Tukutane hapa tuliowahi kuvamiwa na majambazi tupeane uzoefu/ushuhuda

Maadui wengi kivipi tena mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji24][emoji24][emoji108]maamaae hawa wangese hawafai kuishi humu duniani

Humu hizi namba mbili ni takataka za kuondoa humu duniani mwizi na mchawi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu hua mnasubir mtu aje na story kazi yenu ni kupinga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namjua huyu jamaa alikua anaishi mecco enzi hizo karibia na shule ya nundu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole sana bro. Mungu alilinda uhai wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tekniki kali kama ya Samori Toure wa Mandinka Empire

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uliwaroga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba unipe huo ujuzi wa kuomba dua

Nifate masharti gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aise inakuwaje mtu akieleza kitu baadhi yenu mnasema muongo, inaelekea kuna tabia ya watu kudanganya hapa na mnadhani kila kinacholetwa hapa ni uongo!
Unasema majambazi hawarushi risasi kama hakuna kilichotokea eneo lao? Hivi umewahi kuvamiwa na majambazi au unaongea tu? Ujabazi wa miaka ya nyuma ya kuvunja mlango kwa fatuma walikuwa wakirusha risasi juu kuwatisha watu wasije kutoa msaada!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
OTE maana yake ni nini boss?
dodge
 
Miaka 1980 mpaka 2000s kulikuwa ujambazi sana katika baadhi ya mikoa hasa huko bara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…