Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
the promise
timelesss
it might be you
my eternal
be carefull with my heart
her mother daughter
n no greater love(ikaw lamang)
bridge of love ipo ktn hii j3-ijumaa saa 12 jion
Mimi nitawasiliana na ndg nauye. Atoe maelekezo ya kupiga marufuku. Hizi picha za kipuuzi kwa ni zinachangia kwa kiasi kikubwa kujaza mapepo ya zinaa kwa watu. Hazina hadabu kabisa ndiyo maana watanzania wanaongoza kwa michepuko. Kuiga upuuzi wa kwenye tamthilia za kishetani. Mimi ningekuwa waziri ningepiga marufuku. Uhu upuuzi na bongo fleva za kishetani kujaza mapepo ya zinaa vijana watu wangerudi kwenye mstari. Ni haibu mtoto wa miaka 17 anapewa mimba kisa aliiga ushenzi unaofanywa kwenye tamthilia na miziki ya bongo fleva. Tunajenga taifa la waendekeza zinaa? Haikubaliki turudi kwenye utanzania wetu jamani. Kizazi cha vijana kinateketea maana shetani amewekeza sana kwenye tamthilia hizi za mapenzi na bongo fleva sampuli hizi.
hahahahahahhahaa umetsha kiongoz
maria angelo,mary soledad na maria clara?Mm jameni ile ya kina Angelo, yna makaspar hata speling sijui kama sawa ilikuwa inaitwa kama pang'ako sayoo sijui ipo sawa
Ila nataka kusema tuuuu, nakuta ya kwanza, shukran mkuuNaitafuta ile ya the long wait..enzii za akina boris ... Yurii ...red butterfly mwenye nayo plz naomba ani inbox
Sijakuelewa mkuu...vp unayoIla nataka kusema tuuuu, nakuta ya kwanza, shukran mkuu
Natamani na mimi nijue naeza nadowload wapi.Hizo tamthilia mnazidownload wapi?