Tukutane hapa tuliowahi kuvamiwa na majambazi tupeane uzoefu/ushuhuda

Aisee duniani watu wanapitia mengi sana poleni binafsi sijawai kukutwa na wezi except niliwahi pigwa sijui ngumi or kofi la uso baranarani lililonisababisha nikae chini huku naona nyota maskio naskia miluzi akili iliporudi nilikua nimeibiwa simu sitasahau maumivu ya uso maana mkono wa kibaka ulijichora surani siku mbili
 
hahahahahahahahahaaha
 
Kama ulilipwa ngoja tu nicheke[emoji16][emoji16][emoji16]...ila pole mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wezi wa kigamboni wakati fulani nilisikia walikuwa wanalawiti bana vija wa kiume hasa wa ifm jamaa walipochoka wanaume wakaamua kuandama kupinga hali hiyo hadi pale wizara ya elimu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa...Cha ajabu hao madenti wanaolala kiga tuko nao class huwezi kusikia hata fununu!...mpaka kilivyonuka kwenye vyombo vya habari[emoji848][emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pole Sana....badae ikawaje sasa ulivyorudi bongo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wezi wa kigamboni wakati fulani nilisikia walikuwa wanalawiti bana vija wa kiume hasa wa ifm jamaa walipochoka wanaume wakaamua kuandama kupinga hali hiyo hadi pale wizara ya elimu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahahah!!!kaka umenikumnusha mbal sana.Kipindi hili linatukia nilikua mwaka wa mwisho pale ifm but i was staying at Tandika ndio magetoni.Nazama chuo siku hiyo nakutana na zogo la watu kutinduliwa halaf wanasema tuandame na mm maandamano sikuyazoea..Ilikua siku ngumu sana kwangu nakumbuka. Ahahahahahaj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…