Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,611
- 5,173
Hivi mbona almost wote mliivamiwa mmejenga tu kuhamia unakutana na majambazi?Mwaka 2010, nyumbani tulikuwa wawili tu, mimi na mama watoto,tu na wakati huo tulikuwa hatujaanzisha familia bado.
Nilirudi nyumbani mapema Sana siku hiyo mida ya saa 12 jioni tu, baada ya kula mapema pia nikaenda kujipumzisha mapema pia, saa nane usiku nikasikia milio ya bunduki, nikahisi hapa tushavamiwa, Jana yake tu nilikuwa nimetoka kuchukua kagari Ka kutembelea( T blj), nikajua pengine ndo wanafata Hilo Gari, kwa hiyo si kuwa na idea kama wangeweza kunidhuru kwa kuiba Gari ambalo lipo nje na wangeweza kuwasha tu hata kwa funguo Malaya na kuondoka. Nyumba haikuwa na fensi
Kulikuwa na ukimya wa kama dakika moja, nikasikia tena milio mkubwa Sana maeneo mlango wa sebuleni na wa jikoni kwa pamoja! Sekunde kadhaa tu wakawa tayari wanavunja mlango wa chumba changu!
Muda wote huo wife anahangaika kujificha chini ya uvungu bila mafanikio, ni kibonge flan, so zoezi Zima la yeye kuingia huko halikuwezekana,mpaka jamaa wameingia nilikuwa Sina clue, yaan wakanza straight na mapanga mwilini,, toa pesa!toa pesa! Tunajua umezificha, chumbani walingia kama watu watano,wawili ni heavy kiasi kwamba nikahisi hapa nikijaribu kufurukuta napotea, watatu wa kawaida tu ningeweza kupambana nao kama wasingeambatana na Hao heavy duty, nikaona ni comply tu yaishe!
Mapanga yalitembea takriban dk 5 mfululizo, wife ndo alikua mtetezi wangu analia kwa kuwaambia kuwa Leo huyo baba hajaja na hela, an gekuwa nazo angewapa, kiukweli Nina kawaida ya kumkabidhi wife kila siku kile nilichokuja nacho nyumbani, na siku hiyo kweli si kuwa na pesa niliyokuja nayo nyumbani, kulikuwa na laki mbili tuu kabatini ambayo ilikuwa kama balance ya dharula wakaichukua
Momment ambayo Hua inaniumiza hadi Leo, ni kuna mmoja alikuwa amepania kuniua kabisa alipiga panga mbili Moja ikaingia haswa, ya pili nikasema ngoja nikinge, ikaondoka na kidole kimoja, baadaye akanitupia taulo huku akisema jifunike sasa nakata shingo hapo nadhan ufahamu wangu ndo ulifika mwisho,
Wife alikuwa anaona kila kitu anasema baada ya tukio la kunitupia taulo alipiga panga mbili ambazo alikosa zote, ikawa wenzake wanamuita kwa code ndo pona yangu, nililala hapo chini huku nikiwa Sina fahamu, hadi nilipokuwa kusikia sauti ya wife aliniambia mume wangu kama upo hai amka wamesha ondoka,!! Ni sauti ya huzuni kabisa kuwa hi kusikia Kutoka kwa mke wangu, anasema alijaribu mara kadhaa Kuniambia hivyo, Lakin si ku respond akajua nshapotea. nadhan mungu tu alikuwa upande wangu siku hiyo.
Hawakuchukua Gari ambalo nilidhani ndo liliwaleta, kilichofata nilikimbia nyumba na kwenda kupanga Tena mana niliona haikuwa bahati yangu kujenga, ila Nilirudi baada ya kupata Familia, na nipo hadi sasa ila nina makovu kichwani na kidole kimoja Sina, plus mimi. Na wife kila ikifika saa nane usiku automatically tunakua macho, hii nadhan ni physiological toucher ambayo tutakufa nayo
User name yangu inareflect namba za Gari ambazo nadhan lilichangia pia kuniletea majanga. siku ya tukio tulivamiwa nyumba tatu mitaani, sisi tulikuwa wa mwisho kuvamiwa na Kutoka na maisha. nyumba moja walimuua baba na ya pili wakaumuua mlinzi, kwa maelezo ya wenzetu muuaji alikuwa yule yule aliyekuwa ananisulubu mie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana laana ya Damu ilitembea juu yaoBaba yangu mzazi, mzee isaki alikuwa mlinzi kanisani. Ule ulinzi kwamba siyo mgambo wala askari ni raia tu, miaka ya nyuma uaminifu wako ulikubeba.
kazi hiyo aliifanya zaidi ya miaka arobaini. Akamwambia mchungaji wa lile kanisa, nguvu zimeisha nataka nipumzike, mchungaji hakuona kama serious issue, ikabidi mzee aendelee na kazi huku anangojea aletewe mtu wa kumwachia kazi.
Mwaka 2001, pasaka jtatu kuamkia jnne, waliingia wezi,
Wakamuulia baba yangu, ndani ya kanisa, pale madhabahuni damu yake ilijaa pale hadi tunaenda kwenye ibada ya mazishi iko pale, ilikuwa huzuni kubwa. mzee alikuwa mpole sana.
Walikamatwa vijana ila mama akasema sitaki kesi, mzee wangu wameshamuuwa, waachieni Mungu anajua.
Walikufa vijana wengi pale kwetu wakiweweseka tulimuuwa yule mzee kanisani. Wengine hadi wazazi wao na ndugu zao walikufa.
Wezi hawafai.
So sad.
R.I.P. Paradise Baba na Mama!
Sent using Jamii Forums mobile app
Haa, akiona hii mama chanja atatamba balaa,!!! Ni mke na kama rafiki, simfichi kitu na siku Ile ndo aliyabeba maisha yangu haswa, uzuri alikuwa anajua kila kitu, ni kweli siku Ile sikurudi na pesa na alilijua hilo,
Ok mkuu nashukuru sanasiri kubwa ya dua yoyote kubwa hasa ya kudhulumiwa au kufanyiwa ubaya basi wakati unaifanya ufanye na watoto hasa watoto yatima wale wadogo kabisa then mwisho uwape sadaka na kwa kusudi kabisa kabla ya kuanza kusoma nao hyo dua waambie kilichotokea mpka wasikitike haswa then piga nao dua hali ya kuwa wanakuonea huruma na huzuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, nisamehe. Nataka kujua tu; wewe ni jambazi?Huu ni uongo tosha
Majambazi hawana muda wa kujibishana na wewe. Eti hela nimepitisha kazini
Majambazi hujawahi kutana nao.
Umesema uliwekwa uvunguni, akaletwa na HG naye uvunguni...
Baadae unasema Mdogo wako aliwekwa chooni na HG
Mkeo hujasema alikuwa wapi
Majambazi hawama sababu ya kurusha risasi kama hakuna kilichotokea nje ya eneo la wizi.
Majambazi sio wajinga una bastola wakuachie wakiwa wanaondoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutoka ni salama ikiwa tu nawe utatoka kama jambazi au komando, sio unatoka kilegelege. Hakikisha unajua mbinu za medani na zana za kujilinda unazo in case of anything na backup plan utengeneze kabisaHili la kutoka ni hatari na inabidi mtu uwe makini. Miaka ya nyuma kuna mwanajeshi mmoja aliuawa mitaa ya Tanki bovu. Nadhani huenda kuna members wanaojua hiki kisa. Walivamia sehemu, mjeda akatoka akakuta jambazi mmoja amebana kwenye michongoma. Akamwamrisha ''mikono juu''. Jambazi badala ya kunyoosha akamfyatulia risasi na kumuua palepale. Kwa upande mwingine nao watu wasipokuwa wanatoka majambazi na vibaka ndiyo hufurahi na kuonea huo mtaa.
Kukiwa n Pesa wanaingia wanapora n kutoka kk.... Acha ubishiAcha utani hamna kituo cha polisi kinafungwa.
Mecco sasa hivi wapo vibaka tu uhalifu wa namma hiyo haupo tena.
.
Huwezi kupiga risasi kiholela holela au kuvamia Mecco, Igoma, National kwa kifupi katikati ya mji ukatoka salama ninaandika nikiwa nauhakika wa 100% sehemu zote zilizokuwa na matukio ya kuvamiwa na majambazi zimedhibitiwa ukija hutoki Mecco, Kishiri, Katoro, Tarime, Kahama, Lunzewe na Geita
Acha tu mkuu baadae unasikia wakisema kwamba waliona Mwanzo hadi mwisho wa tukio.
Huyu jamaa hapo kwake Buzuruga kwa nje ndipo ulikuwepo uwanja wetu machalii wa kucheza mpira miaka hiyo mtaani.Naam, kisha alikuja jenga na akahamia pale Buzuruga kuelekea nyasaka karibu kidogo na mkabala na kanisa la Wasabato
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu kumbe we Ni jirani yngMkuu hiyo mitaa ya buzuruga, memo, had I national vijana wezi sana. Mimi mwaka Jana mitaa niliyokuwa naishi national nyuma ya comfort hotel walinipulizia dawa wakaiba flat screen,jiko, nguo na via zangu kwenye nlishtuka SAA 3 asubuhi. Hata job nilishindwa kwenda sumu Kali sana ile.
Mwaka 2010, nyumbani tulikuwa wawili tu, mimi na mama watoto,tu na wakati huo tulikuwa hatujaanzisha familia bado.
Nilirudi nyumbani mapema Sana siku hiyo mida ya saa 12 jioni tu, baada ya kula mapema pia nikaenda kujipumzisha mapema pia, saa nane usiku nikasikia milio ya bunduki, nikahisi hapa tushavamiwa, Jana yake tu nilikuwa nimetoka kuchukua kagari Ka kutembelea( T blj), nikajua pengine ndo wanafata Hilo Gari, kwa hiyo si kuwa na idea kama wangeweza kunidhuru kwa kuiba Gari ambalo lipo nje na wangeweza kuwasha tu hata kwa funguo Malaya na kuondoka. Nyumba haikuwa na fensi
Kulikuwa na ukimya wa kama dakika moja, nikasikia tena milio mkubwa Sana maeneo mlango wa sebuleni na wa jikoni kwa pamoja! Sekunde kadhaa tu wakawa tayari wanavunja mlango wa chumba changu!
Muda wote huo wife anahangaika kujificha chini ya uvungu bila mafanikio, ni kibonge flan, so zoezi Zima la yeye kuingia huko halikuwezekana,mpaka jamaa wameingia nilikuwa Sina clue, yaan wakanza straight na mapanga mwilini,, toa pesa!toa pesa! Tunajua umezificha, chumbani walingia kama watu watano,wawili ni heavy kiasi kwamba nikahisi hapa nikijaribu kufurukuta napotea, watatu wa kawaida tu ningeweza kupambana nao kama wasingeambatana na Hao heavy duty, nikaona ni comply tu yaishe!
Mapanga yalitembea takriban dk 5 mfululizo, wife ndo alikua mtetezi wangu analia kwa kuwaambia kuwa Leo huyo baba hajaja na hela, an gekuwa nazo angewapa, kiukweli Nina kawaida ya kumkabidhi wife kila siku kile nilichokuja nacho nyumbani, na siku hiyo kweli si kuwa na pesa niliyokuja nayo nyumbani, kulikuwa na laki mbili tuu kabatini ambayo ilikuwa kama balance ya dharula wakaichukua
Momment ambayo Hua inaniumiza hadi Leo, ni kuna mmoja alikuwa amepania kuniua kabisa alipiga panga mbili Moja ikaingia haswa, ya pili nikasema ngoja nikinge, ikaondoka na kidole kimoja, baadaye akanitupia taulo huku akisema jifunike sasa nakata shingo hapo nadhan ufahamu wangu ndo ulifika mwisho,
Wife alikuwa anaona kila kitu anasema baada ya tukio la kunitupia taulo alipiga panga mbili ambazo alikosa zote, ikawa wenzake wanamuita kwa code ndo pona yangu, nililala hapo chini huku nikiwa Sina fahamu, hadi nilipokuwa kusikia sauti ya wife aliniambia mume wangu kama upo hai amka wamesha ondoka,!! Ni sauti ya huzuni kabisa kuwa hi kusikia Kutoka kwa mke wangu, anasema alijaribu mara kadhaa Kuniambia hivyo, Lakin si ku respond akajua nshapotea. nadhan mungu tu alikuwa upande wangu siku hiyo.
Hawakuchukua Gari ambalo nilidhani ndo liliwaleta, kilichofata nilikimbia nyumba na kwenda kupanga Tena mana niliona haikuwa bahati yangu kujenga, ila Nilirudi baada ya kupata Familia, na nipo hadi sasa ila nina makovu kichwani na kidole kimoja Sina, plus mimi. Na wife kila ikifika saa nane usiku automatically tunakua macho, hii nadhan ni physiological toucher ambayo tutakufa nayo
User name yangu inareflect namba za Gari ambazo nadhan lilichangia pia kuniletea majanga. siku ya tukio tulivamiwa nyumba tatu mitaani, sisi tulikuwa wa mwisho kuvamiwa na Kutoka na maisha. nyumba moja walimuua baba na ya pili wakaumuua mlinzi, kwa maelezo ya wenzetu muuaji alikuwa yule yule aliyekuwa ananisulubu mie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dahhh....Huyu jamaa hapo kwake Buzuruga kwa nje ndipo ulikuwepo uwanja wetu machalii wa kucheza mpira miaka hiyo mtaani.
Ninamfahamu yeye na familia yake vizuri.
Pole sana mkuu.Baba yangu mzazi, mzee isaki alikuwa mlinzi kanisani. Ule ulinzi kwamba siyo mgambo wala askari ni raia tu, miaka ya nyuma uaminifu wako ulikubeba.