Tukutane hapa ambao ndoa zao zimekufa ila tumebaki kulea tu watoto

Tukutane hapa ambao ndoa zao zimekufa ila tumebaki kulea tu watoto

Hakuna kazi ngumu kama kukaa na mtu,ila kuwa na mke au mume mmegandana 24/7 is even worse.Imagine mtu mnakaa hadi mnafanana,mmezoeana kiasi ambacho he/she is not special anymore.
Mnalala pamoja mnaamka pamoja,usiku mnapumuliana,Asubuhi ni kero harufu za midomo,wakati mchepuko nje mnapokutana full time ananukia,Unadhani nani anapenda kuchagua keroo?
 
Honestly Taasisi ya ndoa Kama imefika mwisho wengi tumebaki kulea watoto tu katika ndoa zetu.

Maneno tunayotamkiana ni zaidi ya Vita.

Guyz things are not easy. Kukaa alone ni Bora Sana kwa zama hizi.
1 Wakorintho 7:1-2 "Na sasa kuhusu mambo mliyoniandikia. Ni vizuri mtu asioe. 2 Lakini kwa kuwa dhambi ya zinaa imeenea, kila mwanamume awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe".Mtume Paul aliliona hili miaka mingi sana iliopita....
 
Ndoa sio lelemama, usiishi kihuni kwenye ndoa, pia usiishi kama mfungwa kwenye ndoa, uvumilivu uwepo na uaminifu ni silaha nzito, gubu ni baya hupunguza upendo na upendo ukipungua kifuatacho ni matukio,

Elimu juu ya masuala ya ndoa itolewe kwa pande zote hasa Wanaume wa siku hizi wanaingia ndoani kibubu bubu, wakikutana na changamoto kidogo tu wanakimbilia mtandaoni kuomba ushauri.
Asipoandika mtandaoni, kifua kitajaa hasira ndio utasikia "amemuua mtoto wa watu"
 
Kuna mwanangu wale waliokuzwa seminary ila ndio wakachemka,alioa kama miaka mitano iliyopita, mwana kipindi tupo chuo alikuwa ni mtu wa ibada na uzuri alikuwa kichwa darasani.

Sasa juzi kati tukawa tunapiga story, akawa ananiambia husijaribu kuoa mke kisa tu anahela au kazi nzuri, nikamuuliza sababu ni nini?

Mwana akawa anabaki anasonya huku, akisindikiza na "wee acha tu mwanangu ".Hakutaka kuniambia ila anayo yapitia na mke wake nahisi ni magumu sana na ukizingatia wanafanya kazi mikoa tofauti.
 
kitu napenda ni mwanaume asimame kama mwanaume, yani akiniambia jambo kwa sauti ya mamlaka natii bila shuruti, mwanaume aniongoze despite ninampita vitu vingapi still nitataka awe kiongozi kwangu sasa mwanaume unashindwaje na ndoa yako? au ndio kina nyinyi mnaopenda matako makubwa mnaoa kichwa kichwa? take time msome mwanamke unayetaka kuingia naye ndoani, msikurupuke heri uchelewe kuoa uoe mtu sahihi kuliko uwahi kuoa kwa mihemko ndoa sio rahisi na ndoa sio kwa kila mtu.
Mama shikamoo , naomba unisamehe mimi , vipi una binti hapo kwako? Nitajitahidi kuwa kama ulivyosema [emoji3]

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Zingatia uwepo wa baba maishani mwa wanao ni muhimu kuliko tunavyofikiria. Pamoja na vuguvugu la ugomvi/mivutano na mwenza wako, fanya kila uwezalo kutopuuza jukumu hilo.
Kumbuka pia baba anaweza kufa mapema kwa pressure kutokana na gubu la mama, hivyo still watoto wakakosa paternal care
 
Bitter truth, ni kulea, watoto tu, mzigo unakula kwa kuvizia, wakati mwingine anahama chumba,
Siku upepo mzuri umepita, mnapiga story mbili tatu, shetani akikatiza, hakuna story wiki nzima,
Hakuna mwenye hamu na mwenzie,kwa sie midume, kula mzigo sio lazima upende, ni, kupunguza stress tu,
Ndoa imekuwa ngumu kama kuishi Afghanistan,
Cha msingi, kama, ndoa imekufa, IPO ICU, ni maisha Bora kwa watoto, wape kila wakitakacho, wa, spoil kila Mara, ili wasione tofauti,
Wanawake wa kileo hawa, wakishakupotezea kwenye ndoa, wala, usiumize kichwa, endelea na kazi, there is more to life than her, tunza watoto, toa kwa charities, nk.
Umeongea kiume sana
 
Sasa kama unanyanduliwa chumba cha pili na mpangaji mwenzangu hlo nikabiliane nalo vipi?
 
Back
Top Bottom