Mimi nitawasiliana na ndg nauye. Atoe maelekezo ya kupiga marufuku. Hizi picha za kipuuzi kwa ni zinachangia kwa kiasi kikubwa kujaza mapepo ya zinaa kwa watu. Hazina hadabu kabisa ndiyo maana watanzania wanaongoza kwa michepuko. Kuiga upuuzi wa kwenye tamthilia za kishetani. Mimi ningekuwa waziri ningepiga marufuku. Uhu upuuzi na bongo fleva za kishetani kujaza mapepo ya zinaa vijana watu wangerudi kwenye mstari. Ni haibu mtoto wa miaka 17 anapewa mimba kisa aliiga ushenzi unaofanywa kwenye tamthilia na miziki ya bongo fleva. Tunajenga taifa la waendekeza zinaa? Haikubaliki turudi kwenye utanzania wetu jamani. Kizazi cha vijana kinateketea maana shetani amewekeza sana kwenye tamthilia hizi za mapenzi na bongo fleva sampuli hizi.