Mtakutana na na osama lamlouiJamani eeeeeee!!!!! twendeni tukapate burudani,
twendeni tukaishangilie timu yetu ya Taifa.
Leo ni kufa au kupona, Ushindi ni lazima.
Kazi ya ma CHAWA hiyoJamani eeeeeee!!!!! twendeni tukapate burudani,
twendeni tukaishangilie timu yetu ya Taifa.
Leo ni kufa au kupona, Ushindi ni lazima.
sio machawa ni uzalendo kwa nchi yetu,hawana kosa loloteKazi ya ma CHAWA hiyo
Uzi tayariJamani eeeeeee!!!!! twendeni tukapate burudani,
twendeni tukaishangilie timu yetu ya Taifa.
Leo ni kufa au kupona, Ushindi ni lazima.
Chadema kwa sasa ni genge la wahalifu wanao ratibu mipango ya kihalifu. tujitenge na hao wahuni tusipata matatizo bureee.
Kwamba Lissu kakosea nini??Eti kisa wao ni chama kikuu cha upinzani wakadhani wakivunja sheria hawawezi kuwajibishwa. Na hili ndio tatizo la kuwa na kiongozi alye kosa hekima na busara kama Lissu.
Nahisi watanzania wamesusa, na hiyo taarifa kwa wanasiasa hali ilivyo watz ni WAMESUSA!.
Tukutane Taifa...nipitia nyama choma hapa na kinywaji.Nipitie hapa bariadi
Aaah wapi, machawa hawajawahi kuwa wazalendo, ni genge la wahuni, wahalifu..sio machawa ni uzalendo kwa nchi yetu,hawana kosa lolote
Jamani eeeeeee!!!!! twendeni tukapate burudani,
twendeni tukaishangilie timu yetu ya Taifa.
Leo ni kufa au kupona, Ushindi ni lazima.
Twende tukapate burudani, maisha ndio hayahaya bwashee umekuja duniani peke yako utakufa peke yako.Aaah wapi, machawa hawajawahi kuwa wazalendo, ni genge la wahuni, wahalifu..
#KataaWahuni
Picha ya nini? twende uwanjani.Pichaa
Tangulia najaPicha ya nini? twende uwanjani.