Tukutane hapa tuliowahi kuvamiwa na majambazi tupeane uzoefu/ushuhuda

Kuna jamaa mmoja alikuwa askari kabisa ila kumbe ana kazi zake za ziada

Sasa siku hiyo akamchukua dereva tax ambaye mara nyingi wanambeba

Wakaondoka wakaenda zao jamaa anaenda kufanya tukio kwenye sheli moja
Dreva tax akaachwa kwenye gari

Ghafla anashangaa yule askari anakuja mkuku kuingia kwenye gari ,Dreva tax akabakiwa na mshangao jamaa kamuambia ondoa gari akawa haamini askari ni jambazi ...Ile kusuasua jamaa akamfumua risasi ya bega dereva tax halafu akatokomea

Basi jamaa kajikongoja kufika kituo cha Polisi kutoa taarifa ,Polisi wakakataa kumfungulia wakamuambia ni wewe ....Tumeiskia hiyo mashine inavyolia

Msaada tutakao kupa simu hii hapa wapigie ndugu zako wakupeleke hospital
Pf3 tutakuletea kesho hospital.

Yule jamaa sijui alikuwa na Silaha ya aina gani mpaka polisi wakasema hiyo ndio yenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NINAKUMBUKA 2007 KAMA SIYO 2008 SIKU HIYO MCHANA KWEUPE TULIKUWA TUMETOROKA SHULE UMBWE SECONDARY TUKASHUHUDIA MAJAMBAZI WANAUWAWA NA POLICE MOSHI...... WALIKUWA WAME
Kwa Nini hukumpora bastola na mtu umempiga ngumi katepeta?
ningekatwa na mwenzake..... lengo langu lilikuwa hilo ila mwenzake angeniumiza.
 
Huko ni hatari nakujua vizuri saana maana nimekulia hapo, pale Malagarasi kuanzia saa 12:00 jion sio pazuri hata hapo Nduta pia, muda huo sio mzuri. Kuanzia saa moja na kuendelea ndo zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Embu tupe mkasa wa ubungo


 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walifukuziwa na Vx ya DC wa enzi hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilivyoona thread ya aina hii nikajua tu mtoa mada ni mlevi aliyetukuka

Sent by Diaspora
 
Nlikua mwalimu wa Field hapo Ummbwe miaka hiyo,nyie ndio mlipanda Hiace kwa Raphael mkaenda mjini afu na tabia ya kuoga mtoni kwa Kombo na Som Som
NINAKUMBUKA 2007 KAMA SIYO 2008 SIKU HIYO MCHANA KWEUPE TULIKUWA TUMETOROKA SHULE UMBWE SECONDARY TUKASHUHUDIA MAJAMBAZI WANAUWAWA NA POLICE MOSHI...... WALIKUWA WAME

ningekatwa na mwenzake..... lengo langu lilikuwa hilo ila mwenzake angeniumiza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo habari ya mwisho balaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mzee akaona na yeye asepe na Majambazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimechekaa mpk machozi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]formula2 ww ni mwehu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao nao ni majambazi au wezil???
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa inaonekana ni wa kukurupuka tu, hajui ktk mapambano ujasiri na akili hutumika pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…