t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,191
- 17,171
Nilishapoa na maisha yanaendela mkuu!Pole sana mkuu nimeumia na kuguswa na jambo hili......Nakuombea Kwa Mungu akulinde na kutengeneza njia kwa ajili ya maisha Yako
Asante sana!!
Nilishapoa na maisha yanaendela mkuu!Pole sana mkuu nimeumia na kuguswa na jambo hili......Nakuombea Kwa Mungu akulinde na kutengeneza njia kwa ajili ya maisha Yako
Najaribu kuangalia mazingira unaishi na mama pamoja na anko. Kwani baba alikuwa wapi?Nakumbuka kipind niko primary sikumbuk mwaka vzr ila ni 200.., mama anakuja kuniamsha asubuh ananambia tumeibiwa mwanangu baada ya kuona mlango wa nyuma ambao haufunguliwagi upo wazi, namm nakurupuka kitandan namuamsha mjomba, sasa tukaanza kutafuta tumeibiwa kitu gani,pekua nyumba nzima sebuleni had vyumban hatuon tulichoibiwa,tukaenda uani ambapo kuna banda la kuku tukakuta baiskeli ya anko ndio imeibiwa,
Kesho yake usiku tukaita shehe walipiga dua usiku kucha ndimu zinachomekwa sindano na viwembe alafu zinawekwa katika chungu jikoni zinaanza kupikwa had alfajiri, haikupita wiki anko aliikuta baiskeli yake bugurun sheli imekaa tu, akakaa pale hadi usiku aone atakayekuja kuchukua lakin had saa 4 hakuna mtu, akiwauliza watu wa pale kila mtu haijui na hajamuona mtu akiiweka pale, akaichukua akarud nayo home.
Nb:Huyu alikua mwizi sio jambazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kujiongeza tu hapoo mbona ukijenga picha majibu yanakuja tu meengNajaribu kuangalia mazingira unaishi na mama pamoja na anko. Kwani baba alikuwa wapi?
Kwamba anko anaweza kuwa "bebi wa mama" Au anaweza kuwa Kaka wa mama? Basi sawa...Ni kujiongeza tu hapoo mbona ukijenga picha majibu yanakuja tu meeng
Born town.👍👊🤛🤜👏Ndiyo mzee tulingizwa mkenge [emoji23][emoji23][emoji23]
Ktk maisha nshakutana na balaa mengi
Acha tu mwili wenyewe una makovu nyuma ya kichwa na kifuani na pajani[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndomana sahv nmekuwa master mpaka unipige au kuniingiza kingi sahv mtu afanye kazi kweli
Mwnadam syo wa kumuamini
Ova
Hahahaa kila ukigeuka unamuona mchizi na shuka lake anakuja nduki balaa.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hapo utakimbia hadi usikie kufa
Basi atusaidie haki ya mdude iweze kupatikana.
Aisee nimecheka kinoma 😂😂😂😂
Cc kadagala1
Hiyo ilikua historia ya lile eneo. 😄 🤣 😂Mkuu umeua aisee, nimecheka vibaya sana hapa!
Kuna watu nikiwasimulia huwaga hawaaminiInachekesha sema ni chai ya tangawizi hi mi sinywi
Jamaa etu wa kuitwa ndanzi miaka ya 2000 mwanzoni sana wana waliingia kwenye kiosk chake wakamlamba shaba taya la chini likalegea wakafunga na waya.Usiku una mengi, kuna wanadamu wao wamejitolea usiku kama ndio muda wao wa kutafuta chochote kitu, binafsi nimewahi kukutana na matukio machache ya kukutana na wezi usiku.
Tukio la kwanza, nakumbuka tulikua form six miaka ya nyuma tunatoka kwenye kumbi za starehe tukiwa watatu tunarudi tuliko kua tumepanga uswahilini, njiani tulikutana na wezi wametoka kuiba samani meza, vitanda, na viti walikua wengi kiasi, jamaa walitusimamisha mmoja wao akatupiga mkwara mzito sanaa, nakumbuka walitubebesha meza, rafiki angu mmoja mwenye mwili mkubwa yeye alibebeshwa kabati, tulitembea kama kilomita mbili hivi wakatuachia, yule mwenzetu aliebeba kabati aliumwa mgongo wiki nzima.
Tukio la pili, nikiwa nakatiza mitaa ya Sinza, nikakutana na kundi la vibaka wako kama sita hivi saa sita usiku, ilikua ni ile position unakata kona unakutana na watu hawa hapa, sikusita nikapita kati kati yao maana hakukua na namna nyingine ya kukimbia, nilipigwa kabali ya hatari, huyu kashika mguu huu, mwingine kashika mguu mwingine, walinichukulia simu, waleti na viatu, tukaachana kwa mengi matusi tunatukanana.
Tatu, hii ilinikuta maeneo mapya niliyokua nimehamia, mida ya saa tano usiku nimetoka kunywa mitungi mtaa wa pili, walikuja vijana wawili kwenye boda boda na mapanga yao, mmoja nilimvamia kwa speed ya hatari nilimrukia teke moja akaanguka analia ana kufa, siku laza damu nilikimbia speed ya kufa mtu.
Unaweza kushare mawili matatu kama umewahi kukumbwa na maswaibu haya, then watu wakajifunza chochote na kuchukua precautions siku za mbeleni.
Pia soma Fanya yafuatayo ukigundua kuna majambazi nje ya Nyumba yako
Usiniambie demu hujamla hd leo mkuuSijui uhusiano wao uliendeleaje sikuliza sana, though mawasilian na huyo binti yakikuwepo
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
🤣Kutoa ushirikiano kwingine mtihani sana. Kuna wajuba huwa wanawala tigo wahanga, je utoe ushiriano na silaha kiunoni?