kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
Shukrani bossMitaa ya kkoo inanichanganya majina ila mtaa wa mapazia ni aggrey na swahili utaona tu nje mtaa huo umejaa mapazia ingia ndani waambie nionesheni sampo za vitambaa vya mapazia unachagua unanunua (zunguka maduka hata matatu angalau) nunua urembo mwenyewe fundi kazi yake kutoboa kuweka urembo na kuyapinda basi (2,000 tu) kwa pazia moja
Wengi wanashona nzito mita 1 na nusu (2)nyepesi mita mbili, wengine mita 2 kwa madirisha makubwa
Ila madirisha ya futi 6, yani pazia la 3/4x6 unakata hata 1 na robo mara 3
Shukrani boss na mashuka hapo kwa habby yapoMito, kuna vitambaa vya mapazia vya maneno such as gucci, i love you unakata unashona au plain
Vya maneno mengi vinapatikana kwa habby kkoo ukifika sokoni tahfif mtaa unaofatia ulizia kwa habby au wanapouza foronya hapo hapo mwambie nataka kitambaa unachagua unachotaka, ukitaka kushona hapo hapo au kwingine
Foronya kushona ni 1,000 zipu kuna za 2,00 kwa 5,00
Nb: wanakuangalia wakikuona wakuja UNAPIGWA!
Zozote ilimradi zinatoka.uko wapi ndugu? na wewe ulikuwa unatarget kufanya mtumba wa ngio za aina gani?
Zozote mkuu, bei siku zote ndio inayovutia biashara.uko wapi ndugu? na wewe ulikuwa unatarget kufanya mtumba wa ngio za aina gani?
Shukrani boss maana mashuka wanayotuuziaga Kkoo madogo yanakeraHata ununue mita moja au mita 50 bei ni hiyo
8,000/9,000/10,000/11,000 (wengi bei zao ni hizo)
Nikweli mkuu unapatikana wapi tuyajenge?Zozote mkuu, bei siku zote ndio inayovutia biashara.
Sasa ww ndio pisi kali kweli.
Nakubari sana boss vijana tunaitaji tafiti nyingi na connection kabla ya kuanza biashara
Hii idea yako imeshaanza kusambaa kwenye magroup ya forex, jamaa kacopy kama ilivyo na namba za simu kaweka kabisa au ndio wewe mwenyewe?Kongo
Ok kumbe ni jamaa kahamisha idea kama ilivyo.Sipo kwenye forex wala sijawahi kujishirikisha na vitu vya forex sijui vitu gani vitu gani
Pisi kali wapi napata nguo za ndani za wadada kwa bei rafiki. Unaoendekeza mtaji gani wa kuanzia