Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

the promise
timelesss
it might be you
my eternal
be carefull with my heart
her mother daughter

n no greater love(ikaw lamang)
bridge of love ipo ktn hii j3-ijumaa saa 12 jion
 
Mimi nitawasiliana na ndg nauye. Atoe maelekezo ya kupiga marufuku. Hizi picha za kipuuzi kwa ni zinachangia kwa kiasi kikubwa kujaza mapepo ya zinaa kwa watu. Hazina hadabu kabisa ndiyo maana watanzania wanaongoza kwa michepuko. Kuiga upuuzi wa kwenye tamthilia za kishetani. Mimi ningekuwa waziri ningepiga marufuku. Uhu upuuzi na bongo fleva za kishetani kujaza mapepo ya zinaa vijana watu wangerudi kwenye mstari. Ni haibu mtoto wa miaka 17 anapewa mimba kisa aliiga ushenzi unaofanywa kwenye tamthilia na miziki ya bongo fleva. Tunajenga taifa la waendekeza zinaa? Haikubaliki turudi kwenye utanzania wetu jamani. Kizazi cha vijana kinateketea maana shetani amewekeza sana kwenye tamthilia hizi za mapenzi na bongo fleva sampuli hizi.
 
the promise
timelesss
it might be you
my eternal
be carefull with my heart
her mother daughter

n no greater love(ikaw lamang)
bridge of love ipo ktn hii j3-ijumaa saa 12 jion

hyo bridge of love naifatlia sana ktn na hiyo ya no greater love wanaonyesha ktn saa 6 mchana hadi saa 7 mchna
 
Mimi nitawasiliana na ndg nauye. Atoe maelekezo ya kupiga marufuku. Hizi picha za kipuuzi kwa ni zinachangia kwa kiasi kikubwa kujaza mapepo ya zinaa kwa watu. Hazina hadabu kabisa ndiyo maana watanzania wanaongoza kwa michepuko. Kuiga upuuzi wa kwenye tamthilia za kishetani. Mimi ningekuwa waziri ningepiga marufuku. Uhu upuuzi na bongo fleva za kishetani kujaza mapepo ya zinaa vijana watu wangerudi kwenye mstari. Ni haibu mtoto wa miaka 17 anapewa mimba kisa aliiga ushenzi unaofanywa kwenye tamthilia na miziki ya bongo fleva. Tunajenga taifa la waendekeza zinaa? Haikubaliki turudi kwenye utanzania wetu jamani. Kizazi cha vijana kinateketea maana shetani amewekeza sana kwenye tamthilia hizi za mapenzi na bongo fleva sampuli hizi.

HahahahahahHahaa umetsha kiongoz
 
hahahahahahhahaa umetsha kiongoz

mkuu. Kama kuna invest ambayo shetani amewekeza basi ni kwenye picha hizi. Kaka ni majanga taifa lina angamizwa na wafilipino. Ikifika usiku unamkuta, baba.mama.watoto.wamejazana sebuleni wanatazama mapepo. Alafu na vitoto vinashangilia. Baba na mama wakienda chumbani vitoto vinaambizana baba na mama wanafanya kama marimaa na yuri. Sasa hapo kwa nini vitoto na vyenyewe visijaribu huo upuuzi?
 
wenye links za kudownload watupe basi, maana mi ni mda mrefu huwa natafuta pa kudonload lakini sipati
 
Habari.
Huu utakuwa ni uzi maalum kwa Wapenda tamthilia za kifilipino na Mexico.
Karibu tushee tamthilia zilizokubamba na wasanii unaopenda.
Nimeangalia tamthilia nyingi lakini nitataja chache zilizonivutia.
Philippines:

1)Pangako sa'yo-The promise
Hii tamthilia najua wengi tutakuwa tunaikumbuka yupo mwanadada Kristine Rosales au Yna na mwanakaka Jericho Rosales au Angelo.

2)Walang Hanggan-My Eternal.
Hii tamthilia ni nzuri Sana tena na nadhani wengi tumeiona.
Wahusika wakuu ni;
Coco Martin-Daniel Guidotti
Julia Montes-Katerina Alcantara.
Richard Gomez-Emilia/Emily
Dawn Zulueta-Marco Cruz

3)Ikaw lamang-No greater Love
Hii tamthilia ndo iliyonifanya nizidi kumpenda Coco Martin na Kim chiu maana wakicheza wote wanavutia Sana.
Coco Martin-Gabriel/Samuel
Kim Chiu-Isabelle/Andrea
Julia Montes-Mona
Jake Cuenca-Gov.Franco Hildago huyu nilipenda Franco sehemu ya pili kaweza Sana kuitendea kazi script japo nilikuwa sipendi anayoyafanya lakini alifanya picha ipendeze.
Kc Concepción-Natalia.

4)Mara Clara.
Kathryn Bernardo-Mara David
Julia Montes-Clara David Huyu nilipenda alivyocheza hapa kuliko alivyocheza kwenye Ikaw Lamang maana anapenda na character ya ukatili zaidi kuliko upole kwenye Ikaw lamang nilipenda acheze nafasi ya Natalia.

5)Ina Kapatid Anak-Her mother's Daughter
Hii tamthilia ndiyo iliyonifanya nimjue Kim Chiu mania anapendeza akicheza kicomedy zaidi kuliko serious character.
Kim Chiu-Cely Marasigan
Maja Salvador-Margaux Marasigan Huyu alinivutia kwenye Bridge of love alivaa uhusika vizuri Sana.
Xian Lim-Liam Lagdamao huyu na Kim chiu ni mtu na mpenzi wake kwenye real life.
Enchong Dee-Ethan Castillo.

MEXICO TELENOVELA.
1)Tormenta en paraiso-Storm in paradise.
Hii tamthilia ilinivutia Sana.
Sara Maldonado-Aymar Lazcano
Erick Elias-Nicolas Bravo
Mariana Seoane-Maura Duran
Alejandro Tommasi-Eliseo Bravo Huyu baba ananivutia Sana akicheza character za ukatili.

2)El Cuerpo Del Deseo-Second Chance.
Najua wengi hii iliwabamba
Andres Garcia-Don Pedro
Lorena Rojas-Isabel Arroyo
Mario Cimarro-Salvador Cerinza
Martin Karpan-Andres Corona

3)Cuidado con el angel-Don't mess with an angel.
Maite Perroni-Marichuy hapa kwwnye ram this is hii nilivutiwa Sana na vituko vya maite.
William Levy-Juan Miguel
Helena Rojo -Cecilia Santos

4)Man de Amor-Curse by the sea.
Zuria Vega-Estrella Marina
Mario Cimarro-Victor Manuel
Erika-Casilda de Briceno
Mariana seoane-Oriana Parra Ibanez huyu ananivutia character za ukatili na anaziweza Sana Kama alivyofanya kwenye storm in paradise.

5)Un Refugio Para el amor-A shelter for Love.
Zuria Vega-Luciana Jacinto Flores
Gabriel Soto huyu kacheza pia kwwnye Power of destiny.
Laura Flores ni mwanamama mkongwe Sana na anajua kuuvaa uhusika.
Jessica Coch-Gala Villavicencio huyu kacheza kwenye Mi peccado na Maite perroni.Kwenye hii a shelter kavaa uhusika wa roho mbaya na ameuweza.

6)La patrona-The return.
Aracely Arambula-Gabriela/Veronica Dante.
Jorge Luis Pila-Alhandro.
Christian Bach-The boss lady
Gonzalo Garcia.
Hii kwangu ndiyo Tam this is bora na iliyonivutia kuliko zote nilizowahi kuziangalia. Christian Bach ameitendea script haki.

Tamthilia bora ya phillipines-Ikaw lamang.

Muigizaji wangu bora wa Philippines-Coco Martin.
Coco kacheza tamthilia nzuri ambayo nimeona matangazo tu ila bado sijaiona inaitwa Juan Dela Cruz hii ndani ina action.Humo yupo Julia Montes na Maja Salvador.

Actress-Kim chiu. Huyu anavutia hadi muonekano.

Tam this is yangu bora na nzuri kwa upande wa Telenovela.
La Patrona-The return.

Muigizaji wangu nimpendaye.
Maite perroni a.k.a Marichuy.Nilimpenda pia alivyocheza kwwnye La Gata.

Muigizaji wa kiume.
William Levvy.

Karibuni.
 
Mm jameni ile ya kina Angelo, yna makaspar hata speling sijui kama sawa ilikuwa inaitwa kama pang'ako sayoo sijui ipo sawa
 
Ila wamexico wanatisha jamani...
Yule binti marichui ashaaga niacha hoi sana.
 
Mi nimeipenda the legal wife ya kiphlipino aloigiza jericho,angel locsin na Maja salvador.
Ya kimexico ni la patrona.
 
Back
Top Bottom