Tukutane hapa tuliowahi kutoa na kupewa talaka, tujadili maisha baada ya talaka

Yaani navyozidi kuisoma jamii nyingi na dunia kuujumla. Najiona sikufanya chaguo baya kurudi home kuoa.
Sie huwa hakunaga talaka.
Yaani unamuacha mke anaishi tu na watt basi wewe unaoa mke mwingine maisha yanaenda.
Yule anakuwa jina kuwa Ni mke wa fulani.
Hata akienda kuolewa ama kula Bata maisha yake yote Ila mwisho wa siku atarudi tu kwao na mwanaume ndiko atakakozikwa.
Mana Tayari kwao walimfanyia Ile inaitwa send OFF.
Mnajua Mana ya Hilo neno lakini ama huwa tunalishadadia kuwa leo anafanyiwa send off jamani.
Kwa anayejua Mana ya English nadhani atanielewa.
 
Mimi siyo muumini wa kuamini utengano wa talaka kama wahusika wameshafikia hatua ya ku-share damu kwa kuwa na watoto/mtoto!

Kama hamjafika hatua hiyo hata mkiuwana uwaneni tu ninyi hamna baya,mimi naamini nilie nae ni sahihi style yangu ya maisha ni Mungu mbele na naongoza heshima kwamba sionyeshi hali yoyote ya mashaka kwa mwenzangu so na yeye automatically ameenda kama mimi.
 
Mi hakikuwepo Cha kugawana coz ndo kwanza tulikuwa tuna miaka miwili na hatujawahi ishi pamoja....kwahiyo alikokuwa anaishi alikuwa na chake na ninapoishi nami Nina changu
Umtisha
 
Mimi siyo muumini wa kuamini utengano wa talaka kama wahusika wameshafikia hatua ya ku-share damu kwa kuwa na watoto/mtoto!

Kama hamjafika hatua hiyo hata mkiuwana uwaneni tu ninyi hamna baya,mimi naamini nilie nae ni sahihi style yangu ya maisha ni Mungu mbele na naongoza heshima kwamba sionyeshi hali yoyote ya mashaka kwa mwenzangu so na yeye automatically ameenda kama mimi.
Watu hubadilka mkuu, wenza wengi huanza vzuri xn na shrehe za kufa mtu, lkn mwishoe hua uadui
 
Itr
Yaani navyozidi kuisoma jamii nyingi na dunia kuujumla. Najiona sikufanya chaguo baya kurudi home kuoa.
Sie huwa hakunaga talaka.
Yaani unamuacha mke anaishi tu na watt basi wewe unaoa mke mwingine maisha yanaenda.
Yule anakuwa jina kuwa Ni mke wa fulani.
Hata akienda kuolewa ama kula Bata maisha yake yote Ila mwisho wa siku atarudi tu kwao na mwanaume ndiko atakakozikwa.
Mana Tayari kwao walimfanyia Ile inaitwa send OFF.
Mnajua Mana ya Hilo neno lakini ama huwa tunalishadadia kuwa leo anafanyiwa send off jamani.
Kwa anayejua Mana ya English nadhani atanielewa.
Vipi kuhusu watoto mkuu
 
Wanasema talaka ikiandikwa hata mbingu zinatikisika sababu malaika wa Mungu ndo watakaoumia means watoto.. Wapo wengi wameishia kuishi maisha mabaya na kupoteza fute zao kisa wazazi waliachanaa...!! Naamini mpaka wazazi wanaachana huwa wanakuwa wamefika hatua ya mwisho kabisa ya kuvumilianaa japo inauma sana ila ni bora kuliko Kuuana... Kweli humpendi mama yao ila fanya kwa ajili ya wanao japo inauma sana hasa kama ni Usaliti unahusika.
 
Mkuu umetembelea uzi huu, uzoefu wako ni muhim
 
Mimi siyo muumini wa kuamini utengano wa talaka kama wahusika wameshafikia hatua ya ku-share damu kwa kuwa na watoto/mtoto!

Kama hamjafika hatua hiyo hata mkiuwana uwaneni tu ninyi hamna baya,mimi naamini nilie nae ni sahihi style yangu ya maisha ni Mungu mbele na naongoza heshima kwamba sionyeshi hali yoyote ya mashaka kwa mwenzangu so na yeye automatically ameenda kama mimi.
Vp ikifikia ndan hakuna mtu anashida na mwenzie hasa kitandan yan mnalala kitanda kimoja lakini kila mtu yuko busy na cm yake, mnawatoto lkn hamna hisia yan mnaweza maliza hata mwezi hakuna kusemeshana hata salam na mnalala kitanda kimoja...ila matumiz jamaa anatoaa kama kawaida
 
Watu hubadilka mkuu, wenza wengi huanza vzuri xn na shrehe za kufa mtu, lkn mwishoe hua uadui
Sikatai mkuu but ukinisoma katikati ya mistari utakutana neno Mungu.

Mimi naamini uzi ulioshikilia mahusiano yetu anao Mungu mwaka wa tisa huu with three kids sifikirii wala sijawahi kuwaza ipo siku yeye au mimi tutasema inatosha na mbona wazazi wetu wamezeeka pamoja sisi leo tunashindwa nini?ushauri kijana owa ukiwa unajua unachokifanya bint huna haja kusema umri haujafika as long as upo above 18 ukipata bahati olewa na umuheshimu mumeo ukishindana na wanaume kusema sijui namalizia ujana utakutana na dose moja inaitwa ”single mama” uzeekee kwenu ukiita wanaume wote mbwa huku ukiwaona bado wakifanana na baba yako.
 
Yaani navyozidi kuisoma jamii nyingi na dunia kuujumla. Najiona sikufanya chaguo baya kurudi home kuoa.
Sie huwa hakunaga talaka.
Yaani unamuacha mke anaishi tu na watt basi wewe unaoa mke mwingine maisha yanaenda.
Yule anakuwa jina kuwa Ni mke wa fulani.
Hata akienda kuolewa ama kula Bata maisha yake yote Ila mwisho wa siku atarudi tu kwao na mwanaume ndiko atakakozikwa.
Mana Tayari kwao walimfanyia Ile inaitwa send OFF.
Mnajua Mana ya Hilo neno lakini ama huwa tunalishadadia kuwa leo anafanyiwa send off jamani.
Kwa anayejua Mana ya English nadhani atanielewa.

Big up sana binafisi Bado sijaoa ila hata mimi nitarudi nikaoe home kabila langu .
Uliyo yaeleza na Kwa jamii yetu wakurya ni hivyo hivyo 💯 .
Nimeishi ..... Dodoma ,kigoma,songea,mbeya ,iringa ila kote huko sijaona wenye tamaduni BORA kuliko za Nyumbani .
 
Mimi nilienda kuomba talaka mwenyewe baada ya kushindwa kuvumilia. Tulikuwa hatuna watoto, ila sijawahi jutia uamuzi wangu maana stress nilizopitia Mungu ndio anajua. Alihamia kwa mchepuko kabisa, lakini na yeye kaja kuachwa baada ya mimi kuondoka. Mpaka leo anajuta.
 
Back
Top Bottom