Tukutane hapa ambao ndoa zao zimekufa ila tumebaki kulea tu watoto

Maisha ya ki Africa Baba ndiyo final say kwenye Familia!!
 
Honestly Taasisi ya ndoa Kama imefika mwisho wengi tumebaki kulea watoto tu katika ndoa zetu.

Maneno tunayotamkiana ni zaidi ya Vita.

Guyz things are not easy. Kukaa alone ni Bora Sana kwa zama hizi.
Ndoa siyo makalio kila mtu anayo. Tuachieni sisi tuliofundishwa cuba jinsi ya kuishi kwenye ndoa.
 
Wape vidonge vyao.
Haya ndo madhara yakutahiri watoto wa kiume hospitali.Wangeenda porini kule na kisuu bila hata ganzi tungekuwa na wanaume imara,wanaojiamini,wasio na lawama kwa wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…