Minah
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 840
- 2,343
Huyo analeta usaniii... Anataka kujifariji kwa kusoma Mikasa ya wenzie ila yy mchoyo hataki kufunguka ya kwake.Sasa hiyo Ni talaka au unaleta usanii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo analeta usaniii... Anataka kujifariji kwa kusoma Mikasa ya wenzie ila yy mchoyo hataki kufunguka ya kwake.Sasa hiyo Ni talaka au unaleta usanii
Watu hubadilka mkuu, wenza wengi huanza vzuri xn na shrehe za kufa mtu, lkn mwishoe hua uaduiMimi siyo muumini wa kuamini utengano wa talaka kama wahusika wameshafikia hatua ya ku-share damu kwa kuwa na watoto/mtoto!
Kama hamjafika hatua hiyo hata mkiuwana uwaneni tu ninyi hamna baya,mimi naamini nilie nae ni sahihi style yangu ya maisha ni Mungu mbele na naongoza heshima kwamba sionyeshi hali yoyote ya mashaka kwa mwenzangu so na yeye automatically ameenda kama mimi.
Vipi kuhusu watoto mkuuYaani navyozidi kuisoma jamii nyingi na dunia kuujumla. Najiona sikufanya chaguo baya kurudi home kuoa.
Sie huwa hakunaga talaka.
Yaani unamuacha mke anaishi tu na watt basi wewe unaoa mke mwingine maisha yanaenda.
Yule anakuwa jina kuwa Ni mke wa fulani.
Hata akienda kuolewa ama kula Bata maisha yake yote Ila mwisho wa siku atarudi tu kwao na mwanaume ndiko atakakozikwa.
Mana Tayari kwao walimfanyia Ile inaitwa send OFF.
Mnajua Mana ya Hilo neno lakini ama huwa tunalishadadia kuwa leo anafanyiwa send off jamani.
Kwa anayejua Mana ya English nadhani atanielewa.
Mkuu umetembelea uzi huu, uzoefu wako ni muhimWanasema talaka ikiandikwa hata mbingu zinatikisika sababu malaika wa Mungu ndo watakaoumia means watoto.. Wapo wengi wameishia kuishi maisha mabaya na kupoteza fute zao kisa wazazi waliachanaa...!! Naamini mpaka wazazi wanaachana huwa wanakuwa wamefika hatua ya mwisho kabisa ya kuvumilianaa japo inauma sana ila ni bora kuliko Kuuana... Kweli humpendi mama yao ila fanya kwa ajili ya wanao japo inauma sana hasa kama ni Usaliti unahusika.
Pole na hongera pia hope una enjoy life...Mi hakikuwepo Cha kugawana coz ndo kwanza tulikuwa tuna miaka miwili na hatujawahi ishi pamoja....kwahiyo alikokuwa anaishi alikuwa na chake na ninapoishi nami Nina changu
Vp ikifikia ndan hakuna mtu anashida na mwenzie hasa kitandan yan mnalala kitanda kimoja lakini kila mtu yuko busy na cm yake, mnawatoto lkn hamna hisia yan mnaweza maliza hata mwezi hakuna kusemeshana hata salam na mnalala kitanda kimoja...ila matumiz jamaa anatoaa kama kawaidaMimi siyo muumini wa kuamini utengano wa talaka kama wahusika wameshafikia hatua ya ku-share damu kwa kuwa na watoto/mtoto!
Kama hamjafika hatua hiyo hata mkiuwana uwaneni tu ninyi hamna baya,mimi naamini nilie nae ni sahihi style yangu ya maisha ni Mungu mbele na naongoza heshima kwamba sionyeshi hali yoyote ya mashaka kwa mwenzangu so na yeye automatically ameenda kama mimi.
Sikatai mkuu but ukinisoma katikati ya mistari utakutana neno Mungu.Watu hubadilka mkuu, wenza wengi huanza vzuri xn na shrehe za kufa mtu, lkn mwishoe hua uadui
Yaani navyozidi kuisoma jamii nyingi na dunia kuujumla. Najiona sikufanya chaguo baya kurudi home kuoa.
Sie huwa hakunaga talaka.
Yaani unamuacha mke anaishi tu na watt basi wewe unaoa mke mwingine maisha yanaenda.
Yule anakuwa jina kuwa Ni mke wa fulani.
Hata akienda kuolewa ama kula Bata maisha yake yote Ila mwisho wa siku atarudi tu kwao na mwanaume ndiko atakakozikwa.
Mana Tayari kwao walimfanyia Ile inaitwa send OFF.
Mnajua Mana ya Hilo neno lakini ama huwa tunalishadadia kuwa leo anafanyiwa send off jamani.
Kwa anayejua Mana ya English nadhani atanielewa.
Na yeye ameolewa au bado yupo kitaaNimeoa kaka
Sasa nimepoa,maana siyo Kwa stress nilizopitiaPole na hongera pia hope una enjoy life...
very sorry kwa mapito,kikubwa usiwe mpweke sana tafuta kampani...Sasa nimepoa,maana siyo Kwa stress nilizopitia