Tukutane hapa tuliowahi kutoa na kupewa talaka, tujadili maisha baada ya talaka

Mi hakikuwepo Cha kugawana coz ndo kwanza tulikuwa tuna miaka miwili na hatujawahi ishi pamoja....kwahiyo alikokuwa anaishi alikuwa na chake na ninapoishi nami Nina changu

Ndoa ya aina gani mke na mume hamjawahi ishi pamoja?

Ndoa gani haina matrimonial home?
 
Sasa usirudi nyuma

Maana hamkawiagi!!!!
 
Upo vizuri sana mtaalamu...👊👊👊
 
Uzuri hao ndugu ndio wanakuja kuwadhulumu nyinyi wenyewe!!!!
 
Si bora afe ndio wamdhulumu

Kuna watu wanadhukumiwa hapa hapa wakiwa hai

Unaandika jina la kaka au dada....akifa? Wakiachana na mwenza wake? Imeisha hiyo...... wengine mabandidu tu wanakopea na kukopa.

Ukija kushtuka nyumba yako unayoishi uliyoandika jina la dada yako kipenzi inadaiwa milioni 200!!!!
 
Mkuu, una miaka mingapi kwenye ndoa?
 
Ukuriana huwa Hakuna talaka eti mke ndoa imekushinda unarudi kwenu,utakimbizwa na mapanga na marugu,thus wanawake wa kikurya awakimbii nyumba utakimbia mwanaume ondoka hata miaka 20 itakuta still nyumba ipo imara.
Kwanza Ni kwa nini akimbie arudi huko kwao. Kwani huko kwao huwa hamkosani na watu wake lakini.yaani sijui mtu anachukuliaje binadamu wengine. Anapofinywa anakimbilia kwao kwani huko ndiko mbinguni. Kwani huyo mwanaume Hana ndugu zake,shangazi zake,baba wadogo,wakubwa hawapo,wajomba wa ukweni hawapo kwani.
Kama mwanamke amechepuka kwani mwanaume hajawahi chepuka.
Kuna mzee mmoja alijua mkewe anachepuka,
Sasa bwana akaaga anasafiri,mkewe akapika akaenda kumwita hawara yule baba Yuko mlimani anacheki picha lote.

Sasa mme akawahi ndani akachukua ule ugali akachimbia mavi katikati ,hawara alipokula mavi ndipo mwisho wa kukuacha mke wake akampiga kuwa amemfanyia yule baba Yuko mlimani anacheki movie.
So hapa alitumia constructive idea ya kumtoa huyo mchepuko kwa mkewe.
Ukiwa unaenda home piga mruzi ama tuma boda apeleke kifurushi jamani.
Sasa wewe unafumania ghafula kwani wewe huko mtaani huvutiwi na wake za watu he na yeye akivutiwa na Waume za watu.
Sasa hapa watu wamekomaa na dini za wazungu utashangaa watakavyozitumia kukosoa.
Mie napenda uongee wewe Kama mwafrika na sio kutumia arabs/Europeans culture as reference point.
Kabla ya hizo dini watu waliishi kwa upendo mzuri.
Jiulize mwarabu hataki ke afanye kazi mzungu anataka ke afanye kazi na he wewe as Africans una nini.
Kuchepuka mie nasema kulikuwepo na hakutoisha Ni sawa fear,hope,greed and ego ziko as part of human being,so you can't separate emotions from human being otherwise awe amekufa
 
Baeleze hawa warembo hapa jf wanajidai kutupiga mizinga ya outing ya laki mara laki tatu...oleweni nyie acheni maringo wakina mzabzab wakija pm kutuma maombi🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuchapiwa kupo pale pale. Wee wala usiumize kichwa.
 
Ndo ushangae sasa🤣

Hakimu mwenyewe yaelekea alicheka.

Haya maisha ya kusaka pesa haya yameleta ndoa za ajabu sana..

Mke na mume hawajawahi hata kupikiana chakula ama kufuliana nguo. Ila ni wanandoa wa miaka kazaa

Mke hajui hata mume anapenda kuvaa shati gani na mume hajui hata mke anapenda kupika chakula gani ila ni wanandoa wa miaka kumi

Binafsi siwezi oa mke muajiriwa kuepusha ndoa hewa za aina hizi
 
Ushauri ulio enda skonga ndio huu wanaume. Asante sana.
Hawa warembo wamekaa kusaka mali tuu, sasa nashindwa kuwaelewa sii wauze mbususu tuu watapata mali hizo. Wateja wapo kibao
 
Ni kitu Bora kabisa
 
Kuchapiwa kupo pale pale. Wee wala usiumize kichwa.
Nani anaumiza kichwa mamii. Mie kabla sijaOa Nisha expect that bad side ili inapotokea nisiumie. Do you what hurts us and cause emotional pains are just our own expectations.
Ila ku avoid emotional pains deceive your mind to expect bad side Mana hapo hutokuwa na kupoteza.
Mfano side wa mwanza alijiwekea kichwani kuwa swallher Ni wake pekee kumbe analika tu.
Mie sijaoa kwa ajili ya tobo Bali nimeoa mtu ambaye tutakuja kuzaa watu wengine Kama kula k zinalika bila ya kuoa.
.mwezi huu Ni wa tano sipo na wife so I expect anything to happen.
I don't need to know what's going to happen to live my next life.
Every moment in the universe is unique, no other two moments are alike. Hata jiwe unaloliona kila siku halipo hapo hapo huwa linahama sema hulioni so na binadamu wanachange.
No two moments in the universe is like.
Bad and good days are randomly distributed but in the long run ,in the long run of large number of days I know good days will outweigh bad days.
So mabaya yake yatakuwa madogo kuliko mazuri.
So mwishowe statistically speaking in probabilistic way of thinking we'll have positive mathematical expectancy.
That's my edge of living, fanya Ile arithmetically ya minus and plus uone outcome
 
Kwa kuwa maisha ni mafupi na hatujui tutakufa lini huwa tunavumiliana mno kwa faida ya imani yetu na usalama wa watoto wetu. Maana tukiacha tunaamini tunakuwa tumetengeneza vizazi vya kuachana. Madhara ya kuachana ni makubwa mno kuliko faida anayopata mtoa taraka au mpokea taraka. Nawapa pole sana wote mlio wahi kuachana na Mungu awape uponyaji ktk ndoa zenu. Ili mrejee na kuzijenga familia zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…