Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Uhuni tu mmechezeana kwa tamaa mpaka mkapeana mimba ,mnajikuta kweny ndoa mnaingia kwa ajili ya mtoto mliyezaa nje ndo balaa linaanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mamii kwa maneno haya naomba wkend nikupeleke Warehouse Masaki ukapate chochote kitu kadri ya ulaji na unywaji wako ukashushie hii comment[emoji2]kitu napenda ni mwanaume asimame kama mwanaume, yani akiniambia jambo kwa sauti ya mamlaka natii bila shuruti, mwanaume aniongoze despite ninampita vitu vingapi still nitataka awe kiongozi kwangu sasa mwanaume unashindwaje na ndoa yako? au ndio kina nyinyi mnaopenda matako makubwa mnaoa kichwa kichwa? take time msome mwanamke unayetaka kuingia naye ndoani, msikurupuke heri uchelewe kuoa uoe mtu sahihi kuliko uwahi kuoa kwa mihemko ndoa sio rahisi na ndoa sio kwa kila mtu.
Pole mtaalamu DR HAYA LAND ..Honestly Taasisi ya ndoa Kama imefika mwisho wengi tumebaki kulea watoto tu katika ndoa zetu.
Maneno tunayotamkiana ni zaidi ya Vita.
Guyz things are not easy. Kukaa alone ni Bora Sana kwa zama hizi.
Hakika ndoa nyingi watu wanaingia baada ya tamaa ya miili.. tabia ya tamaa huja na kuondoka.. mwanzo wote unakuta tamaa zipo juu.. zikikata tu, panachimbikaUhuni tu mmechezeana kwa tamaa mpaka mkapeana mimba ,mnajikuta kweny ndoa mnaingia kwa ajili ya mtoto mliyezaa nje ndo balaa linaanza.
Hili pia linachangia ni bora mpendane na mtoto aje tu kama baraka ila ile kukurupuka baada ya kupata mtoto ni hatari sana.Hakika ndoa nyingi watu wanaingia baada ya tamaa ya miili.. tabia ya tamaa huja na kuondoka.. mwanzo wote unakuta tamaa zipo juu.. zikikata tu, panachimbika
Ndoa , wahusika wanatakiwa kuingia kwenye taasisi ya ndoa.. nje ya tamaa.. waingie katika upendo.. ( upendo hautazami mabaya ).. wengi wanaingia alafu wanaanza saka ubaya kwa kila mwenzake.. ndipo hapo adui anapata mwanya wa kupanda uharibifuHili pia linachangia ni bora mpendane na mtoto aje tu kama baraka ila ile kukurupuka baada ya kupata mtoto ni hatari sana.
wow haina shida nimekubali ofaMamii kwa maneno haya naomba wkend nikupeleke Warehouse Masaki ukapate chochote kitu kadri ya ulaji na unywaji wako ukashushie hii comment[emoji2]
Kwahiyo unaishije, huduma zitolewazo na mke unapataje?Honestly Taasisi ya ndoa Kama imefika mwisho wengi tumebaki kulea watoto tu katika ndoa zetu.
Maneno tunayotamkiana ni zaidi ya Vita.
Guyz things are not easy. Kukaa alone ni Bora Sana kwa zama hizi.
Mkuu kuanzia mwaka jana nipo katika hii situation,yaani ni zaidi ya urusi na UkraineHonestly Taasisi ya ndoa Kama imefika mwisho wengi tumebaki kulea watoto tu katika ndoa zetu.
Maneno tunayotamkiana ni zaidi ya Vita.
Guyz things are not easy. Kukaa alone ni Bora Sana kwa zama hizi.
Mpaka unaamua kuoa wewe mwanaume sharti uwe na uanaume na sifa kuu ya mwanaume ni kukabiliana na changamoto na sio kuzikimbia.Kwa hiyo hizo changamoto nyie wanawake ndiyo mnazileta sio?
Ndiyo maana wanaume wanakimbia
Bitter truth, ni kulea, watoto tu, mzigo unakula kwa kuvizia, wakati mwingine anahama chumba,Honestly Taasisi ya ndoa Kama imefika mwisho wengi tumebaki kulea watoto tu katika ndoa zetu.
Maneno tunayotamkiana ni zaidi ya Vita.
Guyz things are not easy. Kukaa alone ni Bora Sana kwa zama hizi.
Kuna msebule hapa, sogea kama utakufaa!Natafuta mchumba.....
😂😂😂DahTushafika...
Shusheni nondo waungwana..
NDOA kama NDOA.
#YNWA
Hapo ndo sielewagi.. Kwann uvumilie, upambane kutunza ndo, struggling zote hizo so what?? Kipi cha msibgi utakipata mwisho baada yaNdoa sio nyepesi, acheni ujinga wa kukimbia wajibu.
Mnadhani sisi wazee tuliishi bila changamoto na mama zenu?, jibu ni HAPANA ila tulikabiliana na yote mwisho tukavuka.
Acheni kuishi nyie vijana maisha ya maigizo ndipo mtaziweza ndoa, mkihendekeza maisha ya uanaharakati yaani baba ndevu, mama ndevu sijui na mtoto ndevu matokeo yake ndio hayo.
Ishini maisha halisia ya kiAfrika, hakika ndoa zitadumu, vinginevyo mtaishia kulia lia kila siku.
Tupo wengi mi hata kukaa tu na mke naona kichefu chefu nashukuru yupo mbali huko mi natoa tu huduma kwa watoto wangu yeye aendelee tu na umalaya wake
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Honestly Taasisi ya ndoa Kama imefika mwisho wengi tumebaki kulea watoto tu katika ndoa zetu.
Maneno tunayotamkiana ni zaidi ya Vita.
Guyz things are not easy. Kukaa alone ni Bora Sana kwa zama hizi.