Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
thanks Balatanda lakiniw weye umezaliwa miaka ipi mbona hizi song za zamani inaonekana kwako kama za jana tu
Kwani wewe umezaliwa miaka ipi? Ya 80?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
thanks Balatanda lakiniw weye umezaliwa miaka ipi mbona hizi song za zamani inaonekana kwako kama za jana tu
ha ha ha ha,
mie nilikuambia wewe mkali.......
hao jamaa ndio walikua vichwa vya muziki wa dansi,ukiondoa wakina bichuka,tx,Gurumo,na wengine .
Salvador sijui alikwenda wapi yule bwana ha ha ha!
Abdul Salvador ana bendi yake ya HISIA Sounds huwa inapiga mahotelini Dar,yuko na mke wake Aisha Salvador ambaye pia ni muimbaji
Kwani wewe umezaliwa miaka ipi? Ya 80?
Mkulu wimbo ndio huo huo embu lete vituz kidogo.huko nilikukua kazi hazikufanyika akili yote ilikua kurudi hapa.
MILIMA YA KWETU-Super rainbaw
katika baadhi ya maneno Sheggy ndio anasema "umekua kama helkopta ndege isio chagua mahari kwa kutua........."
So many memories..........!
Hivi hakuna wimbo wenye jina la Kristina?
Kuna Chrstina ulioimbwa na Bushoke(Niliichezea kamari roho yangu....),na mwingine Christina Moshi ulioimbwa na OSS wana Ndekule
Hotel gani Mkulu,
Naweza kupata kiwanja kingine zaidi ya kwa jaydee na Mzee kiki,namuhusudu sana yule Bwn.Salvador nitakumbuka ujana wangu
Huu Wimbo nami pia nilikuwa naupenda sana aisee,sikumbuki maneno yake yote
Nikitazama milima ya kwetu........
Alianza kuweka sukari kwenye mboga.........ikafuatia kuweka chumvi kwenye chai
Juzi juzi kavunja kioo cha dirisha apate kuchungulia wapitao njiani
........Kuna gari limekuja hadi mlangoni.....kujitetea anasema mjomba wake kaja
.........Shikamoo iliisha ikabaki vipi babu mambo zako
Walisema dalili ya mvua ni mawingu,niliyempenda kanitoroka mama,kanitoroka bado nampenda mama yoyo,kanitoroka nateseka sasa
Nilinyang'anywa Tonge mdomoni mama.......niliyempenda kanitoroka mama yoyo,kanitoroka nateseka sasa

Mkulu Sanda Matuta nami siyakumbuki maneno yote ya wimbo huu,ila it was one of the best songs kipindi hicho

Wakali wa nyimbo.
Kuna mtu ana nyimbo za Tuncut Almasi wakati wale mapacha wakiimba? Kama ule wimbo wa Mama, usinisogelee kwani mume wako ......, Nakulilia Afrika nk nk.
Mambo yalikuwa "Kinye kinye kisonzo, tisa kumi mangala..."

Nina mawasiliano/mahusiano mazuri sana na Pacha aliyebaki Kasaloo Kyanga(Kyanga Songa ni marehemu sasa...Ukitaka nyimbo zao naweza kutafutia mkuu...Nipe muda
Hebu sikiliza kwanza kibao hiki cha Samahani ya uongo...Nimekitoa Bongo Celebrity
http://bongocelebrity.com/2009/03/27/samahani-ya-uongo-tancut-almasi-orchestra/
baada ya vita vya uganda sijui kagera ile !!