kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
Shukrani bossMitaa ya kkoo inanichanganya majina ila mtaa wa mapazia ni aggrey na swahili utaona tu nje mtaa huo umejaa mapazia ingia ndani waambie nionesheni sampo za vitambaa vya mapazia unachagua unanunua (zunguka maduka hata matatu angalau) nunua urembo mwenyewe fundi kazi yake kutoboa kuweka urembo na kuyapinda basi (2,000 tu) kwa pazia moja
Wengi wanashona nzito mita 1 na nusu (2)nyepesi mita mbili, wengine mita 2 kwa madirisha makubwa
Ila madirisha ya futi 6, yani pazia la 3/4x6 unakata hata 1 na robo mara 3