Mlioshindwa mna maneno.....sipendi kuwasikilizaHonestly Taasisi ya ndoa Kama imefika mwisho wengi tumebaki kulea watoto tu katika ndoa zetu.
Maneno tunayotamkiana ni zaidi ya Vita.
Guyz things are not easy. Kukaa alone ni Bora Sana kwa zama hizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlioshindwa mna maneno.....sipendi kuwasikilizaHonestly Taasisi ya ndoa Kama imefika mwisho wengi tumebaki kulea watoto tu katika ndoa zetu.
Maneno tunayotamkiana ni zaidi ya Vita.
Guyz things are not easy. Kukaa alone ni Bora Sana kwa zama hizi.
Hee! Umemfikisha mpka huko kwenye umalaya! sio vizuri jamani jaribu kua positive kwakeTupo wengi mi hata kukaa tu na mke naona kichefu chefu nashukuru yupo mbali huko mi natoa tu huduma kwa watoto wangu yeye aendelee tu na umalaya wake
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Tena hii ndio hatari kuliko zote, matokeo yake anayeteseka ni mtoto asiye na hatia.Hili pia linachangia ni bora mpendane na mtoto aje tu kama baraka ila ile kukurupuka baada ya kupata mtoto ni hatari sana.
Sio kataa ndoa kwa afya ya akili, ni kataa ndoa ukiwa huna afya ya akili…. Hutaweza!KATAA NDOA KWA AFYA YA AKILI, MWILI NA ROHO.
KATAA NDOAHonestly Taasisi ya ndoa Kama imefika mwisho wengi tumebaki kulea watoto tu katika ndoa zetu.
Maneno tunayotamkiana ni zaidi ya Vita.
Guyz things are not easy. Kukaa alone ni Bora Sana kwa zama hizi.
Pole mkuu inauma samaTupo wengi mi hata kukaa tu na mke naona kichefu chefu nashukuru yupo mbali huko mi natoa tu huduma kwa watoto wangu yeye aendelee tu na umalaya wake
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Watu wengi sana wanaingia kwenye ndoa pasipo kuwa Emotionally Stable. Hivyo kupelekea kurushiana maneno mazito hata ndoa kuvunjika.Honestly Taasisi ya ndoa Kama imefika mwisho wengi tumebaki kulea watoto tu katika ndoa zetu.
Maneno tunayotamkiana ni zaidi ya Vita.
Guyz things are not easy. Kukaa alone ni Bora Sana kwa zama hizi.
Dj walete......Honestly Taasisi ya ndoa Kama imefika mwisho wengi tumebaki kulea watoto tu katika ndoa zetu.
Maneno tunayotamkiana ni zaidi ya Vita.
Guyz things are not easy. Kukaa alone ni Bora Sana kwa zama hizi.
Mchape talaka huyo,au hadi kifo kiwatenganishe!?Tupo wengi mi hata kukaa tu na mke naona kichefu chefu nashukuru yupo mbali huko mi natoa tu huduma kwa watoto wangu yeye aendelee tu na umalaya wake
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Unafurahia kabisa kwenda kugegeda kila weekend? Ngoja akupe UKIMWI ndio akili itarudiMi nlifanikiwa kunshawishi niksmjengea nyumba mkoa tofauti na tinaoishi, so hua naenda tu weekend
Yani mpaka useme 🤣Bado hujasema..
Pole sn mkuu! Uskute uliingilia mapenzi yaoBora nimpende mama yangu aliyenizaa,
Kama hujawahi kupigwa na tukio na hawa wanawake unatamani uoe usiombee, mm nimenyanyua mikono nitaua bure kisa mwanamke mara ya kwanza nashika meseji za jamaa wako kwenye mahusiano na mke wangu nikasamehe na kuivunja laini nikapotezea tukasajili laini nyingine tumeenda weee kama mwaka kuja kushika simu nakutana na tukio na huyo huyo jamaa na namba nilikuwa nayo wapo kwenye mahusiano mazito nikaona nisije nikaua bora nimpisha huyu mwanamke achague anapopapenda. Toka hiyo siku miezi na saa hivi sijawahi ona simu wala cha nn na tuna mtoto mmoja nikipiga simu hapokei nimsalimie mtoto,aise ogopa sana kiumbe kinachoitwa mwanamke
Mwanaume umpite vitu atakuwa kiongozi kwa dizaini gani? Ili awe kiongozi mzuri ni lazma mamlaka awe nayo hasa ya wizara ya mtonyo.kitu napenda ni mwanaume asimame kama mwanaume, yani akiniambia jambo kwa sauti ya mamlaka natii bila shuruti, mwanaume aniongoze despite ninampita vitu vingapi still nitataka awe kiongozi kwangu sasa mwanaume unashindwaje na ndoa yako? au ndio kina nyinyi mnaopenda matako makubwa mnaoa kichwa kichwa? take time msome mwanamke unayetaka kuingia naye ndoani, msikurupuke heri uchelewe kuoa uoe mtu sahihi kuliko uwahi kuoa kwa mihemko ndoa sio rahisi na ndoa sio kwa kila mtu.
Mwanamke akiwa malaya ni kero mno.Tupo wengi mi hata kukaa tu na mke naona kichefu chefu nashukuru yupo mbali huko mi natoa tu huduma kwa watoto wangu yeye aendelee tu na umalaya wake
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Tafta demu nje uwe unamgonga kupooza rejeta.Bitter truth, ni kulea, watoto tu, mzigo unakula kwa kuvizia, wakati mwingine anahama chumba,
Siku upepo mzuri umepita, mnapiga story mbili tatu, shetani akikatiza, hakuna story wiki nzima,
Hakuna mwenye hamu na mwenzie,kwa sie midume, kula mzigo sio lazima upende, ni, kupunguza stress tu,
Ndoa imekuwa ngumu kama kuishi Afghanistan,
Cha msingi, kama, ndoa imekufa, IPO ICU, ni maisha Bora kwa watoto, wape kila wakitakacho, wa, spoil kila Mara, ili wasione tofauti,
Wanawake wa kileo hawa, wakishakupotezea kwenye ndoa, wala, usiumize kichwa, endelea na kazi, there is more to life than her, tunza watoto, toa kwa charities, nk.
Dah pole sana mzee mwenzangu. Hakika hapo ulikuwa umemuolea mtu mke bila shaka. Ni hasara kubwa kuishi na mwanamke ambaye hisia zake ziko mtaa wa pili. Bora umemuachia jamaa mkewe.Bora nimpende mama yangu aliyenizaa,
Kama hujawahi kupigwa na tukio na hawa wanawake unatamani uoe usiombee, mm nimenyanyua mikono nitaua bure kisa mwanamke mara ya kwanza nashika meseji za jamaa wako kwenye mahusiano na mke wangu nikasamehe na kuivunja laini nikapotezea tukasajili laini nyingine tumeenda weee kama mwaka kuja kushika simu nakutana na tukio na huyo huyo jamaa na namba nilikuwa nayo wapo kwenye mahusiano mazito nikaona nisije nikaua bora nimpisha huyu mwanamke achague anapopapenda. Toka hiyo siku miezi na saa hivi sijawahi ona simu wala cha nn na tuna mtoto mmoja nikipiga simu hapokei nimsalimie mtoto,aise ogopa sana kiumbe kinachoitwa mwanamke
Vumiliaaaa lea watotooNatafuta mchumba.....