CotterPin
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 2,395
- 5,011
Kumbe ni mkurya.Ukianzisha ugomvi na Mkurya ukae chonjo. At last,they went to their last safari to pagak roughly!
Wa wapi ndugu, juzi nilipata ajari hapo jirani ka kirumi bridge.
Kumbe ni mkurya.Ukianzisha ugomvi na Mkurya ukae chonjo. At last,they went to their last safari to pagak roughly!
TatepaKuna siku Niko na jamaa yangu tuliamua kwenda Buguruni kucheki totozi zinazo danga mitaa ile, Nukumbuka tulifika buguruni mida ya SAA 5 usiku tukaanza na lile chimbo opposite na kituo cha daladala cha buguruni ukitokea Tazara tukafanya yetu pale mpaka mida ya saa7 usiku. Baada ya hapo jamaa yangu alinambia twende chimbo lingine ambalo lipo kwenye vichochoro chini ya buguruni sheli pale, basi mi bila hiyana nilimkubalia jamaa yangu tukaanza kujongea.
Baada ya kuvuka barabara pale darajani ( daraja la wavuka kwa miguu pale buguruni) ile tuna anza kuingia uchochoroni tuka kutana na jamaa mmoja akaanza kutuzingua basi tukawa tuna mpotezea tukijua kalewa. muda huohuo hatukujua jamaa katumia ishara gani kuwaita wenzake mara tukashangaa tumezungukwa na kundi la watu si chini ya 20 wenye mapanga, sime n.k. Fasta nikamtonya jamaa yangu kuwa asije akapaniki au kujionesha yeye ni mbabe maana namjua jamaa yangu ni mtu wa kupaniki mapema. Basi tukaambiwa tupige magoti tukapiga kwa kwa kuwa nilikuwa maji kidogo akili zikachaji fasta nikawaambia naomba kuongea na kiongozi/ mkuu wenu, wakati huo kulikuwa na walinzi wa maduka pembeni chini ya sheli pale lakini waliishia kutuangalia bila ya msaada wowote na virungu vyao. Basi wale vibaka walikubali mimi niongee na mkubwa wao, nika mwambia naomba niinuke tuongee kwa pembeni kidogo wakati huo rafiki yangu yeye kawekwa chini ya ulinzi na wale vibaka wengine, baada ya kutoka pembeni kidogo na bosi wao nilianza kupiga fix ( kumdanganya ), nilimwambia unajua nyie mnawezwa kamatwa kishamba sana na police? wewe unajua sisi ni akina nani? kwa taarifa yako sisi ni usalama wa Taifa hapa napo ongea na wewe nalindwa na askari si chini ya 50 na wako hapa hapa ni kitendo cha kutoa ishara tu ndani ya sekunde mnakamtwa, jamaa akaanza kutepeta kwa kufanya aniamini zaidi nikamtolea kitambulisho nikamuonesha then nikakiludisha mfukoni bila ya yeye kukisoma ( kilikuwa ni kitambulisho cha chuo hakuweza kukigundua) nilipo muonesha kitambulisho yani ndio alitepeta hatari mi kimoyomoyo nikasema yesi haya si ndio mambo. Baada ya kuona bosi wao kalowa nikamwambia naomba umwite na yule jamaa yangu aliye wekwa chini ya ulinzi aje hapa, basi akafanya hivyo wakati huo wale vibaka wengine wakajua mimi niko na bargain na boss wao mambo ya pesa. Baada ya jamaa yangu kuja nikamwambia yule boss wa vibaka atusindikize mpaka kituo cha police cha buguruni sheli pale. Jamaa akawaambia wenzake kuwa analudi basi njiani nikaendelea kumpiga fix za hatari na jamaa yangu naye baada ya kuusoma mchezo na akamuonesha kitambulisho then akakiweka fasta mfukoni ( kitambulisho cha chuo) jamaa akawa anaomba msamaha kuwa tusimpeleke kituoni. Baada ya kufika maeneo ya sheli nikamwambia yule boss wa vibaka kwa sauti ya juu na ya hasiraa "HAYA RUDI ULIKOTOKA NA KESHO TUTAKUJA NA DEFENDER MAENEO YALE YALE OLE WENU TUWAKUTUTE TENA, LEO ILIKUWA NI ONYO TU" baada ya kumwambia hayo jamaa alikimbia kwa wenzake, baada ya hapo tukapanda daladala kuludi maskani kwetu huku tukiwa tunapumua kwa nguvu kweli maana hatukuamini, kuwachoropoka watu zaidi ya 20 wenye mapanga n.k kwa kutumia maneno na akili za ujanjajanja.
Sitokuja sahau hiyo siku, kwa ujanja wetu na jamaa yangu VITAMBULISHO VYA CHUO VILITUSAIDIA SANA INGAWA WAO WALIJUA NI VITAMBULISHO VYA MAAFISA USALAMA.
MWenzako alikuwa anahisi yuko kwenye series ya 24 hours halafu ye ndo jack, kumbe ndani ya gari kuna raia.Hawa askari wetu kweli weledi ni sifuri. Ataitumia aje gari yako kama kinga yake, yaani hawajui wala kuwaza usalama wa raia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka miwili iliyopita tulivamiwa na wezi nyumbani usiku wa saa saba, sina uhakika waliingiaje maana ilikua nyumba ina fence na geti milango yetr ina grill za nondo ngumu, vioo vya madirisha tuliacha wazi ili kupata hewaUsiku una mengi, kuna wanadamu wao wamejitolea usiku kama ndio muda wao wa kutafuta chochote kitu, binafsi nimewahi kukutana na matukio machache ya kukutana na wezi usiku.
Tukio la kwanza, nakumbuka tulikua form six miaka ya nyuma tunatoka kwenye kumbi za starehe tukiwa watatu tunarudi tuliko kua tumepanga uswahilini, njiani tulikutana na wezi wametoka kuiba samani meza, vitanda, na viti walikua wengi kiasi, jamaa walitusimamisha mmoja wao akatupiga mkwara mzito sanaa, nakumbuka walitubebesha meza, rafiki angu mmoja mwenye mwili mkubwa yeye alibebeshwa kabati, tulitembea kama kilomita mbili hivi wakatuachia, yule mwenzetu aliebeba kabati aliumwa mgongo wiki nzima.
Tukio la pili, nikiwa nakatiza mitaa ya Sinza, nikakutana na kundi la vibaka wako kama sita hivi saa sita usiku, ilikua ni ile position unakata kona unakutana na watu hawa hapa, sikusita nikapita kati kati yao maana hakukua na namna nyingine ya kukimbia, nilipigwa kabali ya hatari, huyu kashika mguu huu, mwingine kashika mguu mwingine, walinichukulia simu, waleti na viatu, tukaachana kwa mengi matusi tunatukanana.
Tatu, hii ilinikuta maeneo mapya niliyokua nimehamia, mida ya saa tano usiku nimetoka kunywa mitungi mtaa wa pili, walikuja vijana wawili kwenye boda boda na mapanga yao, mmoja nilimvamia kwa speed ya hatari nilimrukia teke moja akaanguka analia ana kufa, siku laza damu nilikimbia speed ya kufa mtu.
Unaweza kushare mawili matatu kama umewahi kukumbwa na maswaibu haya, then watu wakajifunza chochote na kuchukua precautions siku za mbeleni.
Pia soma Fanya yafuatayo ukigundua kuna majambazi nje ya Nyumba yako
Nimecheka kufaaaaac🤣🤣🤣Mimi nacheka hapo ati umekutana nao chochoro ukaona upite katikati yao.
Ulikua unawaza nini? Wakuogope au?
Hizo Medani za kivita ni balaa, weusi wako ulikuokoa baada ya kuvua nguo🤣😅Wazee wa kazi walivamia kwa jirani yetu alikua ametoka kuuza gunia zake za mpunga,Kahama hiyo. Picha linaanza mida ya saa mbili mbili za usiku.Home nipo mimi ,bibi na mbwa .Mimi nimekaa nje ,bibi anaunga unga mboga maharage kwenye jiko la mkaa.Bwana wee ikavurumushwa risasi huko ,kwa lile wenge bibi akapiga katafunua chungu cha maharage na moto akamwagia maji kisha kwa speeed ya umeme ndani akafunga mlango akazima taa zote.Mimi nimebaki nje peke yangu kwa mbinu na medani za kivita nikavua shati nisionekane kisha nikajisunda kwenye jalala kimya.Baada ya sereka kuisha tafuta sana mbwa kuja kumkuta kumbe na yeye kaingia ndani zamani sana yuko chini ya uvungu wa kitanda.
hizi gri tulitoka nazo UDSM kulikuwa na foleni balaa tulibyofika chuo cha maji zikatupita ila kwenye daraja karibu na mataa jam yake ilikuwa babkubwa so tuliwakuta pale wakiwa wamekwama kwenye mataa ndo ssi tunavuka darajani. kitendo kilifanyika tukiwa 100 to 200 mt
oh God 😭😭 poleni sana aiseeMiaka miwili iliyopita tulivamiwa na wezi nyumbani usiku wa saa saba, sina uhakika waliingiaje maana ilikua nyumba ina fence na geti milango yetr ina grill za nondo ngumu, vioo vya madirisha tuliacha wazi ili kupata hewa
Nadhani walikua wanatuchora muda maana waliingia wakati Mr hayupo amesafiri so nilikua all alone na watoto and i was 9 months pregnant
Nikiwa usingizini nikahisi kama nazibwa mdomo nakosa pumzi, nikahisi labda nipo ndotoni lakini nilipofungua macho nakutana na sime tatu, mbili zimeelekezwa kwa boys wangu wawili na moja imenielekea, huyu alieniwekea sime akaniambia tulia kimya ukipiga kelele tunachinja watoto(mr akisafiri huwa nalala na watoto hawa wadogo mmoja alikua na miaka minne na mwingine 6)
Huyu wa miaka sita yeye akaanza kupambana nao akawa anawarushia mara mateke mara vingumi vyake anawaambia muache mama yangu maana alikua amenishika shingo kama anataka kunikaba
Nikiangalia hali yangu na tumbo la miezi tisa, nina watoto watatu ndani tena wa kike yupo chumba kingine, I was terribly worried nikajisemea nainachohitaji ni usalama wa watoto wangu kwanza
Ikabidi nimwambie mtoto atulie, wakati namtuliza mtoto mwizi mmoja akaniamrisha ninyanyuke nifungue safe maana ilikua imefungwa kwa password, walikua wamevaa mask na waliwasha taa zote za nyumba nzima, ndani walikua watatu, sijui nje walikua wangapi
Nikawa mpole nikamfungulia, palikua na document tu hapakua na hela,
Kwa hesabu za harakaharaka ni kwamba ndani waliingia muda mrefu sana na walikua wameshahamisha baadhi ya vitu sema sijui walituwekea dawa hatukusikia, maana pale chumbani palikua pamepekuliwa kila kitu kilikua hovyo mpaka simu yangu walikua wameishika mkononi na baadhi ya vitu walikua wameshachukua,
Yule kiongozi wao akanimuru nimvulie pete zangu za ndoa,nikafanya hivyo, akahitaji passowrd za mpesa na airtel money, nikampatia na akahamisha pesa hapohapo, nilikua na app ya sim banking wakahitaji passowrd pia,nikawapatia na wakahamisha pesa, walipoona nipo calm na ninawapa ushirikiano wakaweka silaha chini wakavua na mask wakawa very confortable kusearch, walisearch kila mahali, vyumba vyote na walichukua kila walichotaka, walikua na Noa imepaki nje
kifupi walispend zaidi ya dakika 30 pale ndani, mmoja akabaki wakati wengine wanapeleka vitu kwenye noah nje na walikua wanatokea geti kubwa bila woga
Walipomaliza, wakaniambia ole wako upige kelele, bado tuna kazi kwa majirani zako,ukipiga kelele tutarudi na tutakubaka mpaka huyo mtoto tumboni atoke, Nilikaa kimya nikachungulia dirishani mpaka nilipohakikisha wametoka, nikatoka nikafunga milango na geti maana waliiacha wazi, then after tukaka na watoto sebleni, walikua wanaogopa,nilikua naogopa pia nikashindwa kujizuia nikawa nalia tu, i had nothing to tell the kids, sikua na neno la kuwatia moyo au kuwafariji, i was helpless,sikua na simu wamechukua zote,tv hamna, laptop hamna, hata tablets za watoto,sikua na kitu chochote cha kuniwezesha kufanya mawasiliano, na mtaa tuliokua tunaishi ulikua kimya nyumba zipo mbalimbali na hata ukipiga kelele sio rahisi kwa jirani wasikie. For the first time i cried like a baby mbele za watoto, ikabidi wao wageuke wafariji wangu, huyu wa kiume aliekua anapigana na wezi akawa ananiambia mama usilie, kesho baba akija atawakamata wote na tutawapiga mpaka warudishe tablets zetu tucheze game
Watoto walisinzia kwenye miguu yangu ila mimi sikulala mpaka mida ya saa 11 nikasikia mngurumo wa bajaji ya jirani inapita(huwa anarudi saa 11 kila siku. Nikatoka nje ya geti mbiio nikamsimamisha, nikamwambia tumevamiwa usiku, ndio ikabidi aanze kuwapigia majirani wengine,na mimi nikaomba simu nikatoa taarifa kwa Mr, ndugu jamaa na marafiki, cha kushangaza kumbe wale wezi walifunga mtaa, walivamia nyumba sita kwa usiku huo,ten nyumba zingine wamingia zilikua na fence ya umeme
Nashukuru Polisi walifanya kazi yao kikamilifu, walikamatwa woote,tulikwenda kuwatambua na sikukosa mahakamani hata siku moja mpaka siku ya hukumu, watoto wangu walikua sehemu ya ushahidi, nakumbuka siku watoto wanatoa watu walipata hisia kali sana na uchungu, yule mwendesha mashtaka alishidwa kujizuia alipata hisia za uchungu na hasira sema miiko ya kazi ilimbana akakaa kimya
Mwisho wa siku hukumu ilitoka na Walipigwa mvua thelathini kwa kwesi ya Arm robery
Tuliuza ile nyumba na hatujawahi kurudi ule mtaa tena,baadhi ya vitu vilipatikana tukaambiwa tukavitambue pale oysterbay ila hatukwenda maana tuliona vitayupatia kumbukumbu mbaya, wakala aliehamishiwa pes akutoka kwenye simu yangu alikamatwa na alishtakiwa pia
Go down walilokua wanahifadhi vitu lilivamiwa na polisi na mmiliki alikamatwa
Hii kumbukumbu haijafutika mpaka leo, na kwa watoto ilikuwa worse,ilibidi tuwatafutie mwana saikolojia wa kuwasaidia, maana ilifika wakati hata mtu akigonga geti wanakimbia kujificha wanahisi ni mwizi
Duh poleni sanaMiaka miwili iliyopita tulivamiwa na wezi nyumbani usiku wa saa saba, sina uhakika waliingiaje maana ilikua nyumba ina fence na geti milango yetr ina grill za nondo ngumu, vioo vya madirisha tuliacha wazi ili kupata hewa

Inasikitisha sana, poleni sanaMiaka miwili iliyopita tulivamiwa na wezi nyumbani usiku wa saa saba, sina uhakika waliingiaje maana ilikua nyumba ina fence na geti milango yetr ina grill za nondo ngumu, vioo vya madirisha tuliacha wazi ili kupata hewa

Dah pole sana aisee najua maumivu ya kuona watu wananyima amani na kuwatia hofu watoto wakoMiaka miwili iliyopita tulivamiwa na wezi nyumbani usiku wa saa saba, sina uhakika waliingiaje maana ilikua nyumba ina fence na geti milango yetr ina grill za nondo ngumu, vioo vya madirisha tuliacha wazi ili kupata hewa

Usiku una mengi, kuna wanadamu wao wamejitolea usiku kama ndio muda wao wa kutafuta chochote kitu, binafsi nimewahi kukutana na matukio machache ya kukutana na wezi usiku.
Tukio la kwanza, nakumbuka tulikua form six miaka ya nyuma tunatoka kwenye kumbi za starehe tukiwa watatu tunarudi tuliko kua tumepanga uswahilini, njiani tulikutana na wezi wametoka kuiba samani meza, vitanda, na viti walikua wengi kiasi, jamaa walitusimamisha mmoja wao akatupiga mkwara mzito sanaa, nakumbuka walitubebesha meza, rafiki angu mmoja mwenye mwili mkubwa yeye alibebeshwa kabati, tulitembea kama kilomita mbili hivi wakatuachia, yule mwenzetu aliebeba kabati aliumwa mgongo wiki nzima.
Tukio la pili, nikiwa nakatiza mitaa ya Sinza, nikakutana na kundi la vibaka wako kama sita hivi saa sita usiku, ilikua ni ile position unakata kona unakutana na watu hawa hapa, sikusita nikapita kati kati yao maana hakukua na namna nyingine ya kukimbia, nilipigwa kabali ya hatari, huyu kashika mguu huu, mwingine kashika mguu mwingine, walinichukulia simu, waleti na viatu, tukaachana kwa mengi matusi tunatukanana.
Tatu, hii ilinikuta maeneo mapya niliyokua nimehamia, mida ya saa tano usiku nimetoka kunywa mitungi mtaa wa pili, walikuja vijana wawili kwenye boda boda na mapanga yao, mmoja nilimvamia kwa speed ya hatari nilimrukia teke moja akaanguka analia ana kufa, siku laza damu nilikimbia speed ya kufa mtu.
Unaweza kushare mawili matatu kama umewahi kukumbwa na maswaibu haya, then watu wakajifunza chochote na kuchukua precautions siku za mbeleni.
Pia soma Fanya yafuatayo ukigundua kuna majambazi nje ya Nyumba yako
Mmm!Usiku una mengi, kuna wanadamu wao wamejitolea usiku kama ndio muda wao wa kutafuta chochote kitu, binafsi nimewahi kukutana na matukio machache ya kukutana na wezi usiku.
Tukio la kwanza, nakumbuka tulikua form six miaka ya nyuma tunatoka kwenye kumbi za starehe tukiwa watatu tunarudi tuliko kua tumepanga uswahilini, njiani tulikutana na wezi wametoka kuiba samani meza, vitanda, na viti walikua wengi kiasi, jamaa walitusimamisha mmoja wao akatupiga mkwara mzito sanaa, nakumbuka walitubebesha meza, rafiki angu mmoja mwenye mwili mkubwa yeye alibebeshwa kabati, tulitembea kama kilomita mbili hivi wakatuachia, yule mwenzetu aliebeba kabati aliumwa mgongo wiki nzima.
Tukio la pili, nikiwa nakatiza mitaa ya Sinza, nikakutana na kundi la vibaka wako kama sita hivi saa sita usiku, ilikua ni ile position unakata kona unakutana na watu hawa hapa, sikusita nikapita kati kati yao maana hakukua na namna nyingine ya kukimbia, nilipigwa kabali ya hatari, huyu kashika mguu huu, mwingine kashika mguu mwingine, walinichukulia simu, waleti na viatu, tukaachana kwa mengi matusi tunatukanana.
Tatu, hii ilinikuta maeneo mapya niliyokua nimehamia, mida ya saa tano usiku nimetoka kunywa mitungi mtaa wa pili, walikuja vijana wawili kwenye boda boda na mapanga yao, mmoja nilimvamia kwa speed ya hatari nilimrukia teke moja akaanguka analia ana kufa, siku laza damu nilikimbia speed ya kufa mtu.
Unaweza kushare mawili matatu kama umewahi kukumbwa na maswaibu haya, then watu wakajifunza chochote na kuchukua precautions siku za mbeleni.
Pia soma Fanya yafuatayo ukigundua kuna majambazi nje ya Nyumba yako
Ni kwel ,Kama wakulima mkulima wa jembe la mkono na mkulima wa kutumia trecta wote ni wakulima, wanatofautiana uwezo tu wa kutumia vifaa .kibaka hana uwezo wa kupata bunguki atatumia nondoMstari gani unaotofautisha jambazi na kibaka. Afanyacho kibaka ni sehemu ya ujambazi, maana kibaka anaweza kukwapua, kupora, kupiga, kuuwa, n.k
MTU akikwapua Sh. 1,000 hutasita kumuita jambazi, akikwapua Sh. 100,000,000 ni rahisi kumwita ni jambazi.
Pole sanaMiaka miwili iliyopita tulivamiwa na wezi nyumbani usiku wa saa saba, sina uhakika waliingiaje maana ilikua nyumba ina fence na geti milango yetr ina grill za nondo ngumu, vioo vya madirisha tuliacha wazi ili kupata hewa
Nadhani walikua wanatuchora muda maana waliingia wakati Mr hayupo amesafiri so nilikua all alone na watoto and i was 9 months pregnant
Nikiwa usingizini nikahisi kama nazibwa mdomo nakosa pumzi, nikahisi labda nipo ndotoni lakini nilipofungua macho nakutana na sime tatu, mbili zimeelekezwa kwa boys wangu wawili na moja imenielekea, huyu alieniwekea sime akaniambia tulia kimya ukipiga kelele tunachinja watoto(mr akisafiri huwa nalala na watoto hawa wadogo mmoja alikua na miaka minne na mwingine 6)
Huyu wa miaka sita yeye akaanza kupambana nao akawa anawarushia mara mateke mara vingumi vyake anawaambia muache mama yangu maana alikua amenishika shingo kama anataka kunikaba
Nikiangalia hali yangu na tumbo la miezi tisa, nina watoto watatu ndani tena wa kike yupo chumba kingine, I was terribly worried nikajisemea nainachohitaji ni usalama wa watoto wangu kwanza
Ikabidi nimwambie mtoto atulie, wakati namtuliza mtoto mwizi mmoja akaniamrisha ninyanyuke nifungue safe maana ilikua imefungwa kwa password, walikua wamevaa mask na waliwasha taa zote za nyumba nzima, ndani walikua watatu, sijui nje walikua wangapi
Nikawa mpole nikamfungulia, palikua na document tu hapakua na hela,
Kwa hesabu za harakaharaka ni kwamba ndani waliingia muda mrefu sana na walikua wameshahamisha baadhi ya vitu sema sijui walituwekea dawa hatukusikia, maana pale chumbani palikua pamepekuliwa kila kitu kilikua hovyo mpaka simu yangu walikua wameishika mkononi na baadhi ya vitu walikua wameshachukua,
Yule kiongozi wao akanimuru nimvulie pete zangu za ndoa,nikafanya hivyo, akahitaji passowrd za mpesa na airtel money, nikampatia na akahamisha pesa hapohapo, nilikua na app ya sim banking wakahitaji passowrd pia,nikawapatia na wakahamisha pesa, walipoona nipo calm na ninawapa ushirikiano wakaweka silaha chini wakavua na mask wakawa very confortable kusearch, walisearch kila mahali, vyumba vyote na walichukua kila walichotaka, walikua na Noa imepaki nje
kifupi walispend zaidi ya dakika 30 pale ndani, mmoja akabaki wakati wengine wanapeleka vitu kwenye noah nje na walikua wanatokea geti kubwa bila woga
Walipomaliza, wakaniambia ole wako upige kelele, bado tuna kazi kwa majirani zako,ukipiga kelele tutarudi na tutakubaka mpaka huyo mtoto tumboni atoke, Nilikaa kimya nikachungulia dirishani mpaka nilipohakikisha wametoka, nikatoka nikafunga milango na geti maana waliiacha wazi, then after tukaka na watoto sebleni, walikua wanaogopa,nilikua naogopa pia nikashindwa kujizuia nikawa nalia tu, i had nothing to tell the kids, sikua na neno la kuwatia moyo au kuwafariji, i was helpless,sikua na simu wamechukua zote,tv hamna, laptop hamna, hata tablets za watoto,sikua na kitu chochote cha kuniwezesha kufanya mawasiliano, na mtaa tuliokua tunaishi ulikua kimya nyumba zipo mbalimbali na hata ukipiga kelele sio rahisi kwa jirani wasikie. For the first time i cried like a baby mbele za watoto, ikabidi wao wageuke wafariji wangu, huyu wa kiume aliekua anapigana na wezi akawa ananiambia mama usilie, kesho baba akija atawakamata wote na tutawapiga mpaka warudishe tablets zetu tucheze game
Watoto walisinzia kwenye miguu yangu ila mimi sikulala mpaka mida ya saa 11 nikasikia mngurumo wa bajaji ya jirani inapita(huwa anarudi saa 11 kila siku. Nikatoka nje ya geti mbiio nikamsimamisha, nikamwambia tumevamiwa usiku, ndio ikabidi aanze kuwapigia majirani wengine,na mimi nikaomba simu nikatoa taarifa kwa Mr, ndugu jamaa na marafiki, cha kushangaza kumbe wale wezi walifunga mtaa, walivamia nyumba sita kwa usiku huo,ten nyumba zingine wamingia zilikua na fence ya umeme
Nashukuru Polisi walifanya kazi yao kikamilifu, walikamatwa woote,tulikwenda kuwatambua na sikukosa mahakamani hata siku moja mpaka siku ya hukumu, watoto wangu walikua sehemu ya ushahidi, nakumbuka siku watoto wanatoa watu walipata hisia kali sana na uchungu, yule mwendesha mashtaka alishidwa kujizuia alipata hisia za uchungu na hasira sema miiko ya kazi ilimbana akakaa kimya
Mwisho wa siku hukumu ilitoka na Walipigwa mvua thelathini kwa kwesi ya Arm robery
Tuliuza ile nyumba na hatujawahi kurudi ule mtaa tena,baadhi ya vitu vilipatikana tukaambiwa tukavitambue pale oysterbay ila hatukwenda maana tuliona vitayupatia kumbukumbu mbaya, wakala aliehamishiwa pes akutoka kwenye simu yangu alikamatwa na alishtakiwa pia
Go down walilokua wanahifadhi vitu lilivamiwa na polisi na mmiliki alikamatwa
Hii kumbukumbu haijafutika mpaka leo, na kwa watoto ilikuwa worse,ilibidi tuwatafutie mwana saikolojia wa kuwasaidia, maana ilifika wakati hata mtu akigonga geti wanakimbia kujificha wanahisi ni mwizi
🤣🤣🤣Nakumbuka miaka ya nyuma kidogo nikiwa shule O-level ilikua boarding.
Siku hiyo ilikua week end tukatoroka shule kwenda mitaani kuinjoy, kula vitu adimu na kutafuta mademu.
Basi bhana tulikua wanne tumeenda mitaani tumefanya kila kitu mpaka mida ya saa tatu hivi usiku( ilikua ni kijisehemu kimechangamka sana, CENTER)
Wakati tunajiandaa kuanza safari ya kurudi shule mara ghafra wazee wa kazi wakavamia pale kwenye maduka, basi bwana purukushani za hapa na pale kila mtu akatoka nduki.
Wengi tulikimbilia makaburini coz hayakua mbali halafu ndo sehemu iliyokua walau mtu unaweza kujificha.
Basi bwana tumejificha kwenye makaburi wazee wa kazi wakaendelea kukiwasha duka baada ya duka, kati ya hayo maduka kulikua na frem ya salon na kuna wateja walikua wananyolewa(baada ya kuvamia jamaa walizima taa wakawa kimyaaa) basi majambazi si yakafungua mlango wa salon,hahahahaaaa!
Alitoka mshkaji mmoja amenyolewa upande na shuka jeupe shingoni nduki ya ajabu sana kama mshale, jamaa nae akakimbilia uelekeo wa makaburini, ile kufika akatukurupua( maana alikua nduki mbaya halafu anakimbia juu ya misalaba huku shuka linapepea kwa nyuma) kuona vile group lote tuliojificha tukadhani jamaa alikua kafufuka basi tulitoka nduki kumkimbia, na yeye kuona tunakimbia akadhani nyuma kuna jambazi linamkimbiza akaongeza spidi kutufuata, jamani jamani ilikua mshike mshike wa hatari, tulikimbia kama wendawazimu,.
Huku nyuma majambazi yameshaondoka sie tunakimbizana na jamaa. Tulijikwaruza sana kwenye vichaka pamoja na kuanguka kwenye makaburi, tuliumia sana.
Sent from my iPhone using JamiiForums