa Tuncut Almasi.

Tukirudi kwenye Topic: Papa Shungu Mwalimu Mzee Fula Ngenge Kourou Wemba aka Chief of Molokai na wimbo wake mkali sana wa MARIA VALENCIA. Enzi akivaa kama ma-presidaa wetu.

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=4JxXRWJHJVw&feature=related[/ame]
 
hivi kuna mtu humu jamvini anajua lugha ya kilingala?
kuna nyimbo nyingi za zamani ningependa kufahamu maana zake
 
Nina mawasiliano/mahusiano mazuri sana na Pacha aliyebaki Kasaloo Kyanga(Kyanga Songa ni marehemu sasa...Ukitaka nyimbo zao naweza kutafutia mkuu...Nipe muda

Nkwingwa, kuna jamaa mmoja anaitwa Nkoi Wa Bangoi. Sijui alikuwa akipigia bendi gani (nadhani Makassy)...unajua alipo sasa hivi?
 
Back
Top Bottom